Search results

  1. King_Villa

    Hospital nzuri ya wagonjwa wa kisukari

    Habari wakuu, Mzazi wangu anasumbuliwa na ugonjwa wa sukari moyo na figo …kwa siku za karibuni hali imezidi kubadilika anashindwa hata kutembea ,,akila pia anatapika... Nimefikia hatua ya kubadilisha hospitali labda madaktari wanatofautiana tratment na ujuzi Kwa anaejua hospitali naomba...
  2. King_Villa

    Kitu gani hasa kimekuwa na mchango mkubwa katika Uchumi wa Tanzania kati ya Filamu ya Royal tour na Ufufuaji wa shirika la ATCL

    Habari za wasaa wakuu. Wakuu leo nilikuwa natafakari mwendo wa Uchumi wetu katika nyanja hizi mbili ila nikaona niwashirikishe wadau wa JF nione maoni yao . Ila kwanza nianze na tafakari zangu binafsi kwa pande zote . 1.The Royal tour inamchango mkubwa kwasababu nchi yetu bado Uchumi wake uko...
  3. King_Villa

    Kuagiza mzigo kutoka Canada kwa njia ya posta

    Habari za muda wakuu. Hapa nimepata fursa nzuri kidogo ambayo natarajia kuifanya lakini sitaki kukurupuka. iko hivi , kuna rafiki yangu yuko canada nimemwomba anitaftie computer for parts(spare) kwa bei ya chini kwasababu kule vitu ni rahisi kidogo na akishazipata azipack halafu tuangalie...
  4. King_Villa

    Kuna kitu hakiko sawa Kwenye kampuni ya Dangote

    Habari zenu wakuu. Kuna kitu nahisi hakiko sawa kwenye kampuni ya Dangote. Hebu pitieni hiyo document iliyopo hapo chini.
  5. King_Villa

    Kampuni gani hutengeneza betri imara za Magari madogo ukiachana na Cloride exide?

    Habari wakuu, Nahitaji kununua betri mpya kwa ajili ya gari yangu ila ningependelea kampuni tofauti na hiyo chloride exide maana nimeitumia muda mchache sana ,kiufupi sijaipenda (au ni matumizi yangu). Bila shaka nataka kubalisha kampuni nione kama naweza kupata kampuni tofauti na hii Na kama...
  6. King_Villa

    Kigezo cha kwanza kwa mtu anayewania urais awe na shahada ya uchumi

    Habari zenu wakuu. Poleni na majukumu. Hapa nilikuwa nimekaa tu natafakari mambo kadhaa ambapo niliangali tangu mwanzo wa awamu wa tatu mpaka hapa tulipo, huku nikichambua mambo kinagaubaga kwenye baadhi ya sera za viongozi wetu. Nilijaribu kuangalia mafanikio na mapungufu ya awamu ambazo...
  7. King_Villa

    Kutoka chini ya uvungu wa moyo wangu nawapenda wanawake wa Kanda ya Kaskazini

    Habari za wakati huu wakuu. Mimi sio mzaliwa wa kanda ya kaskazini lakini kutokana na harakati za kimaisha tunapita mahali pengi sana na tunakutana na watu wengi. Binafsi wakati wa kusaka maisha ya Mapenzi kutoka ujana mpaka saivi nahisi tunakutana na mapenzi ya aina nyingi lakini kwakusema...
  8. King_Villa

    Kwanini watazamaji wengi wa filamu zenye maudhui ya mapenzi (Drama Series) wamefeli sana kwenye sekta hiyo?

    Habari zenu wakuu. Nimejaribu kuwaza tu kwa sauti japo mawazo yangu yanaweza kuwa sio sheria . Kuna wakati naangalia kulia na kushoto naona kuna idadi kubwa ya watu wanapenda kuangalia sana zile cinema au movie zenye maudhui ya mapenzi maarufu kama drama series nyingi zikiwa zimetengenezwa...
  9. King_Villa

    Kwanini customer care ya mwanaume ni bora zaidi kuliko ya mwanamke?

    Habari wanajamvi! Hapa nimetoka kuongea na customer care wa offisi Fulani hivi(Naomba nisiitaje) Kuhusu malalamiko ya account Yangu kutowezesha pesa kutoka . Nilipiga simu Mara ya kwanza akapokea Mdada na mazungumzo yalikuwa hivi? Customer care : Haloow...unaongea na ......naongea na nani...
  10. King_Villa

    Naskia ukitumia SMARTPHONE unakuwa mwanaume wa Dar.

