Search results

  1. N

    Muuza madafu: Mimi mwenyewe nilipomuona yule Komandoo nikagundua nimefanana naye, ila Siyo Mimi japo nacheza Kareti na Boxing!

    Usije kudharau Nchi yako japo changamoto zipo, askari wa Marekani hua wakuja kutrain na maofisa wetu hapa usifikili niwajinga.
  2. N

    Muuza madafu: Mimi mwenyewe nilipomuona yule Komandoo nikagundua nimefanana naye, ila Siyo Mimi japo nacheza Kareti na Boxing!

    Ma CDO wengi wanaishi in disguise unaweza mkuta na ndevu au mtu simple akikupita pengine unaweza usiamini
  3. N

    Muuza madafu: Mimi mwenyewe nilipomuona yule Komandoo nikagundua nimefanana naye, ila Siyo Mimi japo nacheza Kareti na Boxing!

    Una dharaua sana dogo Una dharau wakati nyumbani kwako huwezi kuua hata mjusi, watu kama wewe ni watu mlienda shule kujifunza ujinga.
  4. N

    Muuza madafu: Mimi mwenyewe nilipomuona yule Komandoo nikagundua nimefanana naye, ila Siyo Mimi japo nacheza Kareti na Boxing!

    Haina mjadala tena huyo ndio yeye mwenyewe captain ambae pia ni CDO. Ukifika cheo cha captain unaweza kupewa jukumu ambalo ukitaka kufanikisha kitu unakuwa ni disguise. Yupo ambae aliwahi kuact kama kocha wa mpira kilichofata ni historia, yupo aliact kama muuza dagaa kigoma, mafuta ya mawese na...
  5. N

    Je, Israel ana combat superiority dhidi ya Iran?

    Military actions are not for granted unless you want to go to hell. Usipende kujadili vitu kwa hisia kama kweli ulienda shule kujifunza namna ya kutumbua mambo. Hakuna anayeweza kuingia vitani kama ng'ombe kwa dunia ya leo ndio maana Marekani alionya Israel akijibu mapigo basi ayanywe mwenyewe...
  6. N

    Je, Israel ana combat superiority dhidi ya Iran?

    Huwezi kupata taarifa rasmi kama huna independent mind kwa sababu kwenye media kuna biases nyingi sana. Maana yangu ni kwamba ukiwa umechukua upande ukikutana na taarifa tofauti ni zile unazotaka wewe utaona uzushi. Kwa mfano mgogoro wa mashariki ya Kati ni sehemu yenye propaganda nyingi sana...
  7. N

    Je, Israel ana combat superiority dhidi ya Iran?

    Hufahamu kuwa kuna media bias pia, mfano aljazera wako symphasized na palestine unaweza kuwa misinformed kama huna independent mind. Misconception inatokea mara nyingi ukiwa unataka taarifa za upande mmoja.
  8. N

    Je, Israel ana combat superiority dhidi ya Iran?

    Wewe hizo data umezipata wapi mbona hujaweka kumbukumbu rejea au ni maoni yako.
  9. N

    Nani anastahili huruma kati ya Israel na Palestine?

    Sina maelezo mengi wote wenye akili timamu tumeona biasness, hypocrites, na double standard nyingi kwenye huu mgogoro. Media coverages ni full of biasses kila mmoja amechukua upande, je nani anastahili huruma. Alianza kushambuliwa israel kisha akajibu mapigo je who deserve sympathy.
  10. N

    Kuna nchi Afrika Mashariki inayomiliki ndege za kivita zisizotumia rubani?

    Wewe dogo unaakili au ulienda shule kujifunza ujinga, unafikili jeshi la wananchi hajui mahitaji ya technologia ya vita, nenda kikosi cha mzinga uangalie vijana wanafanya nini pale. Chuo cha maofisa TMA unafikili kuja wajinga pale, nakuambia sasa chuo cha maofisa kuna watu wanaakili pale wewe...
  11. N

    Kuna nchi Afrika Mashariki inayomiliki ndege za kivita zisizotumia rubani?

    Vijana wengi wa Tanzania tuna shida katika kujadili mambo, mtu huna mafunzo yoyote ya kijeshi lakini unataka kuchangia. Note kuvunja matofari, kubeba magogo na shughuli zingine ni sehemu ya kuonesha ukakamavu tu wa cdo na wala si rangi halisi ya uwanja wa medani. Jeshi letu liko imara kimkakati...
  12. N

    Kwanini Wakongo wengi wanapendwa Tanzania na kuaminiwa zaidi ya majirani wote

    Naomba kuwasilisha juu ya namna wacongo wanavyo kula na kunywa Tanzania bila kuhofiwa wala kutiliwa mashaka yoyote. Yapo yanayosemwa kama wacongo ni ndugu zetu wa damu maana Tangu awali wameishi kwetu na kufanya shughuli zao kwa raha mstarehe. Naomba kuelimishwa kuhusu majirani wengine wakija...
  13. N

    Naomba kuelimishwa kuhusu Hayati Lowassa kuagwa kwa heshima za kijeshi

    Naomba kuelimishwa kuhusu heshima za kijeshi anazopewa Lowassa katika msiba wake
  14. N

    Nilichojifunza vita ya Hamas na Israeli

    Ulishawahi kuingia kwenye uwanja wa medani au unaongea kama mwendawazimu. Nchi hii imekua na vijana wa hovyo kabisa kujadili vitu wasivyovijua.
  15. N

    Milioni 150 Rais Samia kaipata wapi?

    Anapewa kama billion tano hivi ambazo anaamua mwenyewe apeleke wapi, anaweza kutoa ZAWADI, kutoa mchango nk.
  16. N

    Nchi za Kiarabu ziko sahihi kutoishambulia Izrael, ni hatari kwao

    Wewe bado ni mtoto bado unasumbuliwa na arrogance, unazoziita academic paper bado ni uchafu kwa mtu mwenye rational mind huwezi kujisumbua kusoma vitu ambavyo ni full of bias. Ndio maana nimekuambia unapaswa kuwe adhered on the conceived reasonable arternative vinginevyo utachukua upande. Huna...
  17. N

    Nchi za Kiarabu ziko sahihi kutoishambulia Izrael, ni hatari kwao

    Umeshashindwa ndio maana unarukaruka kama mahalage, ulienda shule kujifunza ujinga. Hizo takataka nimeshazisoma hakuna objectivity ni full of conspiracy. Wewe una uwezo mdogo ndio maana umeshindwa kusupport allegations zako. Islamophobia imetokana na nini kama sio allegation kuwa muslim are...
  18. N

    Nchi za Kiarabu ziko sahihi kutoishambulia Izrael, ni hatari kwao

    Zingatia haya mambo unapotaka kujifunza geopolitics vizuri cha kwanza, revealing the issue, what evidence supports this idea, and what evidence is against it's being true? Kitu cha pili kuzingatia, conceiving reasonable arternative, what might be another explanation or view point of situation...
Back
Top Bottom