jamani mi nikiwa nafanya mapenzi huwa sifiki kilele haraka naweza nikafanya hata kwa saa ZIMA bila kufika kileleni lakini uume wangu una kuwa stil sijui tatizo ni nini pleas naombeni msaada
jamaa mmoja alitoka kazin kufika nyumban akamkumbatia mkewe na kuanza kula denda mala mdomoni mwa demu akakuta punje ya wali jamaa akauliza ulikuwa unakula wali demu akasema hapana nilikuwa natapika.
hizi zawadi za mitandao ya simu za mkononi utasikia kuna yundai 100 mara lcd tv ziko mia utasikia tuma namba 15555 ili ujishindie je wewe mwana jf umewahi kushuhudia mtu kajishindia mtaani kwako au kusikia kutoka kwa mtu wako karibu kwamba kuna mtu amejishindia kitaa kwao labda mimi ndio sina...
baba mmoja alikuwa amekaa na familia yake akamwambia mtoto wake mdogo we muoga sana kwa nini unaogopa kulala peke yako chumbani mtoto akajibu nahisi hii tabia nimerithi kwako kwa sababu mama akisafirigi wewe pia unaogopaga kulala peke yako unamchukuaga dada(housegirl)na kulala naye
kuna ajali ilitokea na watu wengi walikuwa wamezunguka eneo ambalo ajali hiyo ya gari imetokea gari ilikuwa imegonga sasa kuna mwandishi alikuwa anataka apate japo picha mbili za kwenda kutoa gazetini lakini hakupata nafasi kwa sababu watu walikua wamezunguka eneo lote akaamua kutumia ujanja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.