Search results

  1. mchemsho

    2022 Qatar World Cup gone crazy! Wanaodhaniwa kushinda hawashindi, wanaodhaniwa kushindwa wanashinda!

    Wanaodhaniwa kushinda hawashindi wanaodhaniwa kushindwa wanashinda! He nchi za kiarabu na pacific (Japan) confidence imeongezeka coz psychologically wanachikulia Qatar as home ground? Just got the feeling will Arabs countries take Budweiser all beer stock should they win world cup? 2022 Qatar...
  2. mchemsho

    FUN Game.Uzi wa kuunganisha majina tuone yapi yanaleta maana au kuchekesha.

    Kwa mfano Mimi muanzisha Uzi mchangiaji wa kwanza atakayeni"quote" mchangiaji wa pili atatakiwa ku comment Kwa kuunganisha jina langu na la Yule mchangiaji wa Kwanza, and the game continues, let's go..
  3. mchemsho

    Mada Maalumu ya Afya ya Akili

    Wakuu, Tukubali tukatae kwa sasa kumekuwa na matukio mengi ambayo sio ya kawaida Kama vile Kuuwana, kufanya vituko vya kujiaibisha na mhusika akaona ni sawa nk nk. Ukisoma machapisho kadha wa kadha mambo haya yakekuwa yakihusishwa na janga la Afya ya Akili. (mental health). Kwa bahati mbaya...
  4. mchemsho

    Tujikumbushe Teknolojia au Apps zilizokuja kwa Fujo na kufa Kibudu

    Heshima kwenu wakuu, Leo nimekumbuka jinsi Selfie Stick ilivyokuwa gumzo mjini. Slay queens na Ma brazamen ilikuwa kila weekend au kwenye event Full kukenua. Now it's gone unaonekana wakuja ulitumia hayo madude eti kushikilia simu ili kujipiga selfie. Je mdau unakumbuka Teknolojia ipi au App...
  5. mchemsho

    Screen shots. Share yours let's have fun 😂

    Na mimi nimejaribu kuanzisha endless thread. Here we go. Karibuni. 👇🏽Is my current screenshot
  6. mchemsho

    Kala Jeremiah - Sasa nimekuelewa.

    NISAMEHE: AMERICA:
  7. mchemsho

    Wadaslam buana

    Watu waishio dar huwa wananifurahisha sana sometime, tukiwa mikoan kwetu wanakuwa wakarim sana, mara utackia karib sana dar bwana, ukija usiondoke bila kunitafuta uje upaone hta ninapoishi ndugu yko, yaan wana maneno mengi htarii. Sasa ukifika mwenyew labda ulikuwa na mishe zako zimekamilika...
  8. mchemsho

    Ni MBEYA TENAA

    Tumeshakubali hamna mpinzani tenaa, inatosha basiii
  9. mchemsho

    Kujiuzulu wabunge; Mshindi wa pili awe mrithi wa aliyejiuzulu

    Ni mawazo binafsi. Kutokana na wimbi la wabunge kujiuzulu na hivyo kulazimika Tume ya Uchaguzi kuitisha uchaguzi mdogo, ambapo inakadiriwa kwamba ni gharama kubwa kurudia uchaguzi jimbo moja. Binafsi niishauri tume ya taifa ya uchaguzi (NEC) kuweka sheria kwamba, ikitokea Mbunge/Diwani wa...
  10. mchemsho

    Ikulu ya Marekani na jengo la Capitol hill yafungwa kwa tishio la shambulio

    [http://edition.cnn.com/2016/03/28/politics/u-s-capitol-and-white-house-on-lockdown/index.html]
  11. mchemsho

    Hii ni hatari: 80% ya solar panel za Kariakoo ni feki?

