Nilichojifunza vita ya Hamas na Israeli

zwangandaba

JF-Expert Member
Jan 31, 2023
627
1,163
Heri ya mwaka mpya bandugu.

Nisiwapotezee muda wenu ila niende moja kwa moja kwenye mada.

Kwa mnaofatilia kwa ukaribu mapambano ya vita kati ya mahasimu wa kihisoria, nazungumzia wapalestina na wa Israel sina shaka mtakubaliana nami juu ya mambo kadhaa.

Wakati ukichangia uzi wangu chondechonde weka mbali kasumba yako ya Imani uliyoletewa na wakoloni wa kizungu ama waarabu Ili twende sawa.

Nimejifunza haya:
1.Usimchukulie powa adui yako vinginevyo litakukuta la kukukuta ufedheheke kama si kufutika duniani.

Vyovyote iwavyo adui unaemdharau akikushambulia, usikurupuke , tumia mda mchache kumsoma na kuangalia namna ya kummaliza ukiwa na taarifa sahihi dhidi ya udhaifu wake. Kama huna maandalizi ya kutosha,kimbia umwepuke kuepusha hasara na madhara kwako.

2.Hizi mbwembwe za kujiita sijui komandoo, jenerali, kikosi maalum, oooh sijui special forces ni mbwembwe tu kwenye uwanja wa vita. Hayo mavyeo na manyota kama upupu hayana msaada sana kwenye uwanja halisia wa mapambano.

Kwenye uwanja wa vita hata mkaanga chipsi na mchoma mihogo anayo nafasi kubwa ya kumlaza komandoo ama jenerali ama kuteketeza msafara mzima wa hao wanao jiita wenye mafunzo ya hali ya juu ya kijeshi.

3.Vita ya darasani haina msaada mkubwa kwenye uwanja halisia wa mapambano. Vita ya darasani inafaa sana kutengeneza move za kutizamia sebuleni.

4. Vita inahitaji unyumbulifu sana wa akili, nafasi na mwili Ili uweze kukabiliana na kummaliza adui yako. Vita ya kileo haina chakuficha wala propaganda. Vita ya Sasa inapiganwa live, na ukipigwa unaonekana live dunia nzima kuwa umekong'otwa. Hapa ndipo aliekuwa anakuheshimu anashikwa na butwaa jinsi unavyopoteza kiboya boya.

5. Manguo na magwanda ya kutishatisha sio msaada wakati wa mapambano. Kumbe hata jeans na tishirt tu mambo yanakwenda powa tu

6. Uwingi wa vifaa vya mapigano na ma mitambo ya ajabuajabu kumbe ni mbwembwe tu kama askari hana akili na maarifa ya ziada ya kucheza na mazingira ya eneo la mapigano anapigwa na makorokoro yake kama amesimama.

7. Kuna haja na umuhimu wa majeshi yetu kutengeneza vikosi maalum Kwa ajili ya guelliar war maana ndio yenye mafanikio zaidi. Mapigano ya msituni na mitaani kwa guelillar ambush yanatoa matokeo bora zaidi(kama we ni mfuatiliaji wa kile kinachoendelea huko Gaza utakubaliana na mimi)

8.IDF ni dhaifu sana na mweupe kwenye ground war. Kwenye nyanja hii nya mapigano ndipo amepatia hasara kubwa kulinganisha na angani na maji. Wapalestina wameonyesha umahiri mkubwa sana kupambana na jeshi kubwa na linaloogopeka duniani.

9.Hakuna adui myonge wa kudumu kwenye mapigano. Uliempiga jana anaweza kukupiga leo, hivyo usibweteke na hadithi za historia kwamba fulani aliwahi kupigika hivyo unaweza kumpiga hata leo, no! Kama hujajipanga usiingie vitani. Hii itakujengea heshima na ustawi kiuchumi,kisasa na kijamii. Kwa mfano hii vita ya wapalestina na wayajudi kama itasimamishwa leo, nidhahiri wapalestina waataibuka washindi katika mizani ya kijeshi Kwa kupima hasara za pande zote mbili ukiondoa majengo .

10. Wanamgambo wa kipalestina ni wapiganaji hatari sana katika medani za vita dhidi yaadui yao.

11. Israeli ameonyesha na anazidi kuonyesha udhaifu mkubwa sana kijeshi wa mbinu za mapigano ya kukabiliana na adui ardhini na hii imepelekea Dunia kuwa na mshangao mkubwa Kwa namna ambavyo vyombovya habari viliiaminisha Dunia hapo kabla.

Tuwaombee wanaopigana wapate moyo wa kusimamisha mpigano Ili kunusuru raia wanaoteseka na madhara ya vita hivi
 
Heri ya mwaka mpya bandugu.

Nisiwapotezee muda wenu ila niende moja kwa moja kwenye mara.

Kwa mnaofatilia kwa ukaribu mapambano ya vita kati ya mahasimu wa kihisoria, nazungumzia wapalestina na wa Israel sina shaka mtakunaliana nami Kwa mambo kadhaa.

Wakati ukichangia uzi wangu chondechonde weka mbali kasumba yako ya Imani uliyoleyewa na wakoloni wa kizingi ama waarabu Ili twende sawa.

Nimejifunza haya:
1.Usimchukulie powa adui yako vinginevyo litakukuta la kukukuta ufedheheke kama si kufutika duniani.

Vyovyote iwavyo adui unaemdharau akikushambulia, usikurupuke , tumia mda mchache kumsoma na kuangalia namna ya kummaliza ukiwa na taarifa sahihi dhidi ya udhaifu wake. Kama huna maandalizi ya kutosha,kimbia umwepuke kuepusha hasara na madhara kwako.

2.Hizi mbwembwe za kujiita sijui komandoo, jenerali, kikosi maalum, oooh sijui special forces ni mbwembwe tu kwenye uwanja wa vita. Hayo mavyeo na manyota kama upupu hayana msaada sana kwenye uwanja halisia wa mapambano.

Kwenye uwanja wa vita hata mkaanga chipsi na mchoma mihogo anayo nafasi kubwa ya kumlaza komandoo ama jenerali ama kuteketeza msafara mzima wa hao wanao jiita wenye mafunzo ya hali ya juu ya kijeshi.

3.Vita ya darasani haina msaada mkubwa kwenye uwanja halisia wa mapambano. Vita ya darasani inafaa sana kutengeneza move za kutizamia sebuleni.

4. Vita inahitaji unyumbulifu sana wa akili, nafasi na mwili Ili uweze kukabiliana na kummaliza adui yako. Vita ya kileo haina chakuficha wala propaganda. Vita ya Sasa inapiganwa live, na ukipigwa unaonekana live dunia nzima kuwa umekong'otwa. Hapa ndipo aliekuwa anakuheshimu anashikwa na butwaa jinsi unavyopoteza kiboya boya.

5. Manguo na mayunifomu ya kutishatisha sio msaada wakati wa mapambano. Kumbe hata jinsi na tishirt tu mambo yanakwenda powa tu

6. Uwingi wa vifaa vya mapigano na ma mitambo ya ajabuajabu kumbe ni mbwembwe tu kama askari hana akili na maarifa ya ziada ya kucheza na mazingira ya eneo la mapigano

7. Kuna haja na umuhimu wa majeshi yetu kutengeneza vikosi maalum Kwa ajili ya guelliar war maana ndio yenye mafanikio zaidi. Mapigano ya msituni na mitaani kwa guelillar ambush yanatoa matokeo bora zaidi(kama we ni mfuatiliaji wa kile kinachoendelea huko Gaza utakubaliana na mimi)

8.IDF ni dhaifu sana na mweupe kwenye ground war. Kwenye nyanja hii nya mapigano ndipo amepatia hasara kubwa kulinganisha na angani na maji. Wapalestina wameonyesha umahiri mkubwa sana kupambana na jeshi kubwa na linaloogopeka duniani.

9.Hakuna adui myonge wa kudumu kwenye mapigano. Uliempiga jana anaweza kukupiga leo, hivyo usibweteke na hadithi za historia kwamba fulani aliwahi kupigika hivyo unaweza kumpiga hata leo, no! Kama hujajipanga usiingie vitani. Hii itakujengea heshima na ustawi kiuchumi,kisasa na kijamii. Kwa mfano hii vita ya wapalestina na wayajudi kama itasimamishwa leo, nidhahiri wapalestina waataibuka washindi katika mizani ya kijeshi Kwa kupima hasara za pande zote mbili ukiondoa majengo .

10. Wanamgambo wa kipalestina ni wapiganaji hatari sana katika medani za vita dhidi yaadui yao.

11. Israeli ameonyesha na anazidi kuonyesha udhaifu mkubwa sana kijeshi wa mbinu za mapigano ya kukabiliana na adui ardhini na hii imepelekea Dunia kuwa na mshangao mkubwa Kwa namna ambavyo vyombovya habari viliiaminisha Dunia hapo kabla.

