Mtoto ambaye hataki kula chakula chochote

Aug 7, 2022
7
3
Mtoto wa jirani yangu hataki kula kabisa ana umri wa mwaka mmoja na nusu na ana kilo Tisa(9) tumeshajaribu kumpa virutubisho vya aina vyote Ila bado hataki kula tumempa km seven sea syrup, multivitamin syrup za aina tofauti na bado hali yake Iko vile vile mbaya zaidi anazidi kudhohofika kiafya na anaweza kushida bila kula ht chakula ukimlazimisha anatapika na kulia siku nzima kweli mama anapitia changamoto kubwa sana mpk ameacha kumpeleka clinic kwa sababu akimpeleka manesi wanamtuana na kumwita yeye ni mzembe. Wadau naombeni ushauri wenu nn apewe ili aweze kula mtoto.
 
Kama upo Dar nenda maeneo ya fire UN road kuna specialist wa watoto pale atamsaidia.

Nimesahau jina la hospital ila inaitwa kwa jina la mtu.
 
Zaman tulikua tunatumia mchwa, wanatafutwa kama bakuli moja unawaosha vzur unawaanika kisha unawasaga unachanganya na uji anaoutumia mtoto kwa iman yetu mtoto atafunguka tumbo atakua mlaji mpka mzaz utakwazika mana kila utakacho kiacha huta kikuta kitakua kimeliwa
 
Kuna muda huwa nakumbana na hali kama hii kwa mwanngu anakuwa mbishi kula, lakini nikimpaga dawa ya minyoo anakula kula vizuri kama mwezi hivi then anaanza tena kusumbua lakini niligundua kuwa akiwa na watoto wenzake anakula vizuri bila usumbufu kwahiyo huwa natafuta vitoto vya majirani nawajumuisha pamoja wanakula wote hapo asumbui hata kidogo. lakini pia niliweka utaratibu wa kunotice ni vyakula gani anapenda kula nikagundua anapenda kula chips na vimiminika kama juice na soda kwahiyo huwa namsagia sana juice hizo hachoki kabisa kunywa na chips mara nyingi ndo kishakuwa chakula chake kwa asilimia kubwa.
 
Zaman tulikua tunatumia mchwa, wanatafutwa kama bakuli moja unawaosha vzur unawaanika kisha unawasaga unachanganya na uji anaoutumia mtoto kwa iman yetu mtoto atafunguka tumbo atakua mlaji mpka mzaz utakwazika mana kila utakacho kiacha huta kikuta kitakua kimeliwa
Mmmhhh asa hio c balaa tena
 
Sipo dar nko Kilimanjaro
Vizuri sana kwa klm kuna majani yanaitwa mkunde pori
yatafuteni hayo chukua mizizi yake
safisha chemsha weka maji hata nusu lita.
Ikishapoa mpeni mtoto kijiko kidogo
asubuhi mchana na usiku
kwa muda wa siku tatu
halafu tutaambiana hapa.
 
Jaribu kumpa phamactin huwa inaleta hamu ya kula,pia jitahid kumkazania kunywa maziwa sana hata usiku mama aamke ampe maziwa angalau ni liege tosha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom