BREAKING NEWS: Di Maria retires from UEFA CL competition

mchemsho

JF-Expert Member
Jun 8, 2011
3,212
867
alithibitisha hayo jana baada ya kuamua kusaini mkataba wa kujinga na Man Utd...
teh teh Mwanitesa United lol
 
teh tehe mwanzoni nilishangaa yani Di Maria kustaafu champions league mbona bado sana.. ila kwa kujiunga na man U nikagundua sababu Ha ha ha poor man U.. (samahani lakini)
 
kaka kujiunga na MAN U - in other words ni sawa na kustaafu soka la Club Bingwa Ulaya. teh teh teh

Jamaa mwenyewe aliyejitoa mhanga huo - huyu hapa!!

i
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom