International Schools zina nini cha zaidi?

U

Unasifia mwizi wa Havard so Havard inafundisha wizi,kujua kitu sio unitumie kuiba why usifanye mazuri zaidi ukubalike na utangaze jina la chuo chako
Hapo nimekuonesha jinsi Havard ilivyo muwezesha kuwa 10 steps ahead of wenzake...Kutamka neno "wizi" haipunguzi intellect yake.
Kuna watu ni smart thiefs,Kuna watu ni smart hackers na kuna watu smart poison makers...Siye tunaangalia knowledge alipoitolea, Kufanya uharifu ni uamuzi wa mtu.
Hapo ndiyo uone gape la ubora wa elimu ya hapa na huko nje...
 
Kuna mambo ambayo wazazi na walimu huwa hawazingatii kutoka kwa watoto hasa katika mchakato mzima wa mtoto kupata elimu.
Pasipo kufahamu haya madogo ndio makubwa zaidi katika kumjenga mtoto kiuelewa ambapo itakuwa ni msaada mkubwa sana kwake katika maisha yake yote yaliyobaki kitaaluma, kazini na hata katika utu uzima wake baadae.

International schools ni zaidi ya english na masomo haya ya kawaida wanayosoma English Medium na kayumba.

Mambo madogo madogo ambayo hizi shule za kawaida hawazingatii kule international schools wanazingatia.

Katika kitu ambacho nili notice binafsi.
Uwezo tu wa kujiamini wa mtoto anayesoma International school ni next level, mtoto anafundishwa confidence ya hali ya juu anaweza kusimama mbele ya watu 1000 na akazungumza kwa kujiamini sana, na sio hawa watoto wa kayumba akiona mwalimu ni mbio na hajui hata anakimbia nini, ye anawaza fimbo tu, hio ni mbaya, mwalimu na mtoto ni maadui hapo saa 4 wapo wanapiga maembe na mawe kazi kweli kweli.

usizungumzie ubora wa elimu ya michezo na viwanja vya michezo, ubora wa maabara, computer room, maktaba hadi madarasa, vyakula n.k. plus watoto wanapewa care ya hali ya juu mfano uende 5 star hotel na kwa mama ntilie mtaani, mtoto anajiona special na wa thamani, haya ni mambo yanamjenga sana mtoto kisaikolojia.

Ukweli ni kwamba kila mmoja anatamani mwanae asome international ni ile tu uchumi hauruhusu.
 
Wa

Kidogo wewe hujawa biased ,ishu Kama ni biashara wafanyabiashara wakubwa mno na investors wanakuambia kuwa pamoja na kusoma Havard school of business haikumuandaa kuja kuwa trader mzuri ama entrepreneur wa uhakika Bali amejifunza kwa internet. Mie nachopenda ni mwanangu awe na passion, perseverance, committed, dedicated, desire ya ku achieve ndoto zako .

Mwishowe ama kwanza kabisa awe na emotions intelligence kuliko IQ like mental resilience,composure, yaani aijue intuitive mind than logic reason brain which is faithful servant.
Yaani akiwa na upendo wa kukomaa ama kujifunza kitu mwenyewe akakipenda am sure hii inashinda degree zote duniani.

Warren Buffett ameanza kuwekeza katika stocks akiwa 11 , Elon musk,Bill gate wamesomea vyuo Gani. Lazima tukubali pia kuwa na ego ina influence some of our decision making
Lakini walioajiriwa na hoo wamiliki wa hizo big tech companies unaelewa CVs zao mzee? Wengi ni wasomi wamesoma CS kwenye vyuo vikubwa kabisa duniani kuna data scientist hapo ni ma professor, math geniuses n.k

Nakubali passion\interests ni muhimu sana, lakini shule ina umuhimu pia, tusi base sana na elimu mtoto anayopata bali mambo yatakayomjenga zaidi atakapokwenda shuleni ikiwemo kukutana na wenzake wenye interests kama yeye aliyonayo, hata Mack Zuckerberg alifanya projects na wenzake waliokuwa shuleni na ilikua msaada mkubwa kwake.
 
