Search results

  1. Franchesco1346

    SoC04 Mabadiliko yanayoweza kufanyika kwenye nyanja mbalimbali katika miaka 5 hadi 25 ijayo

    Jina langu ni FRANCIS 0742749886 Mabadiliko ni sehemu ya asili ya maisha ya binadamu, na teknolojia, mazingira, jamii, na uchumi vinaendelea kubadilika kwa kasi kubwa. Katika miaka 5 hadi 25 ijayo, nyanja mbalimbali zitashuhudia mabadiliko makubwa yanayoweza kuathiri jinsi tunavyoishi, kufanya...
  2. Franchesco1346

    Plot4Sale Viwanja vya ufukweni vinauzwa katika mradi wa Kaole Beach Plots, Bagamoyo

    🏖️ Kaole Beach Plots Project! Je, Unataka kuwa jirani na bahari? Mradi wa Viwanja Kaole Beach Plots unakusubiri! Eneo lipo mita 500 tu kutoka baharini, Bei ni TZS 13,000/= kwa mita ya mraba. Huduma zote za kijamii zinapatikana, ikiwa ni pamoja na maji, umeme, na barabara. Mradi wa viwanja 48...
  3. Franchesco1346

    Natafuta gari ya kununua, iwe na engine ndogo

    Habari za kazi wadau, Naomba kama utakuwa unauza au unarafiki anauza gari nzuri iwe engine ndogo na neat condition. Gari inayohitajika iwe kati ya Premio new model, Allion, Vits New model, spacio new model, Raum au Ractis. Budget ni 7.5M hadi 8M Nitumie picha na location. Asanteni sana na...
  4. Franchesco1346

    House4Sale Nyumba inauzwa

    NYUMBA HAIJAISHA INAUZWA Eneo ukubwa : 448 SQM Jiko Two bedroom ( one master) Dinning Open kitchen Public toilet Location: Madale mbopo Bei : 20,000,000 Negotiable 1.5km from madale road ( Lami ) Wasiliana nasi +255742749886 /0694465982
  5. Franchesco1346

    Je, unahitaji mashine ya kutolea risiti za kielektroniki (EFD)?

    JE,UNAHITAJI MASHINE YA KUTOLEA RISITI ZA KI ELECTRONIKI (EFD)? Tumia mfumo wa VFD, ni mfumo wa kidigitali ulio idhinishwa moja kwa moja na mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) kumuwezesha mfanyabiashara au kampuni kutoa risiti za ki electroniki (EFD) kwa kutumia simu janja au kompyuta popote pale...
Back
Top Bottom