Search results

  1. D

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Hongera mkuu mwaka wa kufosi ukipata limama lichune
  2. D

    Rais wa Iran Ebrahim Raisi azikwa mjini kwao Mashhad

    RIP MY CLASS-MET EBRA RAHISI NAKUMBUKA SANA PALE TULIPOKUWA TUNAKAA NYUMA YA DARASA TUNAPIGA KELELE
  3. D

    Ubadhirifu: Huu ndio Msafara wa Makonda kwenye ziara za Wilayani huko Arusha

    ndio sijui kitu mkuu nieleweshe sasa, jibu hayo maswali
  4. D

    Ubadhirifu: Huu ndio Msafara wa Makonda kwenye ziara za Wilayani huko Arusha

    hao wadau wana maslahi gani na ziara za kusikiliza kero hadi wajitolee magari? hao wadau wananufaika vipi kuzunguka na mkuu wa mkoa wa Arusha? leo kila mtu akiamua kutembea na wadau wake hali itakuaje mfano kuanzia diwani awe na msafara akiwa na wadau wake? sheri na kanuni za maadili ya umma...
  5. D

    Wafuasi wao wa Twitter tu walitosha kumchangia Lisu mabilioni ya pesa

    wewe umechangia Kiasi gani mkuu. huenda wafuasi wake wengi ni masikini au wengi wame follow huko twitter kama wewe tu. Huenda wengine hawajapa hizo habari pia yote yanawezekana lakini mkuu kuchangia Milion 16. kwa masaa 24 sio kazi ndogo. Mishahara inaanza kutoka kuanzia leo huenda akafikisha 1B
  6. D

    SoC04 Serikali iwaunganishie wananchi umeme bure, wakatwe kwenye luku. TASAF iweke utaratibu wa kuzilipia kaya masikini

    kama ndio hivyo basi hata bima zifutwe maana unawachangia wenzio. na mabenki yasikopeshe maana haiwezekani mimi nitafute hela nije nihifadhi kwako na wewe ukawakopeshe watu kwa riba hela zangu. kila mtu atafute zake.
  7. D

    MIKOPO

    vya Tundu lissu, chadema walichanga akavinunua
  8. D

    HIVI WATU WANAOTOA LUGHA CHAFU ZA MATUSI KUNA NINI NYUMA YAKE?

    wana UKONDOKTA SPIRIT yaan nyuma yao wana Roho ya ukondakta
  9. D

    Kosa langu nini ni Vannesa?

    Mkuu japo hujamaliza story yako yaani ahdi chuo ulikuwa huna hisia na warembo? kama sio vanesa sahv ungekuwa team Lokole and others
  10. D

    Dkt. Kigwangalla: Mbowe hataki kuachia Uenyekiti, alimfukuza Zitto na sasa anamfanyia figisu Lissu. Tumwite Ayatollah Mbowe au Kabaka Mbowe

    kwani demokrasia kwa tafsiri yako ni nini? kwani hawaruhusu watu wengine kugombea? mbowe huwa anapita bila kupingwa? nisaidie mkuu maana mimi nimezaliwa 2010
  11. D

    Sipendi kuona mume wangu anakosa hela, huwa nampa hela, je inatokea kwa wanandoa wote?

    naomba namba ya mume wake anielekeze kwa mganga wake tafadhali,, kuna lishanagzi lina mzigo hapa mtaani nataka ni seto
  12. D

    Kwanini nafurahishwa sana na nazikubali mno Nyodo na Dharau za Dotto Magari ambazo ni Chungu Kwetu Wasomi, Wabaguzi na wenye Dharau kwa Masikini?

    Tuambie mafanikio yake mkuu ni yapi. au umaarufu wa mitandaoni ndio tafsiri ya mafanikio? sio mbaya ukatuambia an kipato chake kwa mwezi na miradi aliyo nayo
  13. D

    Mbagala: RC Chalamila apokelewa kwa Wimbo "Bao 1 milioni 10 lakini barabara mbovu"

    Wananchi wameanza kuelewa kilichobaki ni kuwaondoa wanaotoa hizo millioni kumi
  14. D

    Mkuu wa wilaya Kigamboni asema wanajeshi wanapiga na kuua wananchi

    DC anaweza kumchukulia hatua gani mwanjeshi? hebu tupe elimu kidogo mkuu huenda namm siku moja naikawa dc
Back
Top Bottom