Unachoongea ni sahihi Ila Kuna jamaa mmoja akasoma ist Halafu saivi ni it kwa kampuni uchwara Fulani ivi

Ila elewa suala la ego , boastfulness. Kuna vijana wanamaliza udsm wanasepa zao kupiga PhD and masters zao huko uk, Australia, German,USA etc hapo napo inakuwaje
hebu kakae nae huyo aliemaliza ist alafu itokee fursa uone nani anampiga gap mwenzake...... kuhusu kumaliza yudizim na kusoma njem mbona kawaida mkuu ila tunajionea hata viongozi wetu waliosoma nje wanavyoboronga msingi unaanzia chini sio baada ya lenta
 
Katika kitu ambacho nili notice binafsi.
Uwezo tu wa kujiamini wa mtoto anayesoma International school ni next level, mtoto anafundishwa confidence ya hali ya juu anaweza kusimama mbele ya watu 1000 na akazungumza kwa kujiamini sana, na sio hawa watoto wa kayumba akiona mwalimu ni mbio na hajui hata anakimbia nini, ye anawaza fimbo tu, hio ni mbaya, mwalimu na mtoto ni maadui hapo saa 4 wapo wanapiga maembe na mawe kazi kweli kweli.

usizungumzie ubora wa elimu ya michezo na viwanja vya michezo, ubora wa maabara, computer room, maktaba hadi madarasa, vyakula n.k. plus watoto wanapewa care ya hali ya juu mfano uende 5 star hotel na kwa mama ntilie mtaani, mtoto anajiona special na wa thamani, haya ni mambo yanamjenga sana mtoto kisaikolojia.
mkuu hakuna mzazi maskini anaweza elewa hii point.,.. umepiga kwenye mshono maskini atajitetea tu ila ukweli umeandika vizuri sana........

elimu ni haki ya msingi ila sisi wa kupeleka watoto kayumba school tunaamini elimu ndio urithi wa mtoto 🤣🤣🤣🤣🤣 mbali na hapo ni lugha gongana ila ukikuta mzazi mwenye pesa anajua umuhimu wa hizo shule....

imagine mtoto yupo form 4 hajui kuandika kwenye swala la kujieleza mbele za watu ndio kabisaaaaaaaa ni ziro
 
Watakwambia una wivu. Tafuta hela.

Kimsingi wanachoweza ni kuongea kingereza tu.

Maana wengine hata kufua nguo zao na chupi zao hawawezi.
Yule msanii wa kike hapa bongo ..Wengi kuwa na utamaduni wa wazungu , kuajiriwa nje ila hawana maajabu ya kufanya mapinduzi makubwa katika nchi zao .
 
Kuna mambo ambayo wazazi na walimu huwa hawazingatii kutoka kwa watoto hasa katika mchakato mzima wa mtoto kupata elimu.
Pasipo kufahamu haya madogo ndio makubwa zaidi katika kumjenga mtoto kiuelewa ambapo itakuwa ni msaada mkubwa sana kwake katika maisha yake yote yaliyobaki kitaaluma, kazini na hata katika utu uzima wake baadae.

International schools ni zaidi ya english na masomo haya ya kawaida wanayosoma English Medium na kayumba.

Mambo madogo madogo ambayo hizi shule za kawaida hawazingatii kule international schools wanazingatia.

Katika kitu ambacho nili notice binafsi.
Uwezo tu wa kujiamini wa mtoto anayesoma International school ni next level, mtoto anafundishwa confidence ya hali ya juu anaweza kusimama mbele ya watu 1000 na akazungumza kwa kujiamini sana, na sio hawa watoto wa kayumba akiona mwalimu ni mbio na hajui hata anakimbia nini, ye anawaza fimbo tu, hio ni mbaya, mwalimu na mtoto ni maadui hapo saa 4 wapo wanapiga maembe na mawe kazi kweli kweli.

usizungumzie ubora wa elimu ya michezo na viwanja vya michezo, ubora wa maabara, computer room, maktaba hadi madarasa, vyakula n.k. plus watoto wanapewa care ya hali ya juu mfano uende 5 star hotel na kwa mama ntilie mtaani, mtoto anajiona special na wa thamani, haya ni mambo yanamjenga sana mtoto kisaikolojia.

Ukweli ni kwamba kila mmoja anatamani mwanae asome international ni ile tu uchumi hauruhusu.
kama nan anaweza kuongea mbele za watu ? Confidence ni kipawa hao wazungu wengi tunawaona kweny speech zao sio wakakamavu ...Sio wote wana uwezo wa kuzungumza kwa confidence .
 
Inakuwaje wabongo wanaotaka huku wanaenda kusoma huko oxford university na wametokea public/government schools.
Inabidi tuje na statistics ya watoto wote waliosomea international schools , English medium and st kayumba wako wapi kwa muda huu na wanafanya nini.
Sitaki kuponda kula Serena hotel eti ni sawa na kula kwa mama ntile pale kimboka buguruni.

Ila ueelewe kuwa binadamu sio logic/reason being Bali ni emotions creature anayejaribu kuwa reason logically.

