Search results

  1. comte

    A Golden Opportunity? Ni Kitabu kilichoandikwa na Tundu Lissu, UDSM na LHRC kuhusu Migodi ya Dhahabu

    Mkuu Kalamu unajadili ukiwa umesimama kwenye uanaharakati na nationalism two factors which compromises objectivity. Naomba usome hii Gazeti la Guardian on Sunday la Septmba 14, 2011 lilichapisha habari kwenye ukurasa wake wa mbeli yenye iliyopewa kichwa cha habari: “From foes to partners: Tales...
  2. comte

    A Golden Opportunity? Ni Kitabu kilichoandikwa na Tundu Lissu, UDSM na LHRC kuhusu Migodi ya Dhahabu

    Mkuu Lissu ni mchafuzi kachafua kila mahali anakopita hakuna kinachoendelea ni mharibifu
  3. comte

    A Golden Opportunity? Ni Kitabu kilichoandikwa na Tundu Lissu, UDSM na LHRC kuhusu Migodi ya Dhahabu

    Ili mtu afaidike na chochote katika uchumi au jambo lolote lazima mtu huyo ahusike na jambo hilo kwa namna moja au nyingine. Kwa kutambua hili, Tanzania imetunga sera na sheria ya madini. Kwa mjibu wa sheria ya madini ya mwaka 2010 kifungu cha tano madini na umiliki wake viko chini ya Jamhuri...
  4. comte

    A Golden Opportunity? Ni Kitabu kilichoandikwa na Tundu Lissu, UDSM na LHRC kuhusu Migodi ya Dhahabu

    Historia ya uchimbaji wa madini Tanzania Madini katika Tanzania yameanza toka kabla ya kuja kwa wageni wa kizungu. Watanzania walitumia madini kama udongo wa chuma waliofua na kutengeneza zana mbali mbali. Aidha mfinyanzi pia ulichibwa na kutumika kwa ajili ya kutengenezea vyombo vya nyumbani...
  5. comte

    A Golden Opportunity? Ni Kitabu kilichoandikwa na Tundu Lissu, UDSM na LHRC kuhusu Migodi ya Dhahabu

    Tena Mtanzania asiyehoji muungano-siyo kaka wewe
  6. comte

    Mtaka umesifiwa mbio mpaka umepapita kwenu.

    Humfahamu vizuri- wewe siyo mungu wake wala mama yake ACHA KUJIMWAMBAFY
  7. comte

    A Golden Opportunity? Ni Kitabu kilichoandikwa na Tundu Lissu, UDSM na LHRC kuhusu Migodi ya Dhahabu

    Marais wote wamefanya jitihada za kuifanya Tanzania inufaike na raslimali madini
  8. comte

    A Golden Opportunity? Ni Kitabu kilichoandikwa na Tundu Lissu, UDSM na LHRC kuhusu Migodi ya Dhahabu

    ukiweza na kama unaweza zaa nae ila ni mpuuzi mwingine tu duniani hapa, very selfish
  9. comte

    A Golden Opportunity? Ni Kitabu kilichoandikwa na Tundu Lissu, UDSM na LHRC kuhusu Migodi ya Dhahabu

    Mkuu sijui kama unaufahamu wa kutosha na sekta ya madini nchi hii- unasukumwa na utaifa na uanaharakati vitu ambayo vinakufanya uwe mjinga na kipofu
  10. comte

    A Golden Opportunity? Ni Kitabu kilichoandikwa na Tundu Lissu, UDSM na LHRC kuhusu Migodi ya Dhahabu

    Mkuu acha kujiaabisha hauko sahihi, soma sheria ya madini ya 2010
  11. comte

    A Golden Opportunity? Ni Kitabu kilichoandikwa na Tundu Lissu, UDSM na LHRC kuhusu Migodi ya Dhahabu

    Hakuna mrahaba wa 16 % mkuu kasome ujielemishe tena na uje kiusahihi
  12. comte

    A Golden Opportunity? Ni Kitabu kilichoandikwa na Tundu Lissu, UDSM na LHRC kuhusu Migodi ya Dhahabu

    Kuwa mtanzania siyo kinga ya kuwa mjinga
  13. comte

    A Golden Opportunity? Ni Kitabu kilichoandikwa na Tundu Lissu, UDSM na LHRC kuhusu Migodi ya Dhahabu

    wanafiki wawili wameua uwekezaji sekta ya madini nchi hii- LISSU na ZITTO
  14. comte

  15. comte

    Bob Wangwe: Historia ya CHADEMA kwa miaka ya nyuma imekuwa ikiazima wagombea Urais

    mkuu sijui kama unanijua-sijadili ujinga na uchafu
  16. comte

    Kwa hii Shida ya Mitandao ya simu iliyotokea leo, turuhusu Starlink iingie Tanzania

    Mkuu wakati mwingine uwe unajikubali- mbadala wa internet ni kitu gani?
  17. comte

    Tuhuma za Rushwa: Tundu Lissu awasilisha Ushahidi wake kwa Kamati Kuu ya CHADEMA, Mbowe kutoa tamko

    Sasa unapinga nini? Iwe kwenye CCM, CHADEMA, TFF, KKKT ilimradi kuna uchaguzi hela inatumika halafu wewe unatafuta mtu wa kusingizia? Jinga sana wewe
  18. comte

    Kukosekana kwa intaneti: Kebo moja ya intaneti ilikatwa mapema Jumapili katika Mji wa bandari wa Afrika wa Durban, je ni hujuma?

    Msamehe anawaza ki CHADEMA CHADEMA hawatachelewa kusema ni kwa sababu Kamati Kuu yao ilikuwa na kikao
  19. comte

    Bob Wangwe: Historia ya CHADEMA kwa miaka ya nyuma imekuwa ikiazima wagombea Urais

    Usimchangamanishe Nyerere na uchafu
Back
Top Bottom