Kuna Startups nafanya nazo, naona they don't need funding for now but CEO keep talking about fund, fund, fund. Overfunding is business killer. Ukiwa na fund nyingi ambazo kampuni haihitaji ni rahisi sana kumisallocate those funds u will be buying what you don't need because you have purchasing...
Umeongea ukweli kabisa, references zipo, Sendy ya Kenya scaling too fast and failed. Dash ya Ghana too much money $86+M and failed. So startups wengi sana huwa hawajui kama kuna muda hawahitaji fund bali wanahitaji kujistablize ili wawe prepared na wawe na real need of fund to scale out...
Binadamu ana pande mbili za maisha binafsi na maisha ya kibiashara, tukiangalia mtu kwnye personal life kwasabb haituhusu watu wa nje tutaona weakness nyingi sana lkn ndo maisha naamini atawew side ya pekeako una mambo yako ambayo watu wakiyaona ni aibu so ni kawaida tu. Kwenye upande wa...
Fanya uchunguzi wa kutosha juu ya bidhaa unayouza, ubora wake, muhimu zaidi wajue wateja wako ni wakina nani na hali zao za vipato zikoje. Mfno unaweza kuwa unauza mafuta mazuri sana ya nywele na yanamatokeo mazuri sana na target ni wadada ukienda fungua hii duka kijijini kweli kuna wadada...
Ciao famiglia, come stai?
Leo tuongelee kidogo kuhusu business diversification. Ulimwengu wa sasa katika ushindani wa biashara, diversification ni key mojawapo ya kukufanya uendelee kukua zaidi na kuwa imara sokoni. Diversification ni pamoja na kuongeza wigo wa biashara kwa kuIntroduce bidhaa...
Kila biashara ni nzuri ukiambiwa, lakini ukishaanza ndo utajua ipi kweli ipi sio kweli. Cha muhimu, biashara yoyote ambayo utaichagua hakikisha unaielewa Value Chain yake vizuri then hapo unaweza kujua faida utapata vipi kwa kushika wapi lakini usisahau, biashara ni ngumu sana tofauti na maneno...
1. Fanya kitu ambacho una ujuzi nacho ili kuepuka kujaribu.
2. Biashara huwa inachukua muda mpaka kuanza kuona faida.
3. Ijue biashara unayotaka kuifanya nje ndani ili iwe rahisi kufanya
YOU ARE RESPONSIBLE FOR YOUR LIFE 100%
kitu ambacho nimewahi kujifunza in a hard way ni kwamba, no one is going to save you. Binafsi, kama umeamua hivyo ni sawa lakini zingatia yafuatayo 1. Its okay to take risk but calculated risk 2. Work smart sana, kusanya informations za kutosha ili...
Yaah, utaskia Sky isnt the limit[emoji23][emoji23][emoji23] wakina nanananiaje. Actually their business is selling words huo ndo upande wao wa Entrepreneurship but personally mtu ambae anarun business real akiweka fee nilipie kumsklza i will sio hawa ambao hawajawah kuuza ata pipi.
You don't...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.