Search results

  1. M

    Choosing wisely

    Relationships are one thing that can mess up your life. Be careful. Pray and be sensible when falling in love. Love can turn a bright future into a miserable life. It's painful to know that the person you love is actually in love with someone else It's even more painful to fall in love with a...
  2. M

    Ulishawahi kumkataa Mwanamke?

    Habari huu uzi unaweza kuwa muendelezo kama uzi wa Riki boy kula Kimasihara maana kila siku tunakutana na manzi. Katika harakati za kuangalia warembo nikaingia dating site moja. Basi kuna manzi nikamtumia hi message. Duh manzi bila kupoteza muda akatuma namba bila kuomba. Mwana nikasave...
  3. M

    7 things that happen when you're too nice!

    1. You attract the wrong people. When you're too nice, you will start to attract people who are needy, overly emotional, or manipulative. They know that you're easy to take advantage of, so they will use your kindness against you. 2. People will view you as a pushover. If you're always saying...
  4. M

    I dedicated my Monday to read this beautiful story

    My wife is a CEO, she always hates me for being lazy and wants to divorce me. But she doesn't know that her success is bestowed by me. “Dustin, here is the divorce agreement prepared by Ms. Nicholson. All you need to do is sign them.” In the president’s office of the Quine Group, the...
  5. M

    Why does your ex who loved you so much, hate you after breaking up?

    Because they had expectations that you were their answer to their pain and problems but probably never told you that, or how to support them in their healing journey to love- so you were doomed. Most people expect others to replace their pain instead of realizing we are the only ones who can...
  6. M

    Elon Musk na Katenela wake

    Habari ! Elon Musk ameamuka kutumia Artificial intelligence kujitengenezea mke wake. Hapa ndo tunasema anajitengenezea wa kufanana naye. Maana user requirement zote anazoitaji Yeye. Sijui Kwa Nini jamaa kawaza Ili, Artificial intelligence noma akili zaidi ya binadamu wa kawaida
  7. M

    Ukiona ndoa imesimama ujue mwanaume amekubali kuwa kondoo wa kafara

    Habari za humu! Najua Kila mtu ana mtazamo wake hivyo tunaleta hoja Ili kijadilo mwishoni tujifunze kitu. Katika pita pita za maisha nimejadilibu kuangalia baadhi ya sample za ndoa za watu. Nimeona asilimia kubwa ya wanaume ambao hawapo tayari kuendeshwa na wanawake wengi ndoa zao zimekufa. Kwa...
  8. M

    Money can't buy happiness!

    Steve Jobs died a billionaire at the age of 56 from pancreatic cancer. [https://qph] His last words on his deathbed: "I have reached the pinnacle of success in business. In the eyes of others, my life is the epitome of success. However, apart from work, I have little joy. In the end, wealth...
  9. M

    Kwanini Wanawake wenye Mizigo hawatoboi?

    Habari za Sikukuu! Niende kwenye maada, katika pita pita zangu nimegundua wanaume wengi wanapenda Wadada wenye Mizigo. Tena wkt mwingine hata wakipita barabarani wanyabi wanashusha vioo Ili kuangalia Kwa uzuri. Sasa najiuliza Kwa Nini mizigo Yako haiwafanyi watoboe kimaisha maana wengi...
  10. M

    14 rules for men

    Never go back to the woman who cheated. 2. Never let a woman disrespect you. 3. Never shake a hand sitting down. 4. Never go broke to impress others. 5. Never eat the last piece of something you didn't buy. 6. Always have the ambition to be better. 7. Protect who is behind you, and respect...
  11. M

    Naomba tujifunze hapa

    Habari za humu. Ukweli tuongee Ili mambo yakawe sawa. Mwanamke anaendeshwa na emotion Kwa Kiswahili hisia. Hila wanaume wapo in thinking capacity. Kila jambo wanaume wanafikiria na athari zake ziwe hasi au chanya. Sasa katika ulimwengu wa Sasa hutakiwi kufikiria zaidi. Hapo ndo tunaona...
  12. M

    Waislamu wako vizuri kwenye suala la ndoa

    Habari za humu! Naukubali sana utaratibu wa wenzetu wa dini tofauti. Kwao unaweza kuoa na kuingiza mke kwa 200k au hata 100k. Niliwahi kuwa mshenga, kuna dogo alitoa 50k akachukua mke mapema sana maana ilikuwa kipindi cha Ramadhani mwendo wa maandazi tu harusi imeisha. Nimeishi Kusini yaani...
  13. M

    Sio kama hawataki kuwa na wenza. Hawataki cheti.

