Search results

  1. utopolo og

    FT: Yanga 3-0 Tabora United | CRDB Bank Federation Cup | Azam Complex | 01.05.2024

    Pacome zouzou anaingia kuchukua nafasi ya Stephen Aziz Ki
  2. utopolo og

    FT: Yanga 3-0 Tabora United | CRDB Bank Federation Cup | Azam Complex | 01.05.2024

    Ni fahari sana kutazama yanga wanavyotandaza soka safi na lakuvutia
  3. utopolo og

    FT: Yanga 3-0 Tabora United | CRDB Bank Federation Cup | Azam Complex | 01.05.2024

    Mabingwa wa nchi Young Africans leo wanashuka dimbani kumenyana na Tabora United katika hatua ya robo fainali ya michuano ya CRDB Bank Federation cup. Mchezo huu utapigwa katika dimba la chamazi majira ya saa 2:30 za usiku 00" Mpira umeanza........ 01" Yanga wanapata kona dak ya kwanza ila...
  4. utopolo og

    Uwanja wa JKT upigwe marufuku kutumika Ligi Kuu ya NBC

    Yanga ina viongozi wapumbavu tu km wale wa Simba
  5. utopolo og

    Mechi ya Yanga dhidi ya JKT Tanzania yaahirishwa

    Kufuatia kuharibika kwa pitch ya uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo kwa kiasi kikubwa, mechi iliyokuwa izikutanishe Jkt Tanzania dhidi ya Yanga Afrika imeahirishwa. Taarifa zaidi zitafata
  6. utopolo og

    UMEAHIRISHWA: JKT Tanzania vs Yanga | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Meja Jen Isamuhyo | 23/04/2024 Umeahirishwa

    Ntashangaa kama Yanga wataingiza timu ikacheze kwenye hili panda la ng'ombe
  7. utopolo og

    UMEAHIRISHWA: JKT Tanzania vs Yanga | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Meja Jen Isamuhyo | 23/04/2024 Umeahirishwa

    Sijui Tff wametumia kigezo gani kuruhusu uwanja wa namna hii kutumika kwenye mechi za ligi kuu.TFF HOVYO KABISAA[emoji706][emoji706]
  8. utopolo og

    UMEAHIRISHWA: JKT Tanzania vs Yanga | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Meja Jen Isamuhyo | 23/04/2024 Umeahirishwa

    Kwa hali ya huu uwanja kuna kila dalili hii mechi ikaahirishwa
  9. utopolo og

    UMEAHIRISHWA: JKT Tanzania vs Yanga | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Meja Jen Isamuhyo | 23/04/2024 Umeahirishwa

    Baada ya kuwakanda Simba S.C katika mchezo uliopita wa ligi ya NBC, mabingwa watetezi na vinara wa ligi kuu, Yanga Afrika leo tena watashuka dimbani mida ya saa 10 kamili jioni kuzisaka point tatu dhidi ya Jkt Tanzania. Ikumbumbwe katika mchezo wa raundi ya kwanza, Yanga ilipata ushindi wa 5-0...
  10. utopolo og

    Yanga yaweka Bango tena baada ya kuwafunga Simba 7-2 kwa msimu 2023/2024

    Huoni hapo ni full seasion 2023/2024?
  11. utopolo og

    Yanga yaweka Bango tena baada ya kuwafunga Simba 7-2 kwa msimu 2023/2024

    Timu ya Yanga imeweka bango kubwa maeneo ya Fire jijini Dar es Salaam linaloonesha matokeo ya jumla ya kipigo walichotoa kwa mnyama msimu huu. Kwa mechi zote mbili za msimu huu klabu ya Yanga Afrika imeisulubu Simba jumla ya magoli 7-2 kama inavyoonekana kwenye bango hapo.. Vipi maoni yako? Je...
  12. utopolo og

    Edo Kumwembe: Fiston Mayele anaumia sana kuona Yanga inafanikiwa bila yeye

    Mkuu huo ndo ukweli.. ukijaribu kufatilia hili sakata huwezi kuona popote uongozi wa Yanga umemletea zengwe Mayele
  13. utopolo og

    Edo Kumwembe: Fiston Mayele anaumia sana kuona Yanga inafanikiwa bila yeye

    Sana... kuna baloz wa Finland aliyemalizaga muda wake akaamua kuoa lishangazi la kizaramo wakanunua nyumba mbezi nakuanza maisha mapya
  14. utopolo og

    Edo Kumwembe: Fiston Mayele anaumia sana kuona Yanga inafanikiwa bila yeye

    Kutoka kwa mchambuzi wa masuala ya soka, Edo Kumwembe ambaye amefunguka sakata la mshambuliajiwa Pyramids Fc ya Misri, Fiston Mayele kuwatupia madongo waajiri wake wa zamani, Klabu ya Yanga. “Nadhani kuna tabia ambayo Mayele aliificha akiwa Young Africans na sasa ameifichua. Kutaka kuonekana...
  15. utopolo og

    Simba wasipomaliza nafasi pili, Je watashiri kombe gani?

    Ubuntu botho[emoji23][emoji23]
  16. utopolo og

    Kama Confederetion Cup imefutwa, je yanga watatambia nini medali zao?

    Unawezaje kukosoa medali za utopolo Kama kuandika tu hujui?
  17. utopolo og

    Hii ni kashfa nzito na kubwa sana kwa Viongozi wa Simba na Yanga na mpira wa Tanzania kwa ujumla

    Kwamba mzee ngungu amempigia simu Nyeto acheze chini yaa kiwango[emoji23][emoji23]
Back
Top Bottom