Search results

  1. ubongokid

    Wakuu hata kazi ya bure hamna?

    Mkuu Upo Serious Nikupe KAZI ya BURE?
  2. ubongokid

    Niliyoyaona leo nilipokwenda kusambaza barua za internship

    Mkuu Usife Moyo.Bado nafasi Unayo
  3. ubongokid

    Ushauri wa Bure kwa Wadudu-Msitumike Bila Manufaa

    Hivi unaelewa Msingi wa Hoja?Any way Ndivyo Watanzania Tulivyo.Ni vigumu Sana Kulitazama Suala Kwa Objectivity.Sio Kosa lako...
  4. ubongokid

    Ushauri wa Bure kwa Wadudu-Msitumike Bila Manufaa

    Mkuu,Nimekujiabu kwa sababu nina mudi nzuri ila ulivomalizia na neno Pumbavu Umenikosea sana.Kwanza kabisa Soma uelewe Msingi wa Hoja na Ushauri wangu kisha uchangie katika Msingi wa Hoja.Sidhani kama kuna ambacho nimekisema ambacho kinastahili wewe kusema Pumbavu. All in All ni ushauri tu...
  5. ubongokid

    EWURA imetangaza bei mpya za Mafuta, yamepanda bei tena

    Vitz sio GARI Mkuu,Hicho ni Kiti kinachotembea.We umewahi kuona VITZ Barabarani?Si kama Kigoda tu?
  6. ubongokid

    EWURA imetangaza bei mpya za Mafuta, yamepanda bei tena

    Kumbe uko Rashia bwana ambako lita ya BIA ni jero.Sasa unafurahia Ma V8 yetu tukiyapaki?Uchawi huo sasa Bei ya Lita ya Bia ikifika laki tutafanyaje?
  7. ubongokid

    Ushauri wa Bure kwa Wadudu-Msitumike Bila Manufaa

    Sio kwa Arusha Aisee.Watu wa Arusha Wana Tabia moja mbaya sana.Ukiwazingua wanakuzingua
  8. ubongokid

    EWURA imetangaza bei mpya za Mafuta, yamepanda bei tena

    Mkuu Kuwa makini na kile unachokitamani.Lita Moja ya Biani zaidi ya 4000 ila Bei ya Mafuta inapswa kuangaliwa kwa makini sana.Ikiendelea Kupanda Bei ya Lita ya Bei itafika Milioni
  9. ubongokid

    Ushauri wa Bure kwa Wadudu-Msitumike Bila Manufaa

    Exactly,Niemona Hilo Ndio maana nimetoa Ushauri kwao Kwamba SASA walazimishe Kutambulika kama Kikundi Maalum Cha kijamii chenye Maslahi Sahihi
  10. ubongokid

    Ushauri wa Bure kwa Wadudu-Msitumike Bila Manufaa

    Habari za wakti huu; Kwanza niweke wazi kwamba Mimi Nimekulia Arusha. Ninafahamu Fursa na Changamoto zilizoko Katika Mkoa wa Arusha na Ninatambua tabia na Hulka za Vijana wa Arusha.Kimsingi katika Mikoa Yote Tanzania Ukiondoa Wamasai Vijana wa Arusha ndio Jamii Pekee ambayo imeweza kutengeneza...
  11. ubongokid

    Sitasahau siku pombe zilitaka kunitoa roho

    Simulizi yako imenivutia sana. Pombe ni Hadithi nyingine. Kuna wale wakina SISI ambao Hiyo imekuwa ni kawaida ya maisha na mpambano wetu ni kutaka kuachana na hayo maisha.Ila Tutafika TU.
  12. ubongokid

    Safari ya Majaribio ya Treni ya SGR na Viongozi wa Dini kutoka Dar es Salaam - Dodoma kwenye Dua na Maombi ya Kitaifa

    Tutarajie Mengi Hasa ukizingatia wamechanganywa wanafiki kadhaa
  13. ubongokid

    CRDB Bank na makato ya matumizi ya kadi za ATM

    Kwanza akaunti yako ni ya aina gani,Inacashflow kiasi gani,Una Hela?Maana wakati mwingine kulalamika kwa ajili ya 17000 kunaweza kuwa nako ndio chanzo cha matatizo.Wanaocha Ela zao Benki zikatwe ni wale wenye Bili kadhaa.Ila kama hela yako ya Mawazo we Tumia Tigo PESA,MPESA AIRTEL MONEY Kuweka...
  14. ubongokid

    Makonda acha Uongo, hukugombana na Wauza Unga, Uligombana na kila mtu

    Mkuu,Unaona SASA,Chawa wa Makonda ni nani?ni Mtu kama wewe ambaye unajificha nyuma ya Keyboard kusema maneno lukuki ambayo huna ujasiri wa kuyasema Wazi.Namkumbuka SANA Ben Saa nane.Aliwahi sana kuiacha Chadema.Angeweza Kumjibu Makonda Live mbele ya Kamera sio ninyi ambao mnajificha nyuma ya...
  15. ubongokid

    Nagombea Udiwani 2025

    Hana Chuki Bwana.Ana mtazamo Potofu tu.We unafikiri mambo ambayo yanafanywa na Wana CCM kwa sasa na huko nyuma lazima uone kabisa kuna UFISADI ndani ya CCM ila unaweza kukuta huyu ana KADI ya CCM.Kwa siasa za BONGO hakuna sehemu ambayo kuna uzalendo hata wa uongo.iwe CHADEMA,IWE CCM,IWE ACT au...
  16. ubongokid

    Makonda acha Uongo, hukugombana na Wauza Unga, Uligombana na kila mtu

    Bwana we,Makonda kama kweli unahitaji Kupambana naye Kwa maneno lazima uwe naye Ground Zero na uende naye Bampa tu Bampa.Kupambana na Makonda nyuma ya Keyboard hakuna anayemuweze kwa Tabia zenu za Kinafiki na uoga. In short Bada hakuna anayeweza kudeal na Makonda na Akamnyamazisha.Hata Magufuli...
Back
Top Bottom