Search results

  1. Kinjekitile Jr

    Roma Mkatoliki na Nay wa Mitego, ni muda wenu sasa kuwa wabunge/viongozi ndani ya nchi hii

    Wasalaam Wakuu.............!!! Moja kati ya mambo ambayo uwa naumia sana kuyaona kwenye hii nchi ni kuwaona watu wasio staili kukalia nafasi za wale wanao staili Ukienda Bungeni kuna watu mpaka unashangaa mwenyewe,alitumia mbinu gani mpaka akaupata ubunge? Mtu Kama Babu Tale,Mwana FA,Michael...
  2. Kinjekitile Jr

    Huyu Binti wa Kipemba anahitaji nini kutoka kwangu??

    Heri ya krismasi wakuu!? Twende kwenye mada moja kwa moja, Mimi ni Mwanafunzi wa chuo fulani bora sana cha afya hapa nchini, Kuna siku nilikuwa natoka kusoma, kujiandaa na UE(University Examination),sasa wakati natoka class,nikakutana na binti kavaa ushungi, rangi yake kwa mbali kama Muarabu...
  3. Kinjekitile Jr

    Mbowe na Lissu na kisa cha Martin Luther King Jr. na Malcolm X

    Asalaam ndugu wana jukwaa. Ukitazama kwa makini siasa zinazo endeshwa ndani ya CHADEMA kwa sasa, unaona kutokuelewana fulani hivi kati ya Mwenyekiti Freeman Aikaeli Mbowe na Makamu wake,nguli wa sheria wa nchi hii Mheshimiwa Tundu Anthipas Lissu. Miaka ya nyuma,huko Marekani kuliibuka na...
  4. Kinjekitile Jr

    Ninampenda sana ila kwa hili sifikirii kama nitaendelea kuwa nae

    WAKUU POLENI NA PILIKA PILIKA ZA TETESI ZA BANDARI YETU KUUZWA....... Twende direct kwenye mada tajwa hapo juu, Nipo kwenye mahusiano na binti fulani hivi kutoka kanda ya kaskazini........tulifahamiana toka nikiwa advanced level. yeye alikuwa anasoma shule ya girls halafu mimi nipo...
  5. Kinjekitile Jr

    Msaada;Maumivu ya kichwa mara kwa mara

    Wakuu Poleni kwa muha hai ko ya hapa na pale kwa sababu ya kutafuta riziki ili nchi yetu pendwa iweze kusonga mbele Wakuu samahanini!!!!!! Kwa muda wa wiki kama tatu hivi nimekuwa nikisumbuliwa na Maumivu makali sana ya kichwa hasa upande wa kushoto mpaka machozi yananitoka na jicho la upande...
  6. Kinjekitile Jr

    Nilitaka kumuoa, nimeghairi

    Poleni na majukumu wana wa Mungu! Nimekuwa kwenye mahusiano na binti fulani hapa chuoni kwa kipindi kama cha mwaka mzima mpaka sasa. Mwanzo nilimuona ni binti mstaarabu na asiependa makuu kwani hapendi kuvaa au kupendeza sana (anavaa kikawaida sana) kama wasichana wengine wa vyuoni...
  7. Kinjekitile Jr

    Maoni: John Heche agombee Urais 2030

    Poleni na majukumu wana JF!!! Twende kwenye mada moja kwa moja…..Nimekuwa nikifuatilia historia za siasa za nchi hii kwa kipindi kirefu sana, Mpaka nilipokuja kufanya hitimisho hivi majuzi kwa kumuona kuwa huyu jamaa (John Heche) ni mtu wa kazi sana na uwa anamaanisha anacho zungumza na...
  8. Kinjekitile Jr

    Msaada: Mchumba wangu ana upele mwilini

    Naomba msaada ndugu maana nipo kwenye hali ya masononeko sana nashindwa kuelewa hiki ni nini. Ipo hivi, nipo kwenye mahusiano na binti fulani mweupe sana na ni mrembo kweli kweli ila jambo linalo nishangaza ni kuwa ana UPELE mdogo mdogo karibu sehemu kubwa za mwili wake na usoni ndio zimejaa...
  9. Kinjekitile Jr

    Chadema mchukueni mtoto/ndugu wa Magufuli:

    Poleni na mapambano wana JF, Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada kama ambavyo yajieleza hapo juu. Siasa ni sayansi inayo hitaji maarifa makubwa sana kuliko sayansi zingine zote,kwa sababu inagusa watu moja kwa moja…..hakuna siasa bila kuungwa mkono na watu na hao watu ili uwapate ndio hapo...
  10. Kinjekitile Jr

    Msaada: Kwa anayejua mahali pakupata filamu ya Vuta N'Kuvute

    Habarini wana jamvi, Ninaomba mnisaidieni kwa yoyote anayefahamu sehemu ya kupata movie ya Vuta N'Kuvute au Tug of War anifahamishe au kama ana link anisaidie maana nimeitafuta sana lakini sijaipata.
  11. Kinjekitile Jr

    Msaada: Mama yangu kaolewa na kijana umri sawa na sisi wanae

    Mungu wasamehe wanawake wote kiukweli sio akili zao…..wanateswa na mapepo makali sana
  12. Kinjekitile Jr

    MREJESHO; Shida ya mkojo

    Wakuu ni matumaini yangu mu bukheri wa afya kabsa; Mwezi uliopita nilikuja hapa kwenye hili jamvi nikaeleza kuhusu shida ya mkojo iliokuwa inanikabili na wengi wenu mkanishauri niende hospital nikafanyiwe uchunguzi zaidi ili nifahamu nini kinanikabili.Wengi wenu mli-predict uenda ikawa ni...
  13. Kinjekitile Jr

    Je, kuna madhara ya kufanyiwa upasuaji njia ya mkojo?

    Ndugu wana jukwaa habarini za muda huu na hongereni sana na kazi ya kulijenga taifa letu pendwa la Tanzania. Mimi ni kijana wa miaka 20's,ninateseka na tatizo la mkojo hivyo basi nilifika bugando wakanifanyia checkup wakabaini kuwa;urethra inaelekea kuziba hivyo wakanipatia dawa lakini nazo...
  14. Kinjekitile Jr

    Msaada: Nateseka sana na huu ugonjwa wa mfumo wangu wa mkojo

    Habari wana jamvi; Mimi ni kijana wa miaka 23,kwa miaka isio pungua 7 (saba) nimekuwa nikipitia kipindi kigumu kabisa kiafya hasa kwenye mfumo wangu wa mkojo(urinary system) 1.Nimekuwa nikipata haja ndogo ya kusua sua yaani nikienda haja ndogo mpaka nitumie sio chini ya dakika 2-5 ndiyo mkojo...
  15. Kinjekitile Jr

    Nina tatizo la kutotoa mkojo wote wakati wa haja ndogo

    Ndugu wana jamvi,poleni na majukumu; Ninasumbuliwa na tatizo la katika njia ya mkojo yaani nikienda haja mpaka nitumie sio chini ya dakika 5 au 6 ndiyo mkojo uweze kutoka, tena hautoki wote mwingine lazima ubaki mbali na hapo nikiona mtu mbele yangu au karibu yangu siwezi kukojoa kabisa...
Back
Top Bottom