Search results

  1. Bwegemsela

    Je, ni sahihi kufanya maamuzi haya kwa hali ninayoipitia kwa sasa?

    Habari za wakati huu wanajamvi Naomba nitoe utambulisho kwa kifupi tu,,,, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 35 nina mke na watoto kadhaa ni mfanya biashara hivyo hulazimika kusafiri mara kwa mara hali hiyo imekuwa inaniladhimu kuwa mbali na mama watoto. Katika kusafiri kwangu hivi karibuni...
  2. Bwegemsela

    Natafuta mke (Wife material)

    Natafuta mke Binti au aliyezaa mtoto asizidi mmoja Umri 27 hadi 35 Dini yoyote Awe mtanzania Awe mfanyakazi au mjasiliamali kwa ambae yupo serious karibu PM kwa contact. Kwa upande wangu mimi umri wangu ni 36 nimeajiliwa ninakipato cha kuweza kumudu kuhudumia familia pia ninao watoto wanne.
  3. Bwegemsela

    Nini faida ya kumiliki gari?

    Wanajamvi naomba tujuzane kuhusu faida ya kumiliki gari hasa kwa watu wa kipato cha chini wakati huo wakiwa na changamoto nyingi na za msingi zikiwakabili ikiwemo kutokuwa na makazi (nyumba) na bima za afya.
  4. Bwegemsela

    Kiwanja kinahitajika Sengerema mjini

    Natafuta kiwanja Sengerema mjini kiwe katika eneo zuri la kibiashara ofa yangu 10m
  5. Bwegemsela

    Gharama za ujenzi wa lodge

    Habari za jioni wana jamvi mm ni kijana wa kitanzania ambaye napambana na hili janga la umasikini, nina bajeti ya 50ml nahitaji kujenga Lodge ya kiwango cha kati Room zisizopungua 7 reception na counter vyumba vyote self, gharama za kiwanja pembeni, naombeni wajuzi mnisaidie kwa ushauri na...
Back
Top Bottom