chatGPT, Bard etc. Competitor (Grok) xAi

MrProsecutor

JF-Expert Member
Jun 12, 2017
281
274
Elon Musk ameachia kitu chenye real time info zikitoka direct from X (FKA Twitter).

What is your views?
IMG_20231105_155621.jpg
IMG_20231105_155655.jpg
 
Ila k Ina nguvu acha kabisa, jamaa na akili zote na mapesa yote niliona screenshot zake anachat na amber heard mpaka nikashangaa, jamaa anabembeleza balaa afu Dem anamjibu kunya kunya tu...
 
Ila k Ina nguvu acha kabisa, jamaa na akili zote na mapesa yote niliona screenshot zake anachat na amber heard mpaka nikashangaa, jamaa anabembeleza balaa afu Dem anamjibu kunya kunya tu...
Binadamu ana pande mbili za maisha binafsi na maisha ya kibiashara, tukiangalia mtu kwnye personal life kwasabb haituhusu watu wa nje tutaona weakness nyingi sana lkn ndo maisha naamini atawew side ya pekeako una mambo yako ambayo watu wakiyaona ni aibu so ni kawaida tu. Kwenye upande wa biashara ndo main focus, lets talk about his Business not his personal life because mpenzi wake hana uhusiano wowote na Grok.
 
Duuuh, alisema teknolojia itachikua nafasi za ajira.

Sasa ona computer imeanza kuwa na umbea wa siku 😄😄😄...wadada kazi mnayo ya kusutana na machine 😅😅
 
Back
Top Bottom