Tuwaombee wanaopigana wapate moyo wa kusimamisha mpigano Ili kunusuru raia wanaoteseka na madhara ya vita hivi
Wajukuu wa mwinyazi Mungu Wana Tabu Sana.

Nilitegemea ulete taarifa lile Gaidi lenu lililouwawa na drone Beirut linazikwa lini?
 
Sema dhidi ya Allah siyo Mungu
Allah ni kiarabu hivo iwe Quran au Biblia ya kiarabu inatumia neno Allah hivohivo kama.

Allah - Kiarabu
God - kiingereza
Mungu - Kiswahili
Yahweh - Kiebrania
Deus - kireno
Theos - Kigiriki
Dio - Kiitaliano
Dieu - Kifaransa
Gott - Kijeruman

Msiyumbishwe na maneno ya vijiweni! Wote tunaabudu Mungu mmoja ndiyo msingi wa iman zetu sio Waislamu wala Wakristo.
 
Heri ya mwaka mpya bandugu.

Nisiwapotezee muda wenu ila niende moja kwa moja kwenye mada.

Kwa mnaofatilia kwa ukaribu mapambano ya vita kati ya mahasimu wa kihisoria, nazungumzia wapalestina na wa Israel sina shaka mtakubaliana nami juu ya mambo kadhaa.

Wakati ukichangia uzi wangu chondechonde weka mbali kasumba yako ya Imani uliyoletewa na wakoloni wa kizungu ama waarabu Ili twende sawa.

Nimejifunza haya:
1.Usimchukulie powa adui yako vinginevyo litakukuta la kukukuta ufedheheke kama si kufutika duniani.

Vyovyote iwavyo adui unaemdharau akikushambulia, usikurupuke , tumia mda mchache kumsoma na kuangalia namna ya kummaliza ukiwa na taarifa sahihi dhidi ya udhaifu wake. Kama huna maandalizi ya kutosha,kimbia umwepuke kuepusha hasara na madhara kwako.

2.Hizi mbwembwe za kujiita sijui komandoo, jenerali, kikosi maalum, oooh sijui special forces ni mbwembwe tu kwenye uwanja wa vita. Hayo mavyeo na manyota kama upupu hayana msaada sana kwenye uwanja halisia wa mapambano.

Kwenye uwanja wa vita hata mkaanga chipsi na mchoma mihogo anayo nafasi kubwa ya kumlaza komandoo ama jenerali ama kuteketeza msafara mzima wa hao wanao jiita wenye mafunzo ya hali ya juu ya kijeshi.

3.Vita ya darasani haina msaada mkubwa kwenye uwanja halisia wa mapambano. Vita ya darasani inafaa sana kutengeneza move za kutizamia sebuleni.

4. Vita inahitaji unyumbulifu sana wa akili, nafasi na mwili Ili uweze kukabiliana na kummaliza adui yako. Vita ya kileo haina chakuficha wala propaganda. Vita ya Sasa inapiganwa live, na ukipigwa unaonekana live dunia nzima kuwa umekong'otwa. Hapa ndipo aliekuwa anakuheshimu anashikwa na butwaa jinsi unavyopoteza kiboya boya.

5. Manguo na magwanda ya kutishatisha sio msaada wakati wa mapambano. Kumbe hata jeans na tishirt tu mambo yanakwenda powa tu

6. Uwingi wa vifaa vya mapigano na ma mitambo ya ajabuajabu kumbe ni mbwembwe tu kama askari hana akili na maarifa ya ziada ya kucheza na mazingira ya eneo la mapigano anapigwa na makorokoro yake kama amesimama.

7. Kuna haja na umuhimu wa majeshi yetu kutengeneza vikosi maalum Kwa ajili ya guelliar war maana ndio yenye mafanikio zaidi. Mapigano ya msituni na mitaani kwa guelillar ambush yanatoa matokeo bora zaidi(kama we ni mfuatiliaji wa kile kinachoendelea huko Gaza utakubaliana na mimi)

8.IDF ni dhaifu sana na mweupe kwenye ground war. Kwenye nyanja hii nya mapigano ndipo amepatia hasara kubwa kulinganisha na angani na maji. Wapalestina wameonyesha umahiri mkubwa sana kupambana na jeshi kubwa na linaloogopeka duniani.