    Nimepata mshtuko mkubwa na mshangao kwenye "Zaidi ya habari ya Channel 10" Ambapo leo maafisa waandamizi wa shirika la viwango TBS wamevamia kariakoo.Kuna solar panel unaambiwa imeandikwa kwa mfano wats 20 kumbe ni nusu ya uwezo wake, mbaya zaidi unaambiwa siku hizi wachina wanazifyatulia hapo...
  12. mchemsho

    Kwanini Lowassa atashinda Uchaguzi Mkuu wa Oct 25

    Kilichotokea na kushuhudiwa kwenye kampeni ya leo viwanja vya Gymkhana Bukoba, naamini CCM leo hawalali usingizi..lazima wamechanganyikiwa. Kama ilivyotarajiwa umati ulojitokeza kupindukia ulikuwa gumzo..hakukuwa na malori, ma bus wala hakuna aliyeletwa kwa shuruti kuhudhuria mkutano...
  13. mchemsho

    Tatizo la kuona usiku

    Nimekuwa napata shida sana wakati wa usiku ninapokuwa naendesha gari barabarani, yaani nikipigwa taa na gari mbili tu basi naona maluweluwe tu, nalazimika kuwasha full light hadi mjini hivyo kuwa kero kwa watumiaji wengine wa barabara. Imefikia hatua nachukia kabisa kuendesha usiku. Je kuna...
  14. mchemsho

    Wasanii wa Bongo fleva waliotangulia mbele ya haki (R.I.P)

    Nilikuwa nasikia wimbo wa umri wa TMK Wanaume Family nikamsikia the late YP akichana ndio nikaanza kuwakumbuka majembe ya bongo fleva ambao hawapo tena hapa duniani. Nimemkumbuka Geez Mabovu, Nimem miss Ngwair a.k.a Mimi, hasa kibao chake cha 'wikendi', ''kama wikend ndo tayari ishafika, watu...
  15. mchemsho

    Je uhalifu ukionekana kukubalika na kupendwa na wengi unakuwa 'legal'?

    Kama kuna kasumba ambayo ni pendwa kwa watanzania wengi ni kusogeza mbele miaka ya kuzaliwa na hivyo kupunguza umri halisi. Ni bahati mbaya sana mfumo wa tanzania unatawaliwa sana na rushwa, hata unapoandaliwa document kama cheti cha kuzaliwa au kadi ya mpiga kura ni wewe ndio unajichagulia...
  16. mchemsho

    Kwanini alama ya kopa ndiyo inayichukuliwa kama alama ya mapenzi?

    Kwanini sio alama ya mavi ya mbuzi, kisu au jembe? na je nchi zote duniani alama ya kopa ina maana iyo hiyo ya mahaba? i am so curious to know.
  17. mchemsho

    Serengeti Fiesta na Majanga waendako

    Hii coincidence imekaaje, fiesta ilienda Musoma siku moja kabla ikatokea ajali kubwa sana iliyogharimu maisha ya watu40, zamu hii wanaenda geita majanga tena, majambazi yakavamia kituo cha polisi yakawaua askari wawili na kupora silaha, pia kuna familia moja imepata msiba mkubwa baada ya nyumba...
  18. mchemsho

    Facebook ni kwa ajili ya wanaume tu?

    Utakuta hata mdada/female akiupdate status yake au aki change profile utaona...so and so updated HIS profile au dash dash changed HIS profile. Swali langu ni je Facebook wameshindwa kabisa kutofautisha nale and female? au females hawatakiwi kuwa na FB account?!!
  19. mchemsho

    BREAKING NEWS: Di Maria retires from UEFA CL competition

    alithibitisha hayo jana baada ya kuamua kusaini mkataba wa kujinga na Man Utd... teh teh Mwanitesa United lol
  20. mchemsho

    Shule ya Kigoma Sekondary yafungwa

    Kuna taarifa kutoka Kigoma kwamba shule maarufu ya Kigoma sekondary imefungwa kwa muda usiojulikana na wanafunzi wote wamerudishwa nyumbani kwa muda usiojulikana. Inasemekana sababu ya mgomo ni wanafunzi kupinga kutoruhusiwa kusoma preparation baada ya saa 5 usiku ambapo umeme huzimwa. Sababu...
Back
Top Bottom