Mh shida ya hawa watu bwana ni WADHAIFU SANA tena ANAVUTIA :D Yani we mwenyewe tu unaona hapa naenda kupigwa :D:D sa we ukirudi leo home mwambie hivi...
Wewe huyo: Unajua mke wangu we ni fighter sana (unamvimbisha BICHWA) :D yani nakuelewa sana sema nini kale kampango ka kutembeza juisi...
(Mimi nachoelewa ni Shusho amepata shambulio la kiroho akashindwa kujinasua)
Hapa naunga mkono kiuhalisi wakristo ambao wako karibu sana na MUNGU ndio wanapigwa vita kubwa sana coz wengi huwa wanajikuta wamedondoka kwa kusema wamesikia sauti ya roho ya mtakatifu ikiwaambia this and this kumbe...
Classes uliyo itathmini siyo aliyoimaanisha MUNGU..wewe umeitathmini classes kama uwezo wa kifedha/kiupeo/kielimu/kimwonekano nk. kutokana na thread yako lakini hapo kilichomaanishwa zaidi ni sifa za nafsi zaidi zinazobeba Character ya mtu kama upole,utu,hekima,kupenda ibada,utii,unyenyekevu...
jamaa ana mindset za mpinga kristo...yani katumia weakness ya shusho kuja kupotosha umma kuhusu ndoa...Ninachoamini SHUSHO is Human being can make a MISTAKE hata yeye anaweza kwasasa asijue kama anakosea coz Kazi ya shetani sometimes kujiugeuza malaika na kukuletea false massage kama aliyoletewa...
Bas imani yako na uelewa wako juu ya neno la MUNGU ni mdogo sana you need more teachings coz kwa hii thread yako definately you are AGAINST GOD.
Kwa ushauri tu soma sana neno na Mungu na ulielewe vizuri hasa unapozungumzia issue za ndoa ambazo zipo very sensitive na zinahitaji IMANI ya kumjua...
Kwa maoni yangu viboko viendelee kuwepo ila KWA KIASI si KWA KUTESA yaani mwalimu asichape kwa kutumia HASIRA bali Kwa KUONYA kwa sababu muda ambao mzazi hayupo na mtoto shuleni mwalimu ndo anabeba jukumu la malezi.
Lakini hata maandiko ya BIBLIA yanakazia kuhusu hilo
1. MITHALI 22:15
Ujinga...
Ukiwa nice guy unafungua milango ya mwanamke kukuzoea yaani anaishi na wewe kwa mazoea na Mazoea yakishaota mizizi yanaleta kiburi na dharau na mwisho huua Mahusiano hivo Mwanamke mpende na mjali kwani hilo ni jukumu lako ila kamwe usiruhusu MAZOEA kwenye Yes iwe YES kwenye No iwe NO over.
Sex ni kitu kizuri kiafya na kisaikolojia ivo kama unapenda sio mbaya ila tambua kwamba kila kitu kinatakiwa kifanyike kwa kiasi kikishazidi tu hiyo ni ADDICTION So prepare yourself for consequences.
Self love
Ni muunganiko wa maneno mawili inaanza SELF alafu LOVE ikiwa namaana kwamba kitu chochote chanya (positive) unachokifanya katika maisha yako mfano kiwe cha kukupa furaha, mafanikio, matumaini nk. kianze na wewe na si kutegemea watu wengine nikimanisha furaha yako, muonekano wako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.