Search results

  1. Masanilo

    UKAWA kumpata mgombea Urais Jumamosi

    Breaking News Ndani ya Masaa 48, mgombea urais kupitia UKAWA atajulikana. Mazungumzo yanaelekea kufikia muafaka. Stay tuned. Mungu bariki UKAWA. Mungu bariki Tanzania.
  2. Masanilo

    Happy Good Friday

    Good Friday is the mirror held up by Jesus so that we can see ourselves in all our stark reality, and then it turns us to that cross and to his eyes and we hear these words, "Father forgive them for they know not what they do." That's us! -Robert G. Trache Happy Good Friday
  3. Masanilo

    Ridhiwani wa CCM na Tongerey wa CHADEMA wachukua fomu

    Leo mchana Bwana Ridhiwani Kikwete Mgombea wa CCM katika jimbo la Chalinze amekumbana na zoemea zomea ya aina yake alipotoka kuchukua form Bagamoyo. kulikuwa na Kikundi cha ngoma kilichokuwa kiiimba, wafalme mtachinjwa, Masultani hamtakiwi muhame nchi yetu vijana hao walikuwa wamejipanga sokoni...
  4. Masanilo

    Rais Kikwete aongea ya Moyoni. CCM imara

    Kweli wahenga walisema FADHIRA MFADHIRI MBUZI BINADAMU ATAKUUDHI, yaani kujitoa kote kule kwa Lowasa na Rostam kuzunguka nchi nzima kwa fedha zao kumnadi Kikwete kabla ya kikao cha uteuzi na pia kugawa fedha usiku kucha kuamkia siku ya kikao leo hii KIKWETE amesahau hadi anamnanga hadharani...
  5. Masanilo

    CCM jifunzeni Kwa CHADEMA

    WanaJF, Siungi Mkono moja kwa moja alichoongea Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Mh.Lukuvi Bungeni jioni hii. Kwanza,Wametoa tuhuma hizi wakati Zitto akiwa hayupo ndani ya Bunge Pili,Hatuwezi kumuhukumu Zitto moja kwa moja bila kumpa fursa ya kumsikiliza Napinga tabia hii ya wanaCCM...
  6. Masanilo

    Wananchi wa Rorya

    CCM wanamtaji mkubwa sana Rorya, wananchi bado ni wajinga hawajapata elimu ya uraia. Mpaka sasa wanajua baba wa taifa ni Raisi wa Tanzania na Mwenyekiti wa taifa CCM kwa mujibu wa taarifa ya habari ITV. Viongozi wa CHADEMA pangeni taratibu hawa wananchi wafikiwe na M4C wafahamu adui wao kwa...
  7. Masanilo

    Taifa langu linaangamia....

    Kitendo cha mtuhumiwa wa madawa ya kulevya kuendelea kuwa huru, Kama vile taifa hili halina vyombo vya ulinzi na usalama, najiuliza maswali mengi bila majibu. Pamoja na udhaifu wa raisi Kikwete kwa hili huyu bwana Azan ili bidi Mara moja awe rumande na uchunguzi Mara moja uanze. Kama hili hawezi...
  8. Masanilo

    Happy Birthday Howard Webb

    Happy Birthday to Manchester United Legend "Howard Webb" who helped win them the title last season as well as many other seasons before that!
  9. Masanilo

    NMB punguzeni ubabaishaji!

    NMB sim banking ni mara chache sana huwa inafanya kazi. Ni zaidi ya wiki sasa huduma hii haipo. Kila mchungaji nikigonga *150*66* naambiwa invalid mim code ama system is busy. Mnakera sana nyie NMB
  10. Masanilo

    I Was Born To Support CHADEMA

    This is the Fact I was born to support CHADEMA M4C for life no Apology I am calling PoliceCCM to keep an eye on me as I am a potential terrorist, I deserve to be kept in a remanded prison before taken to court of justice in the name of CCM Otherwise CCM should expect more damage...
  11. Masanilo

    Kauli tata za Mh. Pinda tangu alipoteuliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania.

    Najaribu kuangalia utendaji wa waziri Mkuu, Dr Peter Kayanze Pinda. Akiingia madarakani alijitambulisha Kama mtoto wa mkulima Kauai ambayo imekuwa shubiri kwake. Aliwahi kupinga manunuzi ya magari ya gharama Gx na VX Landcruiser hili halijawahi kufanikiwa kilimo kwanza yameendelea kununuliwa...
  12. Masanilo

    Kata ya Minepa Morogoro vurugu tupu

    WanaCCM wamawavamia mawakala wa CHADEMA kwa kuwashambulia vikali. Wamechoma moto piki piki ya M4C. Wananchi wanazidi ichukia CCM.
  13. Masanilo

    Samwel Sita avuna aibu Ifakara

    Mh Samweli Sitta amezomewa sana Ifakara akimnadi mgombea udwani CCM mzee Masebo. Picha zinafuata
  14. Masanilo

    Aliye baka Mbwa aachiwa huru na Mahakama.

    The man who defiled a dog in Kiambu has been set free after the plaintiff, the dog ,failed to show up in court.The dog decided to go underground after realising that some women who were key witnesses had been paid to recant their stories and some even disappeared.The dog should accept and move...
  15. Masanilo

    Prof Sospeter Muhongo Unasubiri nini?

    Waziri wa nishati na Madini Prof Dr Sospeter Muhongo, tunakuomba ujiudhulu nafasi uliyo nayo sababau umeshindwa kabisa kuiongoza wizara. Vurugu zilizotekea Mtwara kupelekea kuuwawa kwa wananchi na uharibu wa mali za serikali na raia ni ushahidi tosha unahusika. Kulazimisha Gas ije Dar es Salaam...
  16. Masanilo

    Kinana Atia Aibu CCM

    Akiwa katika ziara ya kichama mkoani Morogoro, Kanali Mtaafu Kinana alikubana na dhoruba la kuzomewa maeneo ya Ruaha, mpakani mwa wilaya ya Kilosa na Kilombero akielekea Ifakara na Mahenge. Wananchi bila ya kuogopa chochote walipokea msafara wa CCM kwa zomea zomea ya mafisadi hao hatuwataki...
  17. Masanilo

    Heri ya Pasaka Nyote

    ----|---- _.-=''"'=.,,,,,___/''/ (_,_,_,_,_,_,/''"""""''' /_.--._\ Mimi, Mbowe, Slaa, Zitto Ben saanane Lisu Lema, Mnyika, Mdee, Sugu, Silinde, Vicent, Machemli, Kiwia,Msigwa,Wenje,Nassari,Ndesamburo, viongozi wote na wanachama wote wa CHADEMA TUNAKUTAKIA WEWE KAMANDA WA UKWELI...
  18. Masanilo

    Hali ya Wilfred Lwakatare yazidi Kudorora

    Taarifa kutoka vyanzo vya kuaminika Hali ya Kisukari ya Kamanda Lwakatare ni mbaya vipimo ya muda mfupi uliopita vimesomeka 19 mmol/ polisi wanadai Dr wao amempima imeonyesha ni 15mmol/l. Yote hivyo ni vipimo bila kujali accuracy. Kibaya zaidi wamewakatalia mawakili wetu kumpeleka hospital. Hii...
  19. Masanilo

    Women's Tear is Prohibitive Expensive

    Don't make a woman cry. There is nothing expensive in the world than a woman's tear.. When a drop of tear comes out of the eye, it first mixes with a loreal eyeliner and dior mascara . When it falls down d cheek, it mixes with some dolce & gabbana blusher. If d tear runs down upto the lip, it...
  20. Masanilo

    CHADEMA-Changa moto na Uchaguzi wa Kenya

    Uchaguzi wa Kenya umeisha na Uhuru Kenyata huenda akawa raisi mpya Kenya. Hii ni tofauti kabisa na fikra na tabiri kabla ya uchaguzi. Binafsi nikimpa chapuo Raila. Pamoja na rough za hapa na pale kama ilivyo ada ya chaguzi za Africa, labda democrasis inefanya maajabu yake. Hongera...
Back
Top Bottom