Wakuu kwema!!
Leo naomba ushauri humu jukwaani Nipo interested sana na biashara ya kuchana mbao na kuziuza.
Kama Kuna mwanajamii yeyote anataarifa kuhusu hii biashara naomba asheee hapa
Vitu muhimu navyotaka kujua
1. Bei ya chainsaw
2. Bei za miti
3. Bei za wachananji/fundi
4.Bei za mbao...
Guys ninaomba ushauri,
Nina mwanamke wangu nilikuwanaye kwenye mahusiano tangu nipo nasoma mpaka namaliza lakini ilinichukua kama mwaka na nusu bila kupata kazi.
Wakati huo yeye alikuwa na kazi anauza duka la cosmetics la mtu. Nilikuwa sina hela mwanamke alinivumilia sana ingawa hela yake...
Nimefanya operation ya hernia lakin Toka nimeanza kupata nafuu nikijarib kukakaa au kutembea kichwa kinauma hatar.
Nilifanya operation juma nne tar 21
Shida ni Nini wakuu na nisharuhusiwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.