Search results

  1. mbongowakweli

    What's your problems guys? Money or Women?

    Hiyo ni salamu wanaume tunapokutana, hasa pub, cafe au kwenye jumuiko lolote. Haya semeni kati ya hayo mawili, lipi linawasumbuwa?
  2. mbongowakweli

    Plot4Sale Nyumba na kiwanja vyauzwa Bunju 'B' Sokoni 80m/=

    Nyumba na kiwanja vyauzwa Bunju B Sokoni 80m/=. Kina title deed, 890 Square Meters, master, vyumba 3 vya kwaida, public toilet, garage, karibu na soko na barabara kuu ya Bagamoyo. Bunju Mzee Jaros 0754826668 0712168055
  3. mbongowakweli

    Mtaji wa Tshs. milioni 3 uzalishe Tshs. 40,000/= kwa siku; njoo tufanye biashara

    Kama kichwa cha habari kisemavyo. Nina mtaji wa Milioni 3. Walio serious na biashara, waaminifu, wapambanaji waje na IDEA tuzalishe 40,000/= kila siku. Iwe biashara halali tulipe kodi n.k. KARIBUNI.
  4. mbongowakweli

    Ufalme Uingereza : Ubaguzi kuhusu mtoto Archie Harrison Mountbatten-Windsor.

    Toka walivyoanza "ku-date" Prince Harry na mlimbwende toka USA Meghan Markle, kumekuwa na maneno ya kibaguzi kwa Waingereza na hata baadhi wazungu pande nyingi Duniani ya kutisha na hata wenye ufalme Uingereza kuogopa "damu yao nyeupe" kuchafuka na "damu nyeusi". Maneno na fikra zao yamemfanya...
  5. mbongowakweli

    Rais Magufuli kayafanya haya, kwanini haturidhiki naye?!

    Hasa kwenye mitandao, kuanzia "Shangazi", Miss Sarungi, Miss Ndosi, TLS (ndio), na "the so called" wanaharakati wa "Demokrasia" pamoja na vyama karibu vyote vya ukinzani wanakereka wakikusikia unayapenda na kuyazungumzia mambo haya mazuri, rais wetu JP Magufuli anayofanya, wanakunyamazisha...
  6. mbongowakweli

    Je, kupatikana kwa wahusika wa kibongo na nyumba husika kutawafanya wale wote waliowashutumu wenzao kuomba msamaha?

    Toka tukio la kusikitisha la kupotea/kutekwa kwa kipenzi cha wana-simba na raia wa kawaida wa Bongo kutokea, wengi wakiwemo hasa kina Zitto, @tundulissu, viongozi wengineo, mashabiki na wanachama wa vyama kinzani waliishitumu Dola na vyombo vyake vya usalama kwamba wanahusika moja kwa moja na...
  7. mbongowakweli

    Tahadhali: Matapeli wa Tatu Nzuka wanasumbua! Tafadhali Polisi na TCRA shughulikieni hawa Watu

    Wanabodi, kuna namba hizi 0742 223 697 na 0742 580 263 Wanaweza kukutumia ujumbe ufuatawo.. TATUMZUKA Hongera! Umejishindia BONUS Ya Tsh.MILIONI 6 Katika Droo Yetu Ya Saa11. Kamp No.555111 Tafadhali Wasiliana Nasi 0742223697 Kwa Maelezo Jinsi Ya Kupata BONUS Yako. TATUMZUKA Tunabadili Maisha...
  8. mbongowakweli

    Twafa na faini za barabarani zilizo kali kama moto wa tanuru..

    Madereva wenzangu, faini tunazokumbana nazo kwa kipindi, nafikiri haijawahi tokea kwa miaka mingi mno. Kweli makosa yanatendeka, rushwa hawataki, HAKUNA KUBISHA WALA KU CONTEST MAKOSA YAKO, AIDHA MAHAKAMANI WALA KWA TRAFIKI HUSIKA. PIA HAKUNA KULIPA KIDOGO KIDOGO (INSTALLMENT), YAANI NI MZIGO...
  9. mbongowakweli

    Gari inauzwa, Nissan Cube, 2007, 1490cc, Petrol

    Wanabodi, gari inauzwa, Nissan Cube, 2007, 1490cc, Petrol, inauzwa milioni 12.5 Imesajiliwa April 2018 Mileage 1OOk Imetoka bandarini. Dark brown. Haina Insurance Ina wheel spanner, spare tyre. 12.5 milion Tupigie 0753 680 847 12.
  10. mbongowakweli

    KAZI NDIO MSINGI WA MAENDELEO. NCHI MASIKINI HAIWEZI KUENDELEA KWA MSINGI WA FEDHA...