    Na hao watu wanaojiita wamikoani sijui tatizo nini? Kuna watu saivi mtaani hawali chips vibandani Kuna watu saivi kuoga Mara moja kwa wiki. Kuna watu saivi Maisha yao yameharibiwa na hii misemo ya watu wasio kaa dar. At kufanya kitu flani ni chakimama. Sasa hii Mpya na Kali yao nimeisoma...
  11. King_Villa

    Mtoto wa kiume wa mwl. Christopher Mwakasege afariki dunia hospitali ya Agha Khan

    Mtoto wa kiume wa mwalimu wa neno la mungu kutoka Arusha, Christopher Mwakasege aitwaye Joshua Mwakasege amefariki katika hospital ya Agha Khan baada ya kuugua ghafla akitokea kazini kwake. Habari za awali zinasema alijisikia vibaya ghafla na kukimbizwa hospitalin hapo ambapo madaktari...
  12. King_Villa

    Kwanini wanawake wengi wa JF wanaonekana kuchangia sana post zinazohusu mapenzi ukilinganisha na post zingine?

    Habari za muda wadau! Nimeona Leo nijaribu kuona maoni ya wadau kuhusu wanawake wengi kuonekana wakivamia post za mapenzi na kuonekana kuwa na mchango Lakini katika pitapita zangu siwaoni wakichangia sana Kwenye post zinazohusu siasa wala siwaoni Kwenye jukwaa la teknolojia wala uchumi. Hii...
  13. King_Villa

    Mnaoweka vioo vyeusi "TINTED" Kwenye Magari yenu huwa mnajificha nini?

    Ndugu zangu habarini! Hivi staili ya kuweka vioo vyeusi au tinted huwa inaashiria nini ! Unakuta mtu Yuko Kwenye VX V8 afu kaweka tinted ukiangalia ndani unabaki kujiona mwenyewe ...sasa huwa najiuliza Mali umetafuta kwa jasho lako mwenyewe iweje ujifiche au unaona aibu gani watu wakikuona na...
  14. King_Villa

    Noah Road Tourer 1999 nataka nibadilishe manufacture year uwe 2000 Niitumie kwenye Uber!

    Kwa wataalam wa magari Niko na kanoah kangu kamoja hivi nataka nikabadili mwaka wa kutengenezwa kutoka mwaka 1999 kwenda mwaka 2000 ili niitumie kwenye uber ,sasa sijui kama inawezekana na ikiwezekana ndo nafanyajefanyaje kwenye cadi ya Gari ! By the way biashara ya uber wanataka Gari...
  15. King_Villa

    Ulianzaje Kushabikia Timu unayoipenda ..Mimi nilianza hivi..!

    Nakumbuka mwaka 1998 France wanachukua kombe la dunia Niko darasa la tatu Mdogo sana ila nafuatilia mpira hatari ! Nakumbuka Kwenye fainali hiyo hiyo zinedine zidane (zizou) anafunga goli Kali sana Lililosababbisha Mimi na watoto wenzangu kushangilia mpaka tukadondosha TV ... Nilichezea...
  16. King_Villa

    American movies: Characters wanaocheza scene ndogo zenye sex actions huwa wanaipangiliaje hiyo scene?

    Unakuta most of american Hollywood movies unakuta kuna sex action zimewekwa yaani watu wakifanya ngono hadharani mbele ya kamera Na hali wakijua wanaonekana Na wazazi wao Na Ndugu. Nafikiri hii Ni mbaya maana mshiriki hakujidhihirisha kuwa yeye Ni porngraphic actor lakin anakuwa tayari Yuko...
  17. King_Villa

    Kwanini wakati wa Kikwete watu walikuwa wachapa kazi kuzidi wakati huu wa Magufuli?

    Nimejaribu kuangalia Takwimu zangu za haraka haraka nimegundua wakati wa kikwete watu walikuwa wanapiga kazi sana watu walikuwa saa 3 ndo mtu anaingia home,Hata kujituma kulikuwa kwa hali ya juu. Hali imebadilika sana kwa saivi unakuta mtu anarudi nyumbani saa 12 kichwa chini mikono nyuma...
  18. King_Villa

    Kwa wenye uelewa na maswala ya kiuchumi ,Njooni mnisaidie maswali Yangu machache!

    Habari wakuu, Kama kichwa cha habari kilivyosema . Nina maswali Yangu ambayo naamini wachumi watanijibu kufasaha na nitaelewa ! 1. Kwanini bei ya mafuta inapanda na kushuka ikifika mwishoni mwa mwezi ! ? Na Mara nyingi siku za jumatano! 2. Hivi pesa inakuwaje ngumu kupatikana hali...
  19. King_Villa

    Nimejikuta uzalendo na nchi yangu Tanzania umepotea, nimepata uzalendo wa nchi ya China

    Kupenda sikizote Ni moyo .moyo ndio unaamua upende wapi. Miaka kama miwili nimejikuta kuichukia sana Tanzania sijui kama tatizo Ni LA nchi au nilangu binafsi hilo bado natafakari mpaka Leo! Nimejikuta natamani kuishi CHINA na kuwa Mmoja wa raia wa nchi ile kutokana na Maisha niliyoishi Kwa muda...
Back
Top Bottom