Wakuu ule msemo wa usikosee kozi ya kusoma unanitesa nipo njia panda je kozi ipi nzuri ya afya ya kusoma kati ya hizi :-radiology, pharmacy au medical lab
Habari,
Nina mdogo wangu amesoma advance kombi ya PCB na matokeo yapo hivi; Physics-C, Chemistry -B na Bios-B.
Je, aende Pharmacy au Radiology na kwa matokeo hayo si anaweza pata Muhimbili?
Habari Wana jamvi,
Hivi mfamasia anauwezo wa kusimamia pharmacy ngapi Kwa kutumia cheti chake, na je majukumu yake ndani ya hiyo pharmacy ni kukaa humohumo na kuuza dawa au ni yapi?
Na mfamasia mwenye diploma akitaka kufungua pharmacy na yeye mpaka atumie cheti Cha mfamasia mwenye degree.
Na...
Habari Wana jamii ,Mimi nilikuwa nauliza kama unadiploma ya pharmacy je ukitaka kufungua pharmacy yako binafsi itabidi mpaka uweke cheti Cha mfamasia mwenye degree,na je cheti Cha mtu mwenye diploma anaruhisiwa kutumia cheti chake kusimamia duka la dawa hata kama Hana degree.napenda kuwasilisha...
Habari wakuu,
Hivi kwa wale waliosoma India Kwa ngazi ya degree Kwa kudhaminiwa Kila kitu nilikuwa naomba kujua mbinu gani iliwasaidia kupata scholarship. Scholarship walipata vipi na je, scholarship lazima ulipie fedha ndo upate?Na je, ni pesa kiasi gani inahitajika ili uweze kuomba...
Hello habari,
Kwa aliyesoma kozi Moja wapo kati ya hizo ipi inasoko Kwa Tanzania,na ipi ni rahisi kujiajiri,je kiwango chao cha mshahara.
Kwa ajira ya Serikali kipoje.
Habari ndugu zangu ,Mimi ni mhitimu wa kidato Cha sita,Katika maisha yangu ya elimu nilikuwa natamani niwe daktari wa moyo( cardiologist) sasa matokeo yangu so mazuri kivile kwa PCB nina phys-E,chem-D na bios-C,sasa Kwa elimu yetu ya Tanzania physics nmeanguka kw ajili ya kukidhi vigezo vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.