Search results

  1. 0404

    Kwanini watu tunapenda kuamini vitu tusivyovijua?

    Upo sahihi mkuu, bahati mbaya ndio dunia ilivyo espicially hii dunia ya tatu!
  2. 0404

    Wanaume wengi humu hawana pesa wala michongo ya kueleweka

    Nitembee wapi sasa Mwajuma? Embu nipe mifano?
  3. 0404

    Wanaume wengi humu hawana pesa wala michongo ya kueleweka

    Aliyekwambia wanawake wanawazidi hela wananume muulize vizuri usikute ni shoga huyo!
  4. 0404

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kuna watu wanamashaka na wanaotoa shuhuda humu.
  5. 0404

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kama mmegundua wengi wanaotoa shuhuda humu za kulamba asali ni wale wanaoongelea vizuri kuhusu psrs..,
  6. 0404

    Napenda wanawake wafupi wenye miili midogo wapewe maua yao

    Uzi huu To yeye asipocomment nipigwe ban😁
  7. 0404

    Ushauri kuoa mwanamke aliyekuzidi umri

    Bongo ndio ishu, ila ulaya kitu cha kawaida sana..,wachezaji na wasani wengi sana wameoa wanawake waliowazidi umri. Ukianzia kwa legend Zidan mwenyewe!
  8. 0404

    Mbunge Getere: Boom lifutwe, wanafunzi wanatumia kulewea

    kutokana na kauli hiyo, ningeshauri wanafunzi wote wa elimu ya juu na wanaotarajia kuja kupata boom waandamani ili serikali ipunguze burget ya wabunge kuwalipa posho na mishahara mkubwa kwasababu wengi wao wanatumia kuwahonga wasichana wakiwemo wa chuo na vibenten.
  9. 0404

    "Baby umependeza" Je umechangia sh ngapi au umenunua kipi? Wanaume mnaboa

    Ndio maana ana ombaomba..,KWAPA tu linamshinda! Alafu sura imekomaa daah!
  10. 0404

    TANZIA Director Khalfani afariki Dunia

    Rest in Peace Mr Director..,vijana tunaondoka bado wadogo sana😭
  11. 0404

    TFF, Mo'29, Jasmine na Jemedari

    Waswahili Wanasema "mti upigwao mawe ndio wenye matunda"....., Yanga Hoyeee!!
  12. 0404

    FT: Yanga 3-0 Tabora United | CRDB Bank Federation Cup | Azam Complex | 01.05.2024

    Wee jamaa dishi litakuwa limeyumba.
  13. 0404

    Hivi Msumi ipo Dar es Salaam kweli?

    Kabla ya kuja waziri magari yalikuwa yanapita Kibamba karibu wiki yote hii kwa jinsi barabara ilivyokuwa mbovu..,jana waziri amekuja ilichongwa usiku kucha.
  14. 0404

    Hivi Msumi ipo Dar es Salaam kweli?

    Nani kakwambia ile barabara kuna watu wanahitaji fidia..,barabara ya Mpigi Magohe ina mawe yamewekwa toka zamani hata ukipita utayaona haina cha fidia wala nn..,sema kuna kitu hakipo sawa pale. Jana waziri alikuja kukagua daraja la mto Mpiji, barabara ilichongwa usiku kucha na haijawa kuchongwa...
  15. 0404

    Zaytun Seif Swai ahoji Bungeni Ujenzi wa Daraja la Mto Athumani - Ngorongoro

    Ukiachana na hilo swali aliouliza..,mjukuu wa Swai ni mzuri😋
  16. 0404

    Mke wangu hataki kutumia pesa yake kununua kitu chochote kwa matumizi ya familia

    Kiukweli itafika kipindi hili ndio litakuwa jibu rahisi kwa maswali kama hayo😁
Back
Top Bottom