Search results

  1. Nedd Ludd

    Tangazo la ajira za muda tume huru ya uchaguzi

    Naomba kuuliza juu ya Tangazo hili kama ni la kweli, maana linasambaa sana. [emoji120]
  2. Nedd Ludd

    Ufafanuzi kuhusu habari ya fedha mtanda Pi.

    Kama ilivyo kawaida JamiiCheck imekuwa ikifuatilia mambo mbalimbali na kuleta mrejesho kama ni kweli au si kweli. Mimi leo nina jambo ambalo naomba lifuatiliwe na kuleta majibu kama ni sahihi. Kuna jambo ambalo limekuwa likizunguka kuhusiana na sarafu ya kimtandao, wanadai kwamba sarafu hiyo...
  3. Nedd Ludd

    Ruvuma: Shule ya msingi Ngingama ina walimu wawili

    Shule ya Msingi Ngingama, yenye wanafunzi zaidi ya 400 iliyoko wilayani Nyasa, mkoani Ruvuma ina walimu wawili wa kuajiriwa na mmoja wa kujitolea, hivyo wanafunzi wanatumia muda mwingi kucheza badala ya kusoma. Kutokana na changamoto hiyo, wazazi, wanafunzi na walimu wameomba walimu waongezwe...
  4. Nedd Ludd

    Mamlaka za vitambulisho vya Taifa (NIDA) waichunguze link inayotoa softcopy ya ID

    Habari wana JF, kumekuwa na link ikisambaa ikijieleza hivi [emoji117] JE WAJUA? Mamilioni ya Watanzania wana namba za vitambilisho vya NIDA lakini hawana vitambulisho vya NIDA. Tembelea: NIDA Online Copy sasa ujitapatie online copy ya kitambulisho chako bure Hii link hata mimi nimekuwa mhanga...
  5. Nedd Ludd

    Je, nini umuhimu wa kuhakiki cheti cha kuzaliwa na cheti cha kifo? Kwanini wanaongeza gharama za kuhakiki bila taarifa?

    Habari ndugu wana JF, Mmimi naomba kujua umuhimu wa kuhakiki vyeti RITA, kwasababu hadi leo hii sijajua maana ya kufanya hivyo. Maana vyeti wanatoa wao lakini pia wanahitaji kuhakiki, kwahiyo wanavyotoa vyeti zile taarifa huwa hawahifadhi au wakati wa usajili wa cheti husika hawawezi kuhakiki...
  6. Nedd Ludd

    Kozi za Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA)

    Wakuu, ambao mnakijua/ mmesoma Chuo cha Mwalimu Nyerere Kigamboni, pale niliona watoa Elimu kuanzia ngazi ya certificate hadi Masters. Sasa katika kuangalia kozi zinazotolewa pale, niliona hii "Management of Social Development" kwa ngazi ya degree. Katika kufuatilia katika vyuo vingine sijawahi...
Back
Top Bottom