Search results

  1. Aramun

    Diddy aomba radhi baada ya video akimpiga Cassie kusambaa

    Kupitia hiyo video aliyopost kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram Diddy anasema amekubali na anawajibika 100% kwa kitendo hiko alichokifanya na kitendo kilichoonekana kwenye video hiyo kamwe hakisameheki. "Nakiri huwa ni majuto kukumbuka yale uliyoyafanya nyuma. Najichukia, nilijichukia...
  2. Aramun

    Movies tano kali ambazo bado hujazitazama.

    Tulia ww low score.... Wanaoijua telegram obvious wanazijua online streaming sites, huwa hawaendi local libraries. Online libraries ziko kibao tu, acha uzwazwa.
  3. Aramun

    Movies tano kali ambazo bado hujazitazama.

    Anayekuja kupakua telegram unadhani ana haja na library za mtaani? Hiyo tunaijua acha janja janja
  4. Aramun

    Movies tano kali ambazo bado hujazitazama.

    Watu waongo waongo huwa siwapendi sana..... Wewe ni nani mpaka useme hazipatikani kokote wakati zipo zimejaa tele mtandaoni?
  5. Aramun

    Nani ni mmiliki wa kanisa lenye nembo hii?

    Hiyo logo ina maana gani, tuanzie hapo
  6. Aramun

    Usitapeliwe mitandaoni - Part 1

    King of nyokonyoko na haujui hata kanuni za uandishi, hata ile basic knowledge tu hauna..
  7. Aramun

    Yamenikuta wakuu, nimetongozwa kwenye daladala

    Naomba nifungulie pm bibie
  8. Aramun

    Za kuambiwa, tuchanganye na zetu

    Ahabu - mke 1 Herode - mke 1 Anania - mke 1 Pontio Pilato - mke 1 Yeroboamu - mke 1 Nebukadreza. - mke 1 Hamani - mke 1 Na wote walipotea njia na kumsaliti Mungu. 1. Ibrahimu - wake 2 2. Yakobo - wake 4 3. Daudi - wake 4 4. Sulemani - wake 700 5. Rehoboamu - wake 18 6...
  9. Aramun

    Tabia nisizozipenda kwa mabinti wa kaskazini (hasa wachaga) wakiolewa

    Alounda hii master plan naye apewe tuzo..
  10. Aramun

    Random Sex

    Alokuambia ni manzi nani, hapo kuna single mom mmoja na mke wa mtu mmoja... Hatuwekeani mipaka, waliwe wasiliwe its up to them.... Mimi niko na mke wangu ka chill home... No strings attached❌
  11. Aramun

    Random Sex

    Inabidi uwe extremely smart
  12. Aramun

    Random Sex

    That depends with your energy strength... Ikiwa uko weak, utabebwa, ukiwa strong utawabeba... Mimi nina have very many random sex ila kinachotokea mimi ndiyo nawavuta by my energy. Uzuri my energy is VERY POSITIVE. Hivyo they end up kuwa na perfect life. I'm not simping here, but this thing...
  13. Aramun

    Rafiki yangu amezaa na mke wa mtu

    Ukishazaa na mke wa mtu huyo mtoto siyo wako, ni wa mwenye mke..... i.e mume wake.. Until mume wake amemkataa huyo mtoto basi hiyo sio mali yako bwashee..
  14. Aramun

    Ukipata mtoto ukiwa na miaka 40, mpaka anamaliza chuo utakuwa na umri gani?

    Nyie ndiyo wale wa kujifanya mnatafuta maisha kwanza eeh? Haya tuambie hayo maisha umeyapata? Hata kama umeyapata una furaha uliyoitegemea? Vijana zaeni angali mna miaka 20+, kuna faida kubwa kuzaa mapema kuliko kutokuzaa mapema. Stori za kusema sijui utatesa watoto ni za watu delusional...
  15. Aramun

    ORYX Gas mnatujazia mchanganyiko wa Gas na Maji? Je, ni wizi au utapeli?

    SHIDA NI HIYO BURNER YAKO MKUU.. Inaonekana imekula chumvi ya kutosha, haifanyi kazi ipasavyo, badala ya kuleta gas inaleta maji.. Kumbuka hiyo mitungi ina "LIQUIFIED GAS", hivyo kama burner ina fault itashindwa kuiconvert hiyo liguid gas into gas, mwisho wa siku ndiyo unapata matokeo kama...
  16. Aramun

    CCM inasiasisha usalama wa nchi yetu. Ni HATARI!!!

    Nchi nzima iko politicized kama ulikuwa hujui.... As long as uko serikalini basi wakuu huwa wanaweka u-CCM mbele . Nasema haya from experience ya ninakofanyia kazi.
Back
Top Bottom