Search results

  1. D

    Mwanaume, kamwe Usimuaibishe mkeo ikitokea umemfumania

    Huyu Bwana ameshauri. Hakulazimisha. Hapa anapima manufaa yanayopatikana kwa kumuaibisha mkeo. Uzoefu unaonesha kuwa wengi wa waliowaaibisha waliachana wakarudiana au walisameheana na wengine waliitumia kama fursa ya mtaji. Ukibahatika kumpata mgoni wako mtoe mtaji upunguze uchungu.
  2. D

    Tujuzane maneno sahihi ya Kiswahili...

    Ipi sahihi: 1. Kufariki au kufariki dunia? Nahisi sahihi ni kufariki vinginevyo iwe kuaga dunia. 2. Kulala usingizi. Nadhani kulala si lazima kuwa na usingizi. Aliyelala akapata usingizi tuseme amesinzia.
  3. D

    Yajue madhara ya kutumia Maji kwenye Radiator [Rejeta]

    Magari mengi aina ya van yanapoletwa nchini yanakuwa yamewekwa tairi/magurudumu yenye kipimo cha 165/70. Hiki ndicho kimeandikwa kwenye gari na.kwenye kitabu cha maelekezo (Owner's manual) Baadaye naona.wengi hawaweki tairi/magurudumu ya kipimo hicho. Badala yake wanaweka 175, 185 nk. Je hii ina...
  4. D

    Naweza kupata spray ya kuondoa mikwaruzo kwenye gari?

    Mwanza Ukiwa Mwanza, Kahama na.Bukoba wapo wapi?
  5. D

    Ulaji wa mafuta Toyota Premio

    Naomba majina ya gari za ukubwa/ujazo huu.
  6. D

    Mbona kama tatizo la wateja katika benki kupata noti pungufu wanapotoa hela linaota mizizi?

    Niliwahi kwenda kutoa pesa kwenye mashine. Nina tabia ya kuhesabu kila nikitoa. Nilitoa sh.400,000/=, nilipohesabu nilikuta sh.250,000/=. Niliingia ndani nikawafafamisha. Baada ya siku mbili walinirudishia zilizopungua. Jitahidi kila unapopewa bunda lililofungwa ujiridhishe. Akitumia mashine...
  7. D

    Tofauti ya matumizi ya magurudumu (tairi) zenye vipimo hivi?

    Nina gari aina ya van. Kwenye maelezo ya kitabu cha gari (owners manual) na vile vile ilivyokuwa kwenye magurudumu yaliyokuwa kwenye gari lilipotoka Japan, vipimo vyake ni 165/70 ×13. Baadhi ya wenye magari kama langu wanatumia magurudumu yenye kipimo cha 175 na 185 badala ya 165. Naomba...
  8. D

    SI KWELI Ukihisi harufu ya wali au mchele uwapo porini ni ishara kuwa Chatu yupo karibu

    Si harufu ya chatu bali ni harufu ya nyoka aliyejivua gamba. Ukifuatilia eneo hilo utakuta gamba lililovuliwa na nyoka.
  9. D

    Magodoro aina zote yapo kwa bei ya punguzo

    Namaanisha Tanfoam.
  10. D

    Magodoro aina zote yapo kwa bei ya punguzo

    Bei yake ikoje kwa 4x6, 4½x6, 5x6?
  11. D

    Ni lini serikali itaingilia kati huu wizi wa mitandao ya simu kuunganisha watu kwenye huduma wasizohitaji?

    Si kweli. Zaidi ya mara tano nimeungwa bila hiari yangu. Kila nikitaka kujitoa haiwewezekani. Ukiwasiliana nao kupitia 100 au mhudumu ni bla bla tu. Ninapowaandikia.barua pepe kuwa nitawapeleka TCRA ndipo wananipigia wakiwa wapole na lugha laini wakiomba radhi. Hapo ndipo wananitoa. Hii na ile...
  12. D

    Nitumieje mbolea inayotokana na kinyesi cha popo?

    Asante sana kwa ushauri wako.
  13. D

    Nitumieje mbolea inayotokana na kinyesi cha popo?

    Matumizi ya mbolea hayafanani. Matumizi ya samadi si sawa na mbolea za viwandani. Nimeambiwa mbolea ya popo ni kali kuliko za wanyama wengine. Inaelezwa kuwa ina naitrojeni nyingi. Hata hivyo, hata mbolea za viwandani zinatofautiana kati ya moja na nyingine. SA si sawa na Urea. NPK/TSP si sawa...
  14. D

    Nitumieje mbolea inayotokana na kinyesi cha popo?

    Naomba ushauri/maelekezo ya namna ya kutumia mbolea inayotokana na kinyesi cha popo kwa ajili ya kilimo cha mboga mboga kama nyanya, mshumaa, pili pili aina zote, bilinganya nk.
  15. D

    Ole wako!! Ukiwa muislam kwenye nchi hizi usithubutu kuhama dini, adhabu ni kifo

    Baadhi ya majibu/maoni huwezi kuamini kuwa yumo kwenye Ramadhani.
  16. D

    Njoo ujipatie spare original, battery original na vifaa vingine vya magari KWA AL HUSSEINY SPARE PARTS, Tanga

    Asante sana. Rekebisha: Spear iwe spare. Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom