Search results

  1. N

    Mkurugenzi wa NIDA abadilishwe ili kuongeza mapato na ufanisi ili ijitegemee na kupeleka mapato serikalini kama TRA

    Mbona nilichoandika kiko wazi hapa UK. Lakini kinachonisikitisha kuna wenzetu wana support na wamekuwa mstari wa mbele kutengeza matukio ya uongo. Kutoka na tamaa zao za ahadi za ku benefit. Lakini watakao lipa malipo ya hizi tamaa zao ni wajukuu. Na hao watengeneza matukio ya uongo ndio hao...
  2. N

    Mkurugenzi wa NIDA abadilishwe ili kuongeza mapato na ufanisi ili ijitegemee na kupeleka mapato serikalini kama TRA

    Nchi nyingi unalipia. Labda huko uharabuni wenye utajiri wa mafuta labda ndio bure? lakini siwezi kulaumu hapa kuwa bure kwa sababu ya umaskini wetu na ni mara ya kwanza. Kungekuwa na gharama za kujiandikisha ingekuwa mbinde kwa watu kutoa ushirikiano. Na pia inawezekana kuna pesa za misaada...
  3. N

    Nimepata dili la kupeleka korosho India kilo 500, wajuzi nipeni ujanja

    Kupata soko nje ya nchi ni lazima utoe information za kina. Na hizo information lazima ziku prompt kufanya research ya kina. Sasa nyie sijui mnapataje soko kirahisi hivyo!!
  4. N

    DOKEZO Tuhuma za mauaji kwa mmiliki wa kampuni ya KOPAGAS, Andron Mendez

    Hii ndio inaweza kuwa sababu kubwa ya kutoendelea na kesi. Saa nyingine hauwezi kupata ukweli uku kwenye media, nini hasa kilichotekea. That said, yule mama akujufukia mwenyewe kabla ya umauti. Hili nalo ni kosa kubwa.
  5. N

    Riba za Microcredit zipoje wadau?

    Mpaka miaka hii watu wanauza application form za kuchukulia mkopo?
  6. N

    Nahitaji kuwekeza Tsh. Milioni 170

    Mkuu, Kuna kitu sijaelewa hapa naomba unieleweshe. Umesema aweke pesa kwenye bond ambazo kuna wadau wamesema ni 12.5% kwa mwaka. Sasa ukitumia hiyo bond certificate kuchukulia mkopo kama collateral. Na mikopo ya Bongo ni pasua kichwa, kuna mtu aliniambia ni 20%. Sasa si hatakuwa analamba hasara...
  7. N

    Car4Sale Toyota Hilux 2018, Tsh. 55M

    Hii ni mpaka Dar Port. Ushuru unalipia wewe.
  8. N

    Dotto Biteko: Tumezima mtambo wa bwawa la Mwl Nyerere

    Kuna kitu hakipo sawa hapa. -Kulikuwa hakuna plan baada ya miezi kadhaa kiwango cha maji kiwe kimefikia level flani? -Na kama iko kiwango kilikuwa kimefikiwa badaa ya siku kadhaa au wiki badala ya miezi hawakuona kwamba ile estimation mwanzo ilikuwa sio sawa? -Na kwanini hakufanyika...
  9. N

    Wanasema mimi ni Shetani na pia ninahofia maisha yangu yapo hatarini hapa UK

    Could you please point out where I mentioned my mental health in the quoted post? I am unable to find the specific reference.
  10. N

    Wanasema mimi ni Shetani na pia ninahofia maisha yangu yapo hatarini hapa UK

    Yaani umeandika kama vile unanijua. Documents ninazo.
  11. N

    Wanasema mimi ni Shetani na pia ninahofia maisha yangu yapo hatarini hapa UK

    Mkuu, mimi nimeshafanya kazi kwenye hospitali za wagonjwa wa akili. Na nimesha repoti baadhi ya issues. Kama ingekuwa ni ugonjwa wa akili si ningekuwa nimesha kuwa sectioned!!
  12. N

    Wanasema mimi ni Shetani na pia ninahofia maisha yangu yapo hatarini hapa UK

    Mkuu ulichoandika hapo kuna baadhi ya ambayo mimi sijasema. Ni kweli nilisha ripoti Police zaidi ya mara moja. Lakini hii ya Police kuelewa mimi ni guinea pig sijui imeitoa wapi. Hata kama Police wanajua watanieleza vipi. Manake hiyo itakuwa ni kasheshe nyingine.
  13. N

    Wanasema mimi ni Shetani na pia ninahofia maisha yangu yapo hatarini hapa UK

    Hao wanasema mimi ni shetani ndio wanaweza kuwa na jibu lake.
Back
Top Bottom