Uvutaji wa Sigara kwenye kadamnasi ya watu

Mwangajamiitz

Member
Jan 28, 2022
25
70
Tabia inayofanywa na wavuta Sigara.

Kutendo Baadhi ya wavutaji wa Sigara ni kwenda Dukani kununua Sigara na kuiwasha papo hapo na kuanza kuvuta bila kujali Afya ya Watejá wanaohudumiwa hapo.

Inabidi ziwekwe sheria ndogo ndogo za kulinda Afya za wengine ambao sio watumiaji. Hivi mvutaji Wa Sigara unashindwa nini kununua Sigara yako ukatafuta Sehemu ya wazi au ndani kwako ukavuta Sigara yako na ukimaliza Uendelee na shughuli zingine?

Kwanini Tupeane Tb za Mapafu kwa Starehe zako.

Wavutaji Badilikeni Hii kitu haijakaa vizuri.

1713033199514.png
 
Back
Top Bottom