Search results

  1. L

    Mtoto ambaye hataki kula chakula chochote

    Huyu dawa ya minyoo anapewa Kila mwenzi na ht akikaa na watoto wenzake hali kabisa
  2. L

    Mtoto ambaye hataki kula chakula chochote

    Mtoto wa jirani yangu hataki kula kabisa ana umri wa mwaka mmoja na nusu na ana kilo Tisa(9) tumeshajaribu kumpa virutubisho vya aina vyote Ila bado hataki kula tumempa km seven sea syrup, multivitamin syrup za aina tofauti na bado hali yake Iko vile vile mbaya zaidi anazidi kudhohofika kiafya...
  3. L

    Kilimo Cha strawberry

    Shukran sana bro
  4. L

    Kilimo Cha strawberry

    Kilimanjaro mkuu
  5. L

    Kilimo Cha strawberry

    Mimi ni mkulima wa strawberry na nmeanza kilimo Cha strawberry tangu January mwaka huu Ila bado sjafanikiwa kuona MATUNDA sjui ni wap nakosea Ila nmejitahidi kufuatilia bado sjapata ufumbuzi wa changamoto zinazonikabili ktk kilimo nnachokifanya naomba msaada wenu kwa anaejua?
Back
Top Bottom