Search results

  1. rosemarie

    Ni nini kimempata Askofu Gwajima?

    tunaangalia live on youtube askofu Gwajima anahubiri nashangaa sana Askofu anahubiri kwa upole sana,kwa uangalifu sana,je Askofu ni mgonjwa??? nafikri Gwajima ana matatizo kutokana na uwezo wangu wa kuangalia mambo na huko ccm alifata nini?alikuwa mwanaharakati wakati wa Dr Slaa aliifata ccm ili...
  2. rosemarie

    Ushindi wa UPDP Zambia wachina wana hali mbaya

    ukipita barabara ya Tunduma Nakonde kuelekea Lusaka utakutana na wachina waliojazana Zambia wakiishi kama raia wa kawaida opposition walisema watashughulika na hawa watu walioletwa na serikali ya PF. Africa tuna kazi sana kwa kweli
  3. rosemarie

    Rais Samia anajaribu kuendesha nchi kama Hayati Dkt. Magufuli?

    Habari za kukamatwa kwa Mwenyekiti wa Chadema Mbowe na watendaji wengine wa Chama huko Mwanza zinashangaza sana Watanzania wanajiuliza Rais Samia anajaribu kuiga au kumuiga Magufuli? Maswali yamekuwa mengi kwani hana leadership style ya kwake ya kufanya kazi? Kwani zile ahadi alizotoa za...
  4. rosemarie

    Kwanini aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri hashutumiwi?

    Naomba kujua siri ya huyu mtu aliyekuwa mkuu wa Mkoa Tabora. Mbona alikuwa tishio sana kutisha wananchi na kuongea hovyo lakini hashutumiwi kwa lolote? Huyu ni mtu wa aina gani?
  5. rosemarie

    Unabii wa Godbless Lema kwa Ole Sabaya umetimia?

    Lema: Acha kujipendekeza kwa kiwango cha kuumiza watu. Amri uliyopewa ya kucontrol Polisi na Bunduki, kuwa mstaarabu. Magufuli sio Mungu, haya unayofanya kuna siku you will pay. Acha mambo ya Kishamba, acha ulimbukeni. Acha kuumiza watu kwa Silaha, acha mambo ya kutekatwka watu kuchukua hela kwa...
  6. rosemarie

    Tukatae Wakenya kusafiria passport zetu nchi za SADC

    Ujinga mwingine huo, eti wakenya wapewe passport za Tanzania ili kuweza kusafiria nchi za SADC kirahisi. Tukatae kwa nguvu zote na kama Rais wetu akikubaliana na huo ujinga tuhakikishe tunakataa kwa nia moja na kwa umoja. Hiyo ni mojawapo ya ajenda zitakazojadiliwa na wafanyabiashara wa Kenya...
  7. rosemarie

    Tujikumbushe kauli za Nape-katibu mwenezi CCM

    Kuna rumors zinaendelea,Nape ana mpango wa kujiunga na Chadema, naomba sana viongozi wangu wa chama mkae chini na kutafakari sio kila mtu ni wa kupokelewa kwenye chama Nape na kundi lake,Makamba,Rizwan na wengine wamepiga hesabu zimekataa kabisa,nia na madhumuni yao ilikuwa waharibu legacy ya...
  8. rosemarie

    Mwanamke aliyekaa karibu na CAG, says it all!!

    Mimi sikuwa muumini wa Magufuli, lakini naomba kuwaeleza kwa body language ya mwanamke aliyekaa karibu na CAG inasema yote Ripoti ya CAG imejaa siri nzito na siku si nyingi tutaona kuna nini nyuma ya hii report Huyo mama aliyekaa karibu na msoma repoti simfahamu lakini hisia zangu zinaenda...
  9