Search results

  1. A

    Kuna ulazima wa kuanza Certificate kama unataka kusoma Diploma?

    Haiwezekani ni lazima kuanzia certificate .
  2. A

    MSAADA? JE PREP NA PEP ZINAWEZA KUFANYA KAZI MOJA

    Kama yuko kwenye prep hawezi pewa PEP tena. Coz ameshajikinga kabla ya hiyo risk kutokea .Prep inatumika ilikukufanya usiwe na uwezo wa kuambikizwa hatautapo kua kwenye risk. kama yeye anatumia prep aendelee na dose kawaida kabsa kama hapo awali.
  3. A

    MSAADA? JE PREP NA PEP ZINAWEZA KUFANYA KAZI MOJA

    Kwa uelewa wang PEP na PREP dawa ni moja (TLD) ila zinatofautiana matumizi. PEP ni 72 hrs baada ya kua exposed kwenye risk PREP inatumika usually 6 months na inatumiwa kwa watu ambao wao wapo kwenye risk ya kupata HIV mda wowote mfano. Wadada wanao jiuza. Watu wanaoishi na wenza walioathirika.
  4. A

    Kufeli kwa pharmaceutical technicians katika mithian ya lessen

    Meona matokeo ya pharmaceutical technicians ya lessen kwa waliofanya mthian October hayaridhishi hata kidogo kati ya asilimia 100 walofaulu ni asilimia 15 tu..!!shida iko wap kwa baraza au pharmaceutical technicians wenyewe? Na njia zipi zitumike kusaidia kukuza ufaulu? Kwasababu inatokea watu...
  5. A

    Degree ya Pharmacy ndo kozi yenye mchongo kuliko zingine zote kwa Tanzania

    Ni 2023. Pia nataman kujua mtoa mada amefika wap[emoji28][emoji28]
  6. A

    Msaada: Namna ya kurekebisha jina kwenye cheti cha kuzaliwa na taarifa za NIDA

    Naomben msaada wa namna ya kurekebisha jina kwenye cheti na taarifa za nida. Cheti chang cha kuzaliwa kimeandikwa Anastazia. With single " n" na nida pia nilifatilia kutumia taarifa za cheti cha kuzaliwa. Sasa shida imejitokeza. Pindi wazaz walipo niandikisha shule waliniandikisha kwa jina la...
  7. A

    Ni mimi tu au kuna mwingine anaeona kuwa Dar-Moro ni mbali sana kulinganisha na Moro-Dodoma

    Sure..!! Inategemea na safar umeanzia Dar sehem gan.. Dar kubwa sana ..
  8. A

    Ni mstari gani kwenye biblia unautumia sana upitiapo nyakati ngumu katika Maisha

    Isaya 41:10 [10]usiogope, kwa maana mimi ni pamoja nawe; usifadhaike, kwa maana mimi ni Mungu wako; nitakutia nguvu, naam, nitakusaidia, naam, nitakushika kwa mkono wa kuume wa haki yangu.
  9. A

    Ni mimi tu au kuna mwingine anaeona kuwa Dar-Moro ni mbali sana kulinganisha na Moro-Dodoma

    Inategemea na safar ako kutokea Dar umeianzia Dar sehem gan..
  10. A

    Ni mimi tu au kuna mwingine anaeona kuwa Dar-Moro ni mbali sana kulinganisha na Moro-Dodoma

    Umenifanya nicheke huku nilikua na mawazo aixee[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umekua stresskiller[emoji38][emoji38]
Back
Top Bottom