Search results

  1. LOVE U JF

    Ana mtoto wa miezi minne. Je, anafaa kwa matumizi?

    Nimekutana na aliyekua Mpenzi Wangu pande za Kimara yupo kwa dada yake, ana kichanga cha miezi mi 4 na katoswa na aliyemzalisha. Kwakua tulikua naye vizuri tulijikuta wote tukihitaji tugegedane ila baadaye akasema hatuwezi fanya mapenzi tutamharibu mtoto tusubiri afikishe angalau miezi 6, eti...
  2. LOVE U JF

    Wanawake neno hili linaiharibu kesho yenu kimahusiano

    Habari za mapumziko Wana MMU. Nachosema nikwamba kuna tabia ambayo inajitokeza kwa wanawake mala mahusiano yanapovunjika nazungumza hivi kwa kua nimeshudia hii kitu kwa rafiki zangu kadhaa na mimi pia vivyo hivyo. Tabia yenyewe ni hii ,hapa nitajizungumzia mimi. Niliwahi kua na manzi mmoja...
  3. LOVE U JF

    Ushauri kwa mfuko wa PSSSF

    Kutokana na janga hili la corona ni dhihiri kwamba sote tu mashahidi kua uchumi na vipato vya watu vimeyumba mno hususani sekta binafsi ambako kuna waajiriwa katika sekta hii ambao pia ni wanachama wa mfuko huu wa jamii wa NSSF na mingine Nashauri WAWAPE WANUFAIKA wao sehemu ya pesa za...
  4. LOVE U JF

    Burundi: Tahadhari ndogo ya Covid 19

    Wanajamvi poleni na mapambano dhidi ya corona. Nakwenda kwenye mada fupi ambayo naileta kama swali tujadili, hivi nchi ya Burundi inajiamini nini kutochukua tahadhari au kama kudharau gonjwa hili hatari la Corona? Nasema hivyo kwasababu ligi mbalimbali zinaendelea mashabiki wanaingia kawaida...
  5. LOVE U JF

    Washington vs Bujumbura

    Nakwenda kwenye mada ni wiki mbili zimepita Rais Trump alisema serikali ya Burundi ni hatari kwa usalama wake , tamko hilo lilikanushwa na serikali ya Burundi kupitia msemaji wa serikali, sasa mimi najaribu kujiuliza na sipati picha U.S.A kuhofia ki inchi kidogo na maskini kabisa . Je ni nini...
  6. LOVE U JF

    Je, Burundi na Rwanda wanajiandaa kupigana?

    Kuna hali ya sintofahamu kati ya nchi hizi 2 jirani na ndugu baada ya Burundi kushutumu mara kwa mara kuwa wanachokozwa kwa kuvamiwa na Rwanda. Na hiyo imetokea baada tukio la juzi la kambi ya jeshi la Burundi iliyoko mpakani na Rwanda kuvamiwa na askari wanaosemekana ni wa RDF na kuwaua...
  7. LOVE U JF

    Rwanda: Joy Agaba auawa kwa kunyongwa

    Kwa hali ya masikitiko dada wa aliyekuwa mpiganaji Fred Gisa Rwigema ajulikanaye kama Joy Agaba alikutwa juzi amenyongwa nyumbani kwake na watu wasiojulikana. Mauaji ambayo yalifanana na yale ya Karegeya nchini SA vyombo vya habari vya ndani vinashindwa kuripoti tukio hilo kwa kuhofia utawala...
  8. LOVE U JF

    Burundi baada ya rais Nkurunziza

    Nawasalimu nyote ktk jukwaa hili,twende kwenye mada. Kuna mchakato unaendelea nchini Burundi kumtafuta mlithi wa rais Nkurunziza baada ya kutanabaisha kua hatogombea tena katika uchaguzi ujao. Hapa nacho taka tujadili nanyi wadau 1. je Burundi kama mwanachama ktk jumuiya ya EAC na nchi...
  9. LOVE U JF

    Uwekezaji Kisarawe

    Wadau bila kupoteza wakati. Kisarawe ni Wilaya mojawapo ya Mkoa wa Pwani, na hapa nalenga eneo la Kisarawe Maneromango au kama wenyeji wapaitavyo Mango, nimeweza kugundua yafuatayo ambayo ndyo sababu ya kuandika uzi huu ili wadau mnisaidie mawazo 1. Usafiri kutoka Dar had hapo niwa uhakika 2...
  10. LOVE U JF

    Camera inauzwa

    Kama maada inavyojieleza camera [emoji328] aina ya sony inauzwa kiasi m 2.5 napatikana jiji la Dar
  11. LOVE U JF

    Mwaka 2020 CCM au upinzani ?

    Wanajamvi poleni na majukumu ya kujenga familia na taifa letu tukufu.Narudi kwenye hoja kumekuwa na mijadara mingi kwenye mitandao hata hapa jf kuhusu nani anafaa kuliongoza taifa ktk uchaguzi ujao wa 2020,mijadara hiyo haijawahi kutoa au kupatikana ufumbuzi wa kipi ni chama sahihi kinaweza...
  12. LOVE U JF

    Msaada wa kisheria kuhusu PPF

    Wanajamvi habari, kama maada inavyo tambulishwa, tumeajiliwa kwenye taasisi binafsi na tuliunganishwa na mfuko wa PPF (kabla mifuko haijaunganishwa ) cha ajabu wafanyakzi wanafukuzwa na ppf zao hupewa na taasisi na syo mfuko ,huko ppf ukienda kuuliza salio hakuna kitu je hapo wa kumshitaki ni...
  13. LOVE U JF

    Jamii Forums rudisha maua yetu!

    Naanza kwa kuwasalimia wote na kuwatakia kheri ys Chrismass na mwaka mpya ,nikirejea maada tajwa hapo juu Nikwamba juzi ulikua ukifungua thread yoyote unakutana na vimaua ( gift ) vinaanzia chini vinasambaa kwenye screen yaani mpaka raha ,kwa kua sikua na mia mfukoni vile vidude vilileta raha...
  14. LOVE U JF

    Tetesi: Hali ya hatari kati ya Burundi vs Rwanda

    Kama heading inavyojieleza, kuna sintofahamu kubwa kati ya nchi hizi jirani yaani Burundi na Rwanda ambapo majuzi baada ya Kagame kushuhudia mazoezi ya kijeshi huku askari wake wakijaribu mizinga mipya alitoa hotuba iliyo m criticise Nkurunziza baada ya wiki 2 lilitokea tukio la uvamizi katika...
Back
Top Bottom