Search results

  1. Mwangajamiitz

    Mawazo Huru

    Huwa najiuliza kwanini Serikali Isingewaezesha Wa kulima kama vile kuwapatia Vifaa Vya kisasa Vya Kilimo kama Trekta, Mashine za umwagiliaji halafu kila mkulima Anapovuna Anatoa Asilimia Kumi tu ya mazao baáda ya Miaka mitano mkulima ataachiwa Vifaa hivyo. Na kila Serikali inapochukua...
  2. Mwangajamiitz

    Uvutaji wa Sigara kwenye kadamnasi ya watu

    Tabia inayofanywa na wavuta Sigara. Kutendo Baadhi ya wavutaji wa Sigara ni kwenda Dukani kununua Sigara na kuiwasha papo hapo na kuanza kuvuta bila kujali Afya ya Watejá wanaohudumiwa hapo. Inabidi ziwekwe sheria ndogo ndogo za kulinda Afya za wengine ambao sio watumiaji. Hivi mvutaji Wa...
  3. Mwangajamiitz

    Submeter Suluhisho la wamiliki na wapangaji Wa nyumba

    Hii Submeter inakupa uwezo Wa kuweka kiwango cha Unit zako mwenyewe kulingana Pesa uliyolipa. Na Unit zako zikiisha umeme utazima kwako peke yako. Wengine wataendelea kutumia Umeme. Ili kupata Unit zingine, Utanunua umeme utaweka kwenye Luku kuu ya Tanesco halafu utatengeneza Token kulingana...
  4. Mwangajamiitz

    Umeshawahi kuibiwa simu au kupoteza na kwenda kutoa taarifa kituo cha polisi ili waitatafute. Je, uliipata?

    Je umeshawahi kuibiwa simu au kupoteza na ukaamua kwenda kutoa taarifa kituo cha polisi ili wa I track na pesa ukatoa? Ebu tuambie ulifanikiwa kuipata?
  5. Mwangajamiitz

    Fundi umeme na vifaa mbalimbali

    KARIBU: Nafanya Wirering Majumbani na Viwandani. Na kuondoa Tatizo Lolote la Umeme. Kwa mfumo wa umeme wa Three Pharse na Single Pharse. Pia Natengeneza Vifaa vya Umeme Kama pasi, .Majiko ya Umeme, Birika la Umeme, Ricecooker nk. Kwa Dar es salaam Nakuja Ulipo. Wasiliana nami Muda wowote...
  6. Mwangajamiitz

    Asilimia kubwa ya mafundi mbalimbali wa Tanzania Hawajaenda Darasani Lakini Kazi za Ufundi wao ni Bora

    Kuhusu Ajira moja ya Nchi Inayoshindwa kutofautisha Kati ya Ujuzi kwa Uzoefu, na Ujuzi wa vyeti. Asilimia kubwa ya mafundi mbalimbali wa Tanzania Hawajaenda Darasani Lakini Kazi za Ufundi wao ni Bora kuliko, mafundi waliokwenda Darasani. Na Asilimia kubwa ya mafundi wenye Vyeti wanapata Uzoefu...
  7. Mwangajamiitz

    Mtu anapogundulika hana hatia alipwe fidia na Aliyemshtaki na Serikali pamoja Na mahakama wahakikishe Mtu huyo amelipwa stahiki zake

    Habari zenu wadau wenzangu. Kwa jina Halisi naitwa SAID YOHANA MOSES. Na Kwa Jina la Utetezi la Watanzania na la wa Africa nzima naitwa MR MWANGAJAMII. Leo nimeona nililete hili kwa watanzania na waafrika kwa Ujumla. Katika mahakama zetu na serikali zetu za Afrika hili wameshindwa...
Back
Top Bottom