9.Hakuna adui myonge wa kudumu kwenye mapigano. Uliempiga jana anaweza kukupiga leo, hivyo usibweteke na hadithi za historia kwamba fulani aliwahi kupigika hivyo unaweza kumpiga hata leo, no! Kama hujajipanga usiingie vitani. Hii itakujengea heshima na ustawi kiuchumi,kisasa na kijamii. Kwa mfano hii vita ya wapalestina na wayajudi kama itasimamishwa leo, nidhahiri wapalestina waataibuka washindi katika mizani ya kijeshi Kwa kupima hasara za pande zote mbili ukiondoa majengo .

10. Wanamgambo wa kipalestina ni wapiganaji hatari sana katika medani za vita dhidi yaadui yao.

11. Israeli ameonyesha na anazidi kuonyesha udhaifu mkubwa sana kijeshi wa mbinu za mapigano ya kukabiliana na adui ardhini na hii imepelekea Dunia kuwa na mshangao mkubwa Kwa namna ambavyo vyombovya habari viliiaminisha Dunia hapo kabla.

Tuwaombee wanaopigana wapate moyo wa kusimamisha mpigano Ili kunusuru raia wanaoteseka na madhara ya vita hivi
Ulishawahi kuingia kwenye uwanja wa medani au unaongea kama mwendawazimu. Nchi hii imekua na vijana wa hovyo kabisa kujadili vitu wasivyovijua.
 
Allah ni kiarabu hivo iwe Quran au Biblia ya kiarabu inatumia neno Allah hivohivo kama.

Allah - Kiarabu
God - kiingereza
Mungu - Kiswahili
Yahweh - Kiebrania
Deus - kireno
Theos - Kigiriki
Dio - Kiitaliano
Dieu - Kifaransa
Gott - Kijeruman

Msiyumbishwe na maneno ya vijiweni! Wote tunaabudu Mungu mmoja ndiyo msingi wa iman zetu sio Waislamu wala Wakristo.
Hamna banaa allah is an imaginary arab skygod.
 
Allah ni kiarabu hivo iwe Quran au Biblia ya kiarabu inatumia neno Allah hivohivo kama.

Allah - Kiarabu
God - kiingereza
Mungu - Kiswahili
Yahweh - Kiebrania
Deus - kireno
Theos - Kigiriki
Dio - Kiitaliano
Dieu - Kifaransa
Gott - Kijeruman

Msiyumbishwe na maneno ya vijiweni! Wote tunaabudu Mungu mmoja ndiyo msingi wa iman zetu sio Waislamu wala Wakristo.

Ala na Yahwe ni miungu tofauti,yenye maamlisho tofauti,yenye ujumbe tofauti,yenye pepo na jeganamu tofauti,hakuna mungu mmoja acha upotoshaji
 
Nimesema msingi wa Iman hizi ni moja kuamini kwamba kuna Mungu mmoja tu! Leo hii kuna ukiacha Mohamad (S.W) na Yesu kuna Nabii kakosekena katika pande zote 3? Wote mnaelekea kulekule tu
 
Nyie waislam mna mungu wenu mnae muabudu na wakristo wanamungu wao mwenye utatu utakatifu
Lakini kumbuka neno Mungu lina wakilisha miungu wote haijalishi ni wa kweli au sio wa kweli.
Kwa hiyo kutumia neno Mungu kwenye dhahaka tiyari unakuwa ume mdhihaki mpaka mungu unaye amini ni mkweli kwa sababu na mwenyewe ana tumia jina hilo hilo la Mungu.
 
Vita inahitaji unyumbulifu sana wa akili, nafasi na mwili Ili uweze kukabiliana na kummaliza adui yako. Vita ya kileo haina chakuficha wala propaganda. Vita ya Sasa inapiganwa live, na ukipigwa unaonekana live dunia nzima kuwa umekong'otwa. Hapa ndipo aliekuwa anakuheshimu anashikwa na butwaa jinsi unavyopoteza kiboya boya.
vita inahitaji sana unyumbulifu wa akili.

si israel wala hamas.
 
Heri ya mwaka mpya bandugu.

Nisiwapotezee muda wenu ila niende moja kwa moja kwenye mada.

Kwa mnaofatilia kwa ukaribu mapambano ya vita kati ya mahasimu wa kihisoria, nazungumzia wapalestina na wa Israel sina shaka mtakubaliana nami juu ya mambo kadhaa.

Wakati ukichangia uzi wangu chondechonde weka mbali kasumba yako ya Imani uliyoletewa na wakoloni wa kizungu ama waarabu Ili twende sawa.

