Search results

  1. Forest Hill

    Pep Guardiola kaigeuza ligi kuu ya uingereza kuwa farmer's league?

    Mara Ngapi tuwaambie maana ya FARMERS LEAGUE??Mancity Hata achukue kombe back to back Mara kumi,haifanyi Epl kua Farmers League, EPL ushindani upo na tunaona daily,Mancity Bora Sana,msimu wa pili mfululizo league inaamuliwa Siku Ya mwisho, Liverpool ya Kloop Ilipata Points 99 na Bado...
  2. Forest Hill

    Acha tu Mchina awashikishe wazungu Adabu maana bidhaa zao ni Ghali sana

    According to data from World's Top Exports, Chinese exports totalled US$3.026 trillion in 2021. Exports to the US, Hong Kong, Japan, South Korea and Vietnam accounted for the biggest values, totalling 41.2% of all China exports. Source Google
  3. Forest Hill

    Ungekuwa ewe ungekubali?Japo inachekesha lakini soma hivohivo.

    Wanasema mwanaume Hana UCHI..
  4. Forest Hill

    Niliyoyaona baada ya kuweka wazi khali yangu ya maambukizi ya UKIMWI

    Ukimwi umemchukua classmate Easy E
  5. Forest Hill

    Africa All Time First Eleven, unakubaliana nao?

    Nwanko Kanu??
  6. Forest Hill

    Kitu gani maarufu kinautambulisha Mkoa unaotokea bila kutaja jina la Mkoa wenyewe?

    "usiende kazini Baba mwantumu nguo zote nimeloweka,turudi chumbani"
  7. Forest Hill

    Mfahamu Producer Mikka Aleksanteri Kari A.K.A Mika Mwamba

    I Inaitwa Kwenye chati
  8. Forest Hill

    Mfahamu Producer Mikka Aleksanteri Kari A.K.A Mika Mwamba

    Kafanya ngoma nyingi but beat ya balozi "Kwenye Chati" hakutakuja kutokea banger kama lile..
  9. Forest Hill

    International Schools zina nini cha zaidi?

    Kuna mtoto wa ndugu yake na Mo alikataa Sponsorship ya kwenda kusoma MIT,dogo akaenda India kusomea Biashara,habari hiyo ikaletwa humu Jf,dogo alikua IST,ikaletwa list ya watoto na vyuo walivyoenda,ni Stanford,MIT, Havard,Uingereza na Marekani tu, Kuna shule niliwahi kupiga kibarua Hadi Leo...
  10. Forest Hill

    Aliyemuelewa Mzee Kinana tafadhali atusaidie kufafanua ili na sisi tuelewe

    You either die a hero or live long enough to see yourself become the villain.. Dark Knight
  11. Forest Hill

    Taja jina la mtu ambaye hujawahi kukutana nalo zaidi ya mara moja

    Shemeji yenu anaitwa Elizabeth Kazi bure
  12. Forest Hill

    Wakuu hivi Crown ni gari ya ndoto za vijana wengi Bongo?

    I'm still whipping in Bajaji's,sio kwamba sipendi gari,la hasha,uchumi tu, siku nikipata Camaro Chevy,kishoka,miguu kwenye dashboard,speed 10,nyimbo mbili tu,Pamba nyepesi ya Inspector,au RIDING ya chameleon...
  13. Forest Hill

    Ali Kamwe: Simba tutawafuata na bakora waje kujifunza Kwa yanga

    Hujui why waliitwa MBUMBUMBU??mkuu Hawa watu na maarifa ni paka na panya,watu wametoka Congo huko wamekuja kujifunza,wao mtaa wa pili wanatega Skuli
  14. Forest Hill

    Nape Nnauye: Tanzania kuwa na Satelaiti yake kama backup ya internet, Mkongo uliokatika kuchukua siku 7 zaidi kutengamaa

    Siku 7??nitakufa njaa,umesema yuko wapi?? Location please
  15. Forest Hill

    Uzi maalumu kwa watu wenye UKIMWI

    Nikitumia Mpira Kuna tatizo??au ndio sumu hailambwi...by the way Nice song, haha
Back
Top Bottom