Jina : Albus
Dini : Muislam
Umri : 29
Mkoa : Mwanza
Kazi : Dereva
NAHITAJI MCHUMBA umri kuanzia miaka 20 mpaka 27
Sichagui dini Wala kabila
Kwa aliye tayari anaweza kunipata Kwa 0753112138
Ahsante
Naitwa Jumanne
Nina umri wa miaka 29
Mkazi wa Ifakara morogoro, Kwa Sasa napatikana Mwanza kikazi. Ni mrefu kiasi. Mweusi kiasi. Sio mnene.
Nahitaji Mwanamke aliye tayar Kwa ajili ya kuanzisha familia. Umri kuanzia miaka 18-27.
Awe mweusi kiasi.
Mnene kiasi.
Dini yoyote.
Kabila lolote.
Aliye...
~ Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29.
Jinsia mwanaume
~ Ni muajiriwa Kampuni binafsi.
~ Kwa sasa niko Mwanza kikazi.
~ Natafuta mchumba umri kuanzia 18-27.
~ Kwa aliye tayari anakaribishwa, ila awe serious.
~ Sichaguai dini wala kabila cha msingi awe muelewa na mwenye nia ya kweli kama mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.