Search results

  1. Ngwega

    Msaada tafadhali

    Nilipata ajali boda boda kagonga gari langu kwa nyuma na kusababisha uharibifu mkubwa tu. Sasa nashanga naambiwa eti kila mtu atengeneze chombo chake hii wanasheria humu ndani imekaaje? Msaada tafadhali
  2. Ngwega

    Wakuu ushauri tafadhali

    Habari wakuu Imepita mwezi sasa sina kabisa hisia za kumchakata manzi wangu japokuwa nakaa nae getto moja,inafika muda hata afanyaje yaani kamanda hastuki kama mlinzi wa kiongozi wa nchi.Hali hii inanifikirisha sana chakustaajabisha nikienda kwenye ma manzi wangu wengine uchakataji unaendelea...
Back
Top Bottom