Kuna human ego pia mkumbuke

Sidhani kuwa huko ndiko kunakufanya uwe na uwezo,Kama ni mziki you can learn anything on the internet ishu kubwa ni mtu kuwa na passion

We're emotions creatures we try to be logic or reasoning

Kuna mtoto wa ndugu yake na Mo alikataa Sponsorship ya kwenda kusoma MIT,dogo akaenda India kusomea Biashara,habari hiyo ikaletwa humu Jf,dogo alikua IST,ikaletwa list ya watoto na vyuo walivyoenda,ni Stanford,MIT, Havard,Uingereza na Marekani tu,

Kuna shule niliwahi kupiga kibarua Hadi Leo naweza kwenda kuoga swimming pool lao,Elimu yetu ya uwongo mkuu,watu wapo serious..
 
Huoni wivu
 
Attachments

  • 1690204917972.png
    1690204917972.png
    421.2 KB · Views: 1
kama nan anaweza kuongea mbele za watu ? Confidence ni kipawa hao wazungu wengi tunawaona kweny speech zao sio wakakamavu ...Sio wote wana uwezo wa kuzungumza kwa confidence .
Kuna fear ya public speaking hii Haina kuwa umesomea wapi ama wewe ni rangi gani ni ujasiri Kama ujasiri mwingine.
Kuna technique how to do public speaking hii Haina suala la shule gani umesomea,dini yako,rangi ,kabila ama urefu gani
 
mkuu hakuna mzazi maskini anaweza elewa hii point.,.. umepiga kwenye mshono maskini atajitetea tu ila ukweli umeandika vizuri sana........

elimu ni haki ya msingi ila sisi wa kupeleka watoto kayumba school tunaamini elimu ndio urithi wa mtoto 🤣🤣🤣🤣🤣 mbali na hapo ni lugha gongana ila ukikuta mzazi mwenye pesa anajua umuhimu wa hizo shule....

imagine mtoto yupo form 4 hajui kuandika kwenye swala la kujieleza mbele za watu ndio kabisaaaaaaaa ni ziro
Sio kuwa sizikubali hizo shule Ila kujielezea nako sio ishu ya Kila mtu. Kuna watu wanajua vitendo Ila kutoa out kwa watu ni kazi
 
ANAANDIKA BICHWA KOMWE:-

Hizi shule zinazoitwa "international schools" zinafundisha nini cha ziada sana ambacho hakimo penginepo?

Ni kweli, shule zina mazingira mazuri na yanayofurahisha, lakini je, kile wanachofundishwa wale watoto kina hadhi gani ya kulipiwa mamilioni?

Hapa ieleweke vema kwamba siungi mkono mashule ya kata ambayo kimsingi ni mashule butu yasiyo na sifa wala vigezo vya kuwa shule. Mashule ya kata ni maeneo maalumu ambayo watoto wanaenda kujazwa ujinga na kupoteza wakati.

Hizi international schools pia ni kama mashule ya kata yaliyochangamka tu isipokuwa pale unaenda kununua KIINGEREZA kwa milioni hamsini kwa mwaka.

Zaidi sana mtoto atapewa midoli ya kuchezea na mabembea ya kuning'inia. Of course bila kusahau CHETI CHA KIINGEREZA.

Linapokuja swala la maarifa ni kitu kingine kabisa. Hawa watoto ni makanjanja tu kama watoto wengine wanaosoma kwenye mashule ya kata.

Mpaka sasa sijaona ni kwanini mtoto akanunue Kiingereza kwa shilingi milioni hamsini wakati mtu anaweza kujifunza Kiingereza hata chini ya mti na akabukua vema tu kama makanjanja wengine akina Dayamondi waliojifunza Vingereza magetoni.

Tukiwawezesha hawa walimu wetu uchwara wa shule za Kata wataweza kufundisha kizungu vizuri tu.

Tuanze kudahili walimu ambao wana ufaulu mkubwa badala ya kudahili vilaza wenye MADIVISHENI FOO ati ndio wakawe walimu!

Hili lizingatiwe sana.
INTERNET
 
Kuna fear ya public speaking hii Haina kuwa umesomea wapi ama wewe ni rangi gani ni ujasiri Kama ujasiri mwingine.
Kuna technique how to do public speaking hii Haina suala la shule gani umesomea,dini yako,rangi ,kabila ama urefu gani
Yule binti kasoma international school leo anakata viuno kweny mziki , kwa nn asienda huko nje?

Diamond anapiga show za nje kwa sana hajasoma hata advance ya shule za kata.
 
Back
Top Bottom