Mimi nikiwa advance wakati wa inspection ikakamatwa picha kwenye picha nilionekana nimeshika simu sasa descpline master alitaka hiyo simu niligoma sana nikaoigwa pendi week 3 ile narudi wakasema bila simu nirudi home nilikasirika nikawajibu labda nirudi home mwalimu nikawanunulie simu wakasema...
Kuhusu admission letter msiogope nimeongea na waziri mkuu wa college frani alilifikisha hilo na kasema kulikuwa na changamoto kwenye system yao hivyo kasema soon zitakuwa tayari
Jamani napenda kuwauliza kuhusu kutumia CPU moja kwenye monitors tofauti ili kila moja ili kila client aweze ku access services mbalimbali make hapa nipo hapa nataka kufungua internet cafe msaada jamani
Yaaaani hawa polisi kinachowafanya waendelee kulinda upuuzi ni hizo sare yaani sare kisaikolojia inakufanya ujione upo sawa tu maswala ya jezi mabaya sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.