Search results

  1. Chuck j

    Biashara ya Restaurant/ Mgahawa Kahama

    Niko Dar, nataka kujua biashara ya mgahawa KAHAMA ikoje? Wateja wapo wa kutosha?
  2. Chuck j

    Kifaa cha umeme kilicho kaa muda mrefu mssada

    Nauliza Nina TV inamiaka nane ndani sijaitumia but niliyokuwa naitumia,,now imeungua,,je naweza itumia hii iliyokuwa ndani bila kuitumia muda?haiwezi ungua,nyaya ndani?
  3. Chuck j

    JANGWANI, DAR: Kutokana na Mvua, Mabasi ya mwendokasi yasitisha huduma kwa saa 4. Ofisi za UDART zahamishwa kwa muda

    Kufuatia mvua iliyonyesha Jana kuanzia saa nane na kumi na mbili mpaka saa mbili usiku, imesababisha usumbufu kwa watu wa Mbezi ya Kimara, hakuna usafiri wa kwenda mjini, Muhimbili na Karikoo, mabasi ya mwendokazi na hayapo kabisa so vituoni wala barabarani. ======= TAARIFA KWA UMMA...
  4. Chuck j

    Dar: Upepo mkubwa na mvua usiku - Machi 03, 2018

    Mvua na upepo mkubwa mida hii Kimara ya Mbezi, yaani sijui kama haijaacha maafa.
  5. Chuck j

    Msaada kuhusu risasi

    Utajuaje risasi iliyotumika kuulia ksma imetoka wapi?je risasi zina naomba ?
  6. Chuck j

    Cdm nataka mahakamani

    Kufuatia masharti lukuki ya time ya uchaguzi,,nashauri CDM waende mahakamani kupinga,,maana usiwe na Simu na utakacho kiona Ndani ya chumba cha kupigia kura kiwe siri,,Cdm akili kumukichwa
  7. Chuck j

    Kwanini au tunasukumwa kuhamia Dodoma

    Sababu za kutokuhamia Dodoma miaka ya 1970 na ambazo bado hatutohamia kabisa Dodoma ni kubwa kuliko zinazotufanya tuhamie Dodoma kwa sasa!
  8. Chuck j

    Mgombea udiwani kimara CDM tena

    Mh Kinyafu mgombea udiwani IATA ya Saranga kumara amewekewa pingamizi na mgombea Wa Cuf kutokufanya mikutano ya kampeni mpaka tare ya uchaguzi,,madai ni kutangaza kwenye mikutano yake kuwa Cuf hawana mgombea ktk uchaguzi huo
  9. Chuck j

    Msaada Luna riwaya nilisoma hapa

    Wakuu kunariwaya nilisoma hapa siikumbuki,,inahusu kijana mtoto Wa tajiri alimpenda Msichana wao Wa ndani wazazi walivyogundua wakamfukuza yule binti na kijana akaoa mwanamke mwingine,,baadae wazazi Wa yule kijana wakapata Amalia wakafa,,plz nimesahau jina LA hiyo riwaya
  10. Chuck j

    Mkuu Makonda tunakuomba utembelee kituo cha mabasi ya mwendokasi Kimara

    Mkuu pole na majukumu yako, nakuomba utembelee kimara brt asubuhi kama saa kumi na mbili ukae mpaka saa tatu asubuhi. Naomba watendaji wa brt wasikujue kabisa na wasijue kama uko pale,,jibadilishe usitambulike,,hata kama una usalama wako nao wasitambulike plz. Kwanini nimekuomba ufanye hivyo...
  11. Chuck j

    Mtoto wangu anaakili sana nimegundua anaweza kuongoza

    Nimegundua nchi ya watu Wa amani wanaweza kuongozwa na mwanangu ,,,maana anaakili kubwa sana na vipimo vimefanyika ,,,vipimo au kipimo hicho ni hiki,,,mwanangu Jana na Leo nilitoka kwenda job,,Jana akaniagizia filimbi,,sikuleta maana sikupata,,nilivorudi tu home akaniuliza filimbi iko...
  12. Chuck j

    Simu aina ya Sony

    Dada mmoja amesahau password ya kufungulia simu,,,kajaribu Mara 24imejilock,,,inadai Nina LA mamake kama sawli LA security,, na google account na yeye hana na alive msetia hakumbuki,,,he nimsaidieje? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Chuck j

    Dawasco msaada tutani

    Kunamahali watu kama watatu walinunua bomba kama mita mia ,,wakajiunganishia dawasco kwa fundi kishoka alafu wakaenda dawasco kuomba maji,,sawa wanawazuia watu wengine wasilitumie hili bomba kuombea au kuunganishiwa maji yaani wanawazuia watu wasilitumie,,he ni kosa? Sent using Jamii Forums...
  14. Chuck j

    Msaada Wa memory ya simu

    Mimi ninasimu aina ya tecno w5lite,,tatizo haina nafasi imejaaa,,nimenunua memory card ya 16gb,,nimeweka tatizo inasema no space,, nifanyeje?
  15. Chuck j

    Msaada wa kisheria kuhusu vicoba

    Wanachama wa JF, Naomba kwa anaejua kuhusu hili jambo, kuna mmama yuko vicoba na Mwenyekiti wa hicho kikundi amekataa wasipige mahesabu, wala kuwapa vitabu vyao na wanataka ushauri wa kisheria wafanyeje?
  16. Chuck j

    barman anatafuta kazi

    Ni mtaalaam wa stock,,na mtengenezaji wa cocktail +mocktail,,,anatafuta kazi
  17. Chuck j

    Msaada wa kisheria, nifanyeje kwenye hili la kazi?

    Natanguliza shukrani,,nilikuwa unafanya kazi ktk sekta ya utaliii,,kwenye restaurant Fulani ya mwekezaji kwa miezi 6..naaingia asbuhi saaa tano mpaka saaa tano usiku,,,no malipo muda wa ziada.. Tatizo limeanzia hapa, baada ya kuona mshahara haukidhi mahitaji yangu..nikatafuta mahali...
  18. Chuck j

    Nafuatilia mafao hapa NSSF lakini hawanipi mafao yangu

    Nafuatilia mafao hapa nssf ni balaaa..wanachama wanalalamika bupigwa tarehe ..kuna mdada alianza kufuatilia mafao take tangu mwezi was saba mpaka Leo decembar..hajapata ninini hiii jamani?
  19. Chuck j

    Kiwanja kinauzwa

  20. Chuck j

    Msaada gharama za kuunga umeme

    Naomba mwenye kujua gharama za kuunganisha umeme..plus one nguzo
Back
Top Bottom