    KAZI NDIO MSINGI WA MAENDELEO. NCHI MASIKINI HAIWEZI KUENDELEA KWA MSINGI WA FEDHA. NCHI MASIKINI HAIWEZI KUJITAWALA KAMA INATEGEMEA MSAADA KUTOKA NCHI ZA NJE- J. K. NYERERE Kuna wengi tu wame quote huu msemo.. Bujibuji mmoja wapo.. Je Mzee Mkapa, Mzee Kikwete na Mzee JPM wanatekeleza haya?
  11. mbongowakweli

    MAKONDA LIVE:-

    BREAKING NEWS: Rc Makonda Anazungumza Muda Huu via YouTube
  12. mbongowakweli

    Je, kuahirishwa na kufutwa kesi za Jamhuri ni uzembe?

    Tumeshuhudia kesi nyingi Jamuhuri inapomshtaki mtu au kampuni, aidha kuahirishwa mara kwa mara au kufutwa. Je ni kutokana na uzembe, kutokuwajibika, kukurupuka au sababu tuna vilaza tu wa mashtaka pale? Ina maana Dola inaajiri wanasheria wasio makini na hawajielewi au ni nini hasa? Hili siyo...
  13. mbongowakweli

    Houseboy anahitika, kazi inaanza June 2018

    Tumeshapata mwajiriwa, asanteni sana kwa waliosaidia fatiki hii...
  14. mbongowakweli

    Hata wanaume nawo wanabakwa jamani...

    Nun raped me and had my baby - The torment of a schoolboy victim | UK | News Paul Jeeves Edward Hayes wanted to lift the lid on sex abuse by nuns He wanted to speak out over the Easter weekend to lift the lid on sexual abuse by nuns and encourage other victims to finally come forward after...
  15. mbongowakweli

    Kupata mkopo kwa Title Deed..

    Nawauliza wadau, kupata mkopo kwa Title Deed yako, lakini unatumia kampuni ya jamaa zako wa karibu... Wenzangu wana kampuni iliyosajiliwa, wanafanya kazi vizuri tu, nataka kuwapa Title Deed yangu, ili tuchukuwe mkopo, tushakubaliana % nitakayowapa, malipo nafanya mimi sababu hati yangu...
  16. mbongowakweli

    Tanzania yaathirika na wizi, ufisadi, tamaa, uroho na ufujaji..

    Tumeshudia wizi, tamaa, uroho na ufisadi katika kila chama na serikalini, kuanzia... Gugai na wenzake watatu wapandishwa mahakamani Kisutu, wasomewa mashtaka 43 Gugai na wenzake watatu wapandishwa mahakamani Kisutu, wasomewa mashtaka 43 via JamiiForums Vigogo watano wa Shirika la Maendeleo ya...
  17. mbongowakweli

    Wale wanaojuwa ku calculate CDM charges/Storage Charges, tuelemishane

    JamiiForums yajulikana kuwa na wahenga, wenye elimu na maarifa yao... Tumeagiza gari, toka 16th March, twataka kujuwa Storage charges Bandarini mpaka sasa zitakuwa kiasi gani... Tutashukuru watakaotusaidia.. Asanteni
  18. mbongowakweli

    Fursa kwa vijana; Acheni kulala changamkieni hii

    22.6m/- set for monthly innovative ‘green’ idea winners BY DAILY NEWS REPORTER 12 APRIL 2018 Dar es Salaam online platform has introduced a sustainable social media platform (www.greenxprize.com) that allows lucky monthly project winners to walk away with $10,000 (approximately 22.6m/-)...
  19. mbongowakweli

    Kina mama, dada, watoto wa kike, hivi mnakijuwa hili jembe na kichwa?!

    Ukisikia ma "Role Models" ndio hawa, wenye watoto wa kike na kina dada fuateni nyayo za huyu dada... GENEVIEVE SANGUDI South Africa Managing Director of The Carlyle Group | Sub-Saharan Africa Fund Executive Profile* Genevieve Linda Sangudi Managing Director,The Carlyle Group L.P. Age :40...
  20. mbongowakweli

    Kabla ya kuihoji Serikali ya sasa lazima ujiandae na haya..

    Uraia wako, hakikisha una cheti cha kuzaliwa, cha wazazi, cha mabau na mabibi..na wajulikana na raia viongozi mtaani.. Hauja ajiriwa serikalini, hudaiwi na dola, mabenki.. Biashara zako hufanyi na dola, unatumia EFD na una vyeti vyote vya biashara, na unalipa kodi bila shuruti.. Haupo kwenye...
Back
Top Bottom