Search results

  1. Mwangajamiitz

    Mawazo Huru

    Huwa najiuliza kwanini Serikali Isingewaezesha Wa kulima kama vile kuwapatia Vifaa Vya kisasa Vya Kilimo kama Trekta, Mashine za umwagiliaji halafu kila mkulima Anapovuna Anatoa Asilimia Kumi tu ya mazao baáda ya Miaka mitano mkulima ataachiwa Vifaa hivyo. Na kila Serikali inapochukua...
  2. Mwangajamiitz

    Uvutaji wa Sigara kwenye kadamnasi ya watu

    Tabia inayofanywa na wavuta Sigara. Kutendo Baadhi ya wavutaji wa Sigara ni kwenda Dukani kununua Sigara na kuiwasha papo hapo na kuanza kuvuta bila kujali Afya ya Watejá wanaohudumiwa hapo. Inabidi ziwekwe sheria ndogo ndogo za kulinda Afya za wengine ambao sio watumiaji. Hivi mvutaji Wa...
  3. Mwangajamiitz

    Naomba Kuelimishwa Juu ya Submeters zinazokata umeme

    Kwanzá Submeter Umeme huwa unaanza Kuingizwa kwenye Mita kuu ya Tanesco(Tanzania) Na Zeco (Zanzibar) ndio unaingiza kwenye Submeter yako. Pili Kwa mwenye kutaka kufunga kwenye chumba kimoja tu anatakiwa kufunga Submeter Mbili. Kwanini Mbili? Mbili kwa sababu ukifunga moja tu...
  4. Mwangajamiitz

    Submeter Suluhisho la wamiliki na wapangaji Wa nyumba

    Asante Kwa Ujumbe wako. 321+40-50 contractor +urefu Wa waya 8mm.. ila sio bei Kubwa sana kwa Mita nne au Tano sio mbaya.
  5. Mwangajamiitz

    Submeter Suluhisho la wamiliki na wapangaji Wa nyumba

    Unaanza kuweka umeme kwenye Mita kuu kwanza halafu ndio unaamishia kwenye Submeter. Kama umeweka umeme Wa 10000 ambao ni sawa na Unit 28kwh unauamisha hivyo kwenye Submeter yako. Na Submeter yako Itakuonyesha Unit 28kwh unapoanza kutumia utaanza kushuka mpaka kuwa Unit 00kwh hapo umeme...
  6. Mwangajamiitz

    Submeter Suluhisho la wamiliki na wapangaji Wa nyumba

    Kila mtu atakula jsho lake. Ukifunga mbili mmoja asiponunua Atalala Giza wengine Mtaendelea kuinjoy Hii inakufanya Utumie kifaa chochote kwa maana ákimaliza umeme wako utabaki Giza. Submeter hizi pia zinauwezo Wa ku temper endapo kifaa chako kimepiga short Submeter itajizima na utapiga Simu...
  7. Mwangajamiitz

  8. Mwangajamiitz

    Submeter Suluhisho la wamiliki na wapangaji Wa nyumba

    Ndio unajiwekea unaingiza Token mwenyewe. ila unaanza Kuingiza kwenye Mita kuu.
  9. Mwangajamiitz

    Submeter Suluhisho la wamiliki na wapangaji Wa nyumba

    Ndio unaweza kuiacha kwa makubaliano Yenu. Utawasiliana nami nitabidili Jina.
  10. Mwangajamiitz

    Submeter Suluhisho la wamiliki na wapangaji Wa nyumba

    150000 1pc 2pc na kuendelea utauziwa 130000 1pc
  11. Mwangajamiitz

    Submeter Suluhisho la wamiliki na wapangaji Wa nyumba

    Asante kumbuka sub inategemea sorce ya Umeme kutoka Main Meter mwenye kunielewa atanielewa. Ndio maana tunashauri ufunge sub mbili moja kwa Ajili yako na kwa Ajili ya wengine hapo háta wao wakitumia wakwao ukiisha watabaki na Giza ila wewe utaendelea kuwa na umeme. Kwa Sababu umewa manage.
  12. Mwangajamiitz

    Submeter Suluhisho la wamiliki na wapangaji Wa nyumba

    Ndio unaweza kuhama Nayo bila shida kwa kuwa ni Mali yako na imesajiliwa kwa Jina lako.
  13. Mwangajamiitz

    Submeter Suluhisho la wamiliki na wapangaji Wa nyumba

    Asante Ili kwako usikatike itakubidi ununue mbili ni sawa na 260,000. Sababu ya kufungiwa mbili moja ni kudhitibiti mtu asitumie kwenye Mita ya Tanesco.
  14. Mwangajamiitz

    Submeter Suluhisho la wamiliki na wapangaji Wa nyumba

    Madame B: Ukinunua Submeter moja 150,000 Ukinunua Kuanzia mbili na kuendelea ni 130,000 Kila moja.
  15. Mwangajamiitz

    Submeter Suluhisho la wamiliki na wapangaji Wa nyumba

    Ukitaka umeme usikatike inatakiwa kila mmoja afunge. Kama wewe unataka kufunga Hii Submeter peke yako, ni lazima ununue mbili, moja unajifungia mwenyewe na nyingine unawafungia ha wengine. Daima Luku haiwezi kuishiwa umeme labda wote msinunue umeme. Na kumbuka Submeter inauwezo wá kufungiwa...
  16. Mwangajamiitz

    Submeter Suluhisho la wamiliki na wapangaji Wa nyumba

    Hii Submeter inakupa uwezo Wa kuweka kiwango cha Unit zako mwenyewe kulingana Pesa uliyolipa. Na Unit zako zikiisha umeme utazima kwako peke yako. Wengine wataendelea kutumia Umeme. Ili kupata Unit zingine, Utanunua umeme utaweka kwenye Luku kuu ya Tanesco halafu utatengeneza Token kulingana...
  17. Mwangajamiitz

    Umeshawahi kuibiwa simu au kupoteza na kwenda kutoa taarifa kituo cha polisi ili waitatafute. Je, uliipata?

    Je umeshawahi kuibiwa simu au kupoteza na ukaamua kwenda kutoa taarifa kituo cha polisi ili wa I track na pesa ukatoa? Ebu tuambie ulifanikiwa kuipata?
  18. Mwangajamiitz

    Halima Mdee: Serikali iache kukimbilia kukopa inadumaza akili

    Kwahiyo hii mada inahusika vipi Umeme? Jitathimini Ufahamu wako kwanza Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom