Search results

  1. N

    Naomba msaada wa Ushauri wa haraka ndugu zangu

    Ninazo ndugu yangu, wao ndo walianza kunitafta hata namba zao sikuwa nazo, na wao ndo walianza kuleta mada za mapenzi, sema mwisho me ndo nikajimaliza
  2. N

    Naomba msaada wa Ushauri wa haraka ndugu zangu

    Huwenda ikawa hivyo, lakini kumbuka wao ndo walianza kunitafta na sikuwa na namba yao, na wao ndo wakawa wa kwanza kuleta mishe za mapenzi, anyway kosa ni kosa tu
  3. N

    Naomba msaada wa Ushauri wa haraka ndugu zangu

    Wazazi wangu, sio rahisi hivyo hasa mzee.
  4. N

    Naomba msaada wa Ushauri wa haraka ndugu zangu

    Naam simu kumbe alikuwa nayo mwanaume, na ndo niliyechart nae
  5. N

    Naomba msaada wa Ushauri wa haraka ndugu zangu

    Dah kaka, familia ninayotoka mzee wangu ni mkoloni hata ndugu zangu, naogopa sana watanishambulia mno, matusi ya kila aina
  6. N

    Naomba msaada wa Ushauri wa haraka ndugu zangu

    Sijawahi kufanya ndugu yangu, na hata namba yake baada ya kuolewa sikuwa nayo kabisa. Ndo siku hiyo ya kwanza kuwasiliana nae na yeye ndo aliyenitafuta ndo ikawa hivi
  7. N

    Naomba msaada wa Ushauri wa haraka ndugu zangu

    Mimi ni kijana (me) umri23-25. Kuna mkasa umenitokea hivi karibuni, unanifanya nifikrie kujizuru, nahitaji sana msaada wenu naumalizaje. Nina ndugu yangu mtoto wa mtoto wa shangazi (mtoto wa binamu yangu bila shaka) yeye ni wakike, umri wake ni kama wangu. Mwaka2020 kipindi nakuja chuo...
  8. N

    Ushauri: Nataka kuanzisha biashara ya Nafaka au Vipodozi

    Mtego huu, unataka nikose hata huu mtaji kaka
  9. N

    Ushauri: Nataka kuanzisha biashara ya Nafaka au Vipodozi

    sawa kaka nitafanya hivyo wakanipe abc
  10. N

    Ushauri: Nataka kuanzisha biashara ya Nafaka au Vipodozi

    Kaka warembo wa nolasco watanifanya nirudi mkoani
  11. N

    Ushauri: Nataka kuanzisha biashara ya Nafaka au Vipodozi

    Me kijana wa kiume (24) nimemaliza chuo mwaka huu, Nina mtaji wa m1.5 ipo kati ya biashara hii itanitoa; (1) BIASHARA YA NAFAKA. Ni biashara ambayo naipenda sana tangu zamani japo sijawahi kuifanya ila natamani siku moja nianze kufanya, nijikite katika uuzaji wa mchele kama bidhaa kuu vingine...
  12. N

    Ipi ni 'sexual fantasy' yako?

    Aseeee threesome ndo kitu nakitafta, wawepo madem wawili lesbian niwapelekee moto.
Back
Top Bottom