Search results

  1. holy spirit

    Naomba maoni yenu kuhusu matatizo yaliyopo kwenye mahusiano ya kifamilia, mapenzi, jinsia na dini

    Habirini wakuu, Moja kwa moja niende kwenye mada. Tangu nipate japo maarifa kidogo ya kufanya academic research nimekuwa na interest fulani ya kutafiti mambo mbalimbali yanayohusu mahusiano, mapenzi, jinsia, familia na dini. Tafiti huwa zinatokana na kutambua matatizo fulani yanayosumbua jamii...
  2. holy spirit

    Nifanyeje ili kutuliza akili na roho kumuacha huyu dada isiwepo?

    Heshima kama zote kwenu wana JF. Umri wangu sio mkubwa sana ila ngazi ya tatu naanza kuipanda soon. Kwenye miaka yangu ya 20s nimekuwa mtu wa kubadilisha wadada sijawahi kuwa na mahusiano yaliyokaa zaidi ya miezi miwili maana nilikuwa mzinguaji sana hasa nikishapewa tunda akili inanituma...
  3. holy spirit

    Kuna baadhi ya mambo yananitatiza kuhusu dhana (Imani) ya mbinguni

    Dini nyingi (kama sio zote) duniani zinatueleza kwamba tutapewa zawadi ya maisha mengine baada ya kifo huko mbinguni sehemu ambayo tunaweza kusema kulingana na Imani za kidini ni yenye uzuri uliokamilika kwa asilimia mia pasipo na mapungufu yoyote. Na pia tunapewa ahadi ya miili mipya na...
  4. holy spirit

    Kupenda kwangu kukaa mwenyewe kunafanya asilimia kubwa ya watu wanaonizunguka waone siwapendi

    Habarini members, natumaini mnaendelea vyema na majukumu ya kujenga taifa. Ningependa kupata msaada wa mawazo kutoka kwenu ni jinsi gani naweza kushughulikia swala hili. Mimi binafsi sio mtu mwenye roho mbaya, mambo ya chuki na wivu naweza kuongea kwa kujiamini kabisa kwamba sina kabisa...
  5. holy spirit

    Nakatishwa tamaa kutaka kazi ya Jeshi

    Wakuu habarini za leo. Natumaini mnaendelea vyema. Kiufupi ni kwamba nimesoma degree ya education (ualimu) na masters pia ya rural development. Nataka kupata nafasi jeshini na kwa bahati nzuri msaada wa kupata nafasi upo. Tatizo ni Kila ninaemwambia nataka kwenda jeshi ananiambia niache japo...
  6. holy spirit

    Shida ni mimi au labda sipendwi

    Wakuu habarini za leo, Iko hivi nimetongoza vizuri tu dem akaniambia kwamba ana mpenzi wake. Mi nikajua ni defensive mechanism za wadada ili nimfukuzie kwa hivyo nikaendelea kumfatilia mwisho akakubali. Tangu kakubali huwa tunaonana usiku mara nyingi sababu kila mtu ana issue zake mchana...
  7. holy spirit

    Mauaji Nigeria

    Mwanafunzi wa kike Debora Samuel (baadhi ya taarifa kaitwa Debora Yakubu) wa chuo cha elimu cha Shehu Shagari kilichopo Sokoto state nchini Nigeria ameuwawa na wanafunzi wenzake kwa kupigwa mawe na kisha mwili wake kuchomwa moto. Wanafunzi hao waliotekeleza mauaji walimtuhumu hayati kwa...
  8. holy spirit

    "We boya nini! Ukionesha nia ya kumtongoza mwanamke hutakiwi kuahirisha"

    Hi guys, I hope mnaendelea vyema Maneno hayo nilitamkiwa na rafiki yangu wa karibu baada ya kumueleza sababu iliyopelekea mimi kuchukiwa na classmate wangu wakike Mimi ni kijana(27) nasoma shahada ya uzamili(masters) kwenye chuo kimoja cha serikali hapa nchini. Kiukweli darasa letu...
Back
Top Bottom