Nimejifunza haya:
1.Usimchukulie powa adui yako vinginevyo litakukuta la kukukuta ufedheheke kama si kufutika duniani.

Vyovyote iwavyo adui unaemdharau akikushambulia, usikurupuke , tumia mda mchache kumsoma na kuangalia namna ya kummaliza ukiwa na taarifa sahihi dhidi ya udhaifu wake. Kama huna maandalizi ya kutosha,kimbia umwepuke kuepusha hasara na madhara kwako.

2.Hizi mbwembwe za kujiita sijui komandoo, jenerali, kikosi maalum, oooh sijui special forces ni mbwembwe tu kwenye uwanja wa vita. Hayo mavyeo na manyota kama upupu hayana msaada sana kwenye uwanja halisia wa mapambano.

Kwenye uwanja wa vita hata mkaanga chipsi na mchoma mihogo anayo nafasi kubwa ya kumlaza komandoo ama jenerali ama kuteketeza msafara mzima wa hao wanao jiita wenye mafunzo ya hali ya juu ya kijeshi.

3.Vita ya darasani haina msaada mkubwa kwenye uwanja halisia wa mapambano. Vita ya darasani inafaa sana kutengeneza move za kutizamia sebuleni.

4. Vita inahitaji unyumbulifu sana wa akili, nafasi na mwili Ili uweze kukabiliana na kummaliza adui yako. Vita ya kileo haina chakuficha wala propaganda. Vita ya Sasa inapiganwa live, na ukipigwa unaonekana live dunia nzima kuwa umekong'otwa. Hapa ndipo aliekuwa anakuheshimu anashikwa na butwaa jinsi unavyopoteza kiboya boya.

5. Manguo na magwanda ya kutishatisha sio msaada wakati wa mapambano. Kumbe hata jeans na tishirt tu mambo yanakwenda powa tu

6. Uwingi wa vifaa vya mapigano na ma mitambo ya ajabuajabu kumbe ni mbwembwe tu kama askari hana akili na maarifa ya ziada ya kucheza na mazingira ya eneo la mapigano anapigwa na makorokoro yake kama amesimama.

7. Kuna haja na umuhimu wa majeshi yetu kutengeneza vikosi maalum Kwa ajili ya guelliar war maana ndio yenye mafanikio zaidi. Mapigano ya msituni na mitaani kwa guelillar ambush yanatoa matokeo bora zaidi(kama we ni mfuatiliaji wa kile kinachoendelea huko Gaza utakubaliana na mimi)

8.IDF ni dhaifu sana na mweupe kwenye ground war. Kwenye nyanja hii nya mapigano ndipo amepatia hasara kubwa kulinganisha na angani na maji. Wapalestina wameonyesha umahiri mkubwa sana kupambana na jeshi kubwa na linaloogopeka duniani.

9.Hakuna adui myonge wa kudumu kwenye mapigano. Uliempiga jana anaweza kukupiga leo, hivyo usibweteke na hadithi za historia kwamba fulani aliwahi kupigika hivyo unaweza kumpiga hata leo, no! Kama hujajipanga usiingie vitani. Hii itakujengea heshima na ustawi kiuchumi,kisasa na kijamii. Kwa mfano hii vita ya wapalestina na wayajudi kama itasimamishwa leo, nidhahiri wapalestina waataibuka washindi katika mizani ya kijeshi Kwa kupima hasara za pande zote mbili ukiondoa majengo .

10. Wanamgambo wa kipalestina ni wapiganaji hatari sana katika medani za vita dhidi yaadui yao.

11. Israeli ameonyesha na anazidi kuonyesha udhaifu mkubwa sana kijeshi wa mbinu za mapigano ya kukabiliana na adui ardhini na hii imepelekea Dunia kuwa na mshangao mkubwa Kwa namna ambavyo vyombovya habari viliiaminisha Dunia hapo kabla.

Tuwaombee wanaopigana wapate moyo wa kusimamisha mpigano Ili kunusuru raia wanaoteseka na madhara ya vita hivi
SAWA MKUU IDF NI DHAIFU NA HAMAS NI HATARI....
TUKUULIZE MASWALI MKUU
NANI KAFIKIA MALENGO YAKE...
NANI KAUA ADUI WENGI
NANI KACHUKUA ARDHI YA ADUI...
PIA TUKUULIZE HAO IDF DHAIFU HAWAWEZI GROUND WAR MBONA WAARABU WAMESHINDWA KUWAUA NA KUWAMALIZA SINCE 1967...........
TUJIBU MKUU
 
Back
Top Bottom