Search results

  1. M

    Mke wangu hampendi mama yangu mzazi

    Habar wakuu, mimi ni baba wa watoto wa 3, niko 35 mke 31, hapo awali miaka 4 nyuma wazazi walikua wakinambia tabia za mke ambazo ni za maneno na umbeya yaani anazungumza mambo yanayohusu wazazi wangu ndugu zake na mashost zake anazungumza maneno mabaya. Sasa watu huhadithiana yanafika...
  2. M

    Sinus bradycardia, left ventricular hypertrophy, primarily ventricular complexes tiba yake ni nini?

    Habari wakuu majibu kama hayo sinus bradycardia tiba yake huwa ni nini?
  3. M

    Kiwango cha mapigo ya moyo kuwa chini PR 55-59 hutokana na nini?

    Habar wakuu napenda kujua kiwango cha mapigo ya moyo kuwa chini hutokana na nini...
  4. M

    Najuta zaidi ya Tsh. 500m nimezika katika majengo, mtaji wa kufanyia biashara umepungua pakubwa sana

    Habari wakuu, nawashauri msifanye makosa kama niliyofanya, ukipata pesa wekeza katika biashara na si majengo. Fursa nyingi zimenipita kutokana na mtaji kuwa mdogo sababu ya sehemu kubwa ya faida nilipokuwa naipata haikurudi kuwekeza katika biashara zaidi. Matokeo yake wakati fursa naziona Sasa...
  5. M

    Damu 4.2 Baada ya kujifungua siku ya 23

    Habar wakuu mke wangu kajifungua tar 1/3/2024 Leo tar 23 kaamka kichwa kinaumaa kizungu zungu homa Kali barid Kali,,tukaenda hospital kapimwa kakutwa na damu 4.2. Kapewa dawaferrous sulphate + folic acid tablet ameambiwa anywe 1×2. wadau msaada zaid
  6. M

    Baada ya kujifungua mapigo ya moyo yapo zaid ya 100

    Habar wakuu ushauri wenu mke wangu siku yakujifungua presha ilikua juu sana akapigwa sindano yakushusha presha ndo kuweza kujifungua lakina baada ya akujifungua Bado presha ikawa juu kidgo ...akapewa dawa za presha awe anatumia mpaka atakapo kaa sawa ,bahat mbaya akameza siku akaacha akazirudia...
  7. M

    Mtaji wa 46M faida 540,000, pia mtaji wa 45M faida 576,000

    Habari wakuu mnaionaje hizi baishara ni za kuendelea kufanya kweli tandam ya gari ya sukari inabeba mifuko 600 ya sukari unaiuza kwa miezi 2 na faida yake ni 540,000 wakati huo gharama za manunuzi 46m faida kwa Kila mfuko jumla jumla ni tsh 900. Wakati huo huo mtaji wa gari ya ngano 45m hapo...
  8. M

    Njia ya uzazi Iko centimeter 4 tangu saa Tano usiku haijaongezeka

    Habari wakuu mke wangu baada ya kupatwa na dalili za uchungu tumemfikisha hospital saa nne usiku, baada ya kufika akapimwa njia ikiwa centimeter 3 uchungu ukiwa unamuijia na kupotea baada masaa manne kupimwa njia ikawa centimeter 4. Sasa Hadi saa hii Bado uchungu unakuja na kupotea dokta nae...
  9. M

    Inachukua muda gani hadi njia ya uzazi kufunguka?

    Habari wakuu, Niko hospital kumleta mjamzito kaskia Hali ya uchungu...watu wakuzalisha wamemchek wanasema njia ya uzazi ndo inaanza kufunguka, nauliza inachukua mda gani njia ya uzazi kufunguka kabisa
  10. M

    Kwanini Wilaya nyingi za Mikoani vijiji vingi ardhi imefanywa kuwa hifadhi ya taifa au TFS?

    Habari wakuu, Kwanini Tanzania hii sehemu za wilaya hasa wilaya ambazo ziko Mikoani wilaya ambazo zina vijiji vingi vyenye sehemu kubwa ya mapoli yamefanywa kuwa hifadhi ya taifa? Matokeo yake ni shuguli za kilimo kuwa kwa kiwango kidogo sababu ya sehemu kubwa ya mapori kufanywa hifadhi za...
  11. M

    Mimba ya miezi 8 na siku 17 je, Kuna uwezekano kujifungua na mtoto akawa hai?

    Habar wakuu poleni namjukum mke wangu anamimba ya miezi 8 na siku17 ...mjamzito anadalili zinazofannana na uchungu kuuma nyonga maumivu yanakuja nakuachia...je kunauwezekano wakujifungua na mtoto akawa hai kwa umri wa mimba hii ya miez8 na siku17..maana mimba miezi 9 kamili Bado haijakamilika
  12. M

    Mjamzito mimba miezi 8 na siku20 anavimba mwili na damu pungufu

    Habar wakuu ushauri wenu..mke wangu ana ujauzito wa miezi 8 na siku20 majuzi kaenda kaenda clinic ktk hospital ya mission ya wakatoliki kuangaliwa Hali yake...kapimwa ultra sound mtoto Yuko sawa natayar kupimwa damu Iko kidogo akaandikwa dawa..ila Sasa changamoto ya hii hospital ni wakat...
  13. M

    Nimeanza kunywa juisi ya mboga za majani Kuna madhara yoyote naweza pata?

    Habar wakuu Leo nimean, tengeneza juis inayotokana namboga mboga za majani...yaan kama mchicha na kisamvu nachukua Kisha naweka ktk heavy duty juicer inakamua zile mboga mboga napata kimiminika Kisha nakunywa...nauliza wataalamu wa afya Kuna mahara yoyote naweza pata
  14. M

    Kazi za Norway viwango vya mishahara vikoje

    Habar wakuu nna mdogo wangu kasoma civil engineering anataka kwenda Norway kuhangaika kwa kazi yoyote. Nauliza wadau yoyote mwenye uzoefu wa viwango vya mishahara zakazi za aina zote uko norway
  15. M

    Msaada Juis ya mboga mboga za majani

    Habar wakuu Nina juicer machine yenye uwezo wakukamua mboga zamajani kuwa juice na makapi yake yanakua pembeni na nabakia na juice ..wakuu nauliza Kuna madhara yakukamua mboga za majani bila kuchemsha nakutoa juisi yake nnkainywa
  16. M

    Mrejesho wa ndgu yangu aliugua ukichaa tangu tar 28/1/24

    Habar wakuu naleta mrejesho wahali ya ndgu yangu wakike umri miaka45 Alie ugua ukichaa..baada yakumpeleke hospital wakampima ukimwi Hana,presha wanasema Hana Changamoto alizokua nazo kabla yakuugua ukichaa ni ugumu wamaisha ktk kipindi hiki Cha miaka miwili,pia mwanae tegemez wakike kujifungua...
  17. M

    Figo zimefeli ghafa umri miaka 37

    Habar wakuu..nimerudi kuomba msaada kwenu.. nna ndugu yangu jinsia ya kiume jana majibu yameonesha figo zake zimefeli zote. Ni hivi huyu ndugu yangu ameanza kujiskia vibaya tangu majuzi kazidiwa akapelekwa hospital akakutwa na presha 220/105 na hajawahi kuugua presha..... wakamreferal MNH...
  18. M

    Amepatwa na ukichaa, inasemekana ana UKIMWI

    Habar wakuu msaada wenu tafadhali. Nna ndugu yangu wa kike umri miaka 45 amepatwa na ukichaa ghafla jioni ya Jana, January 28, 2024. Sasa huyu ndugu yangu nasikia muda mrefu kuwa huwa nimuathirika. Je wakuu kunauhusiano wa ukimwi na kupatwa na kichaa. Msaada wenu wakimawazo kwa anaefahamu
  19. M

    220m ni hasara nimeipata tangu niingie katika ulimwengu wa biashara 2010 kwa usimamizi mbovu na matumizi yasiyo rasmi hadi sasa

    Habar wakuu Biashara na ujana nichangamoto kweli kweli kama hukuweza dhibiti usimamizi na matamanio ya mwili pamoja na matumizi yasio rasmi.. fuso kuanguka mtoni na kuipoteza ni 42m, kushindwa kusimamia biashara vizur msimamiz akanipiga 50m, wanawake starehe na kuhonga 40m,matumizi...
  20. M

    Kwanini wahindi wengi posta na kariakoo hufungua maduka Yao saa tatu asubuh hadi saa nne na kufunga saa kumi na moja

    Habar kwanin wahindi wengi mitaa ya kariakoo hupenda kufungua maduka Yao saa tatu asubuh hadi wakati mwingine saa nne na huwahi kufunga maduka Yao saa kumi na moja na nusu..ukizingatia wengi hukaa hapo hapo posta na kariakoo
Back
Top Bottom