    Habari wana JF Leo naomba kuongelea au kuliwekea ufafanuzi jambo moja ambalo limekuwa likielezwa vibaya au kimakosa na watu wengi wengine wakiwa ni viongozi hadi wa kiserikali. Suala hilo ni swala la je, ni ndoa kiserikali baada ya kuishi na mwanamke au mwanaume nyumba moja kama wapenzi? Hili...
  14. M

    What if I fall in love with someone else after I get married? What if my husband is not "the one"?

    I am going to let you and everyone else reading into a secret that only those who have been married for 50+ years know. Sit down as it is a blinder. Love is a choice. Fidelity is a choice. Marriage is a choice. Divorce is a choice. Its not about hearts and flowers, its not about frantic sex...
  15. M

    Mwanamke akifanya hivi unafukuza pasipo mijadala wala kuomba ushauri

    Mwanamke akifanya hivi unafukuza pasipo mijadala wala kuomba ushauri; 1. Akiku-cheat. 2. Akiwa mshirikina au mchawi. 3. Akikunyima unyumba bila sababu ya msingi au anakupa kadiri anavyojisikia. Mwanamke lazima aelewe kuwa wewe sio mtoto mdogo. Aelewe kuwa wewe ni mume na mwanaume. Unapofukuza...
  16. M

    Kwanini penzi likiwa jipya linanoga mno?

    Wasalamu wajameni! Maisha ni Raha sana Endapo utaishi bila ya stress. Mnamo Augost 2022 niliopata baby mama mpya, yaani penzi lilikuwa la kunoga mno. Tunaweza kuongea na simu usiku kucha mpaka panapambazuka. Kuna siku tuliongea kuanzia saa 3 usiku mpaka saa Moja asubuhi. Uzuri nimejiajiri hivyo...
  17. M

    Nimeanza mwaka kwa kupiga simu ya ma X!

    Habari, Kuna namba za ma x nimepotezana nao kitambo. Nikaamua mwaka huu namba ambazo hazina umuhimu ni kbra kupunguza storage. Nikaanza kuzipiga, yaani kumbe bado hawajanifuta; zaidi wameniambia tutafutane. Naogopa maana ni muda mno umepita sana na sasa kudanga ndo habari ya mjini. Vipi wewe...
  18. M

    Moja ya sababu wanaume wanafanya ukatili dhidi ya wanawake

    Habari ya jioni. Namshukuru Mungu Kwa kunipa ujasiri na uvumilivu Kwa kipindi chote Cha maisha yangu. Nilifanya maamuzi ya kuoa since 2005 na kubahatika kupata watoto wa kiume wawili. Mnamo 2018 nilitengana na mke wangu baada ya kugundua ana mahusiano na mwanaume mwingine. Nikaondoka na kwenda...
  19. M

    Mahakama za bongo shida mno!

    Nimeanza kesi ya talaka tokea 2018. District court wakafanya hukumu ikaisha. Mwenzangu akakata rufaa high court. Huku ndiyo shida kesi imekaa kama vile inasikilizwa upya kiasi mpaka mwanamke wangu mpya hadi akaaga dunia bila ndoa mpya. Sasa nina mtarajiwa mpya likesi haliishi. Nimechoka na...
  20. M

    Majaribu tumeumbiwa wanadamu

    Habari Wana wa JF... Mimi ni muhanga wa kutalakina. Kesi yangu ya talaka ilifunguliwa tokea 2018 mpk Leo Bado haijaisha. Ilianzia primary court mpk Sasa ipo high court tusijadili maana ndo mambo ya kisheria yaache tu Sheria uchukue mkondo wake. Ipo hivi baada ya kutengana na X wangu nikapata...
Back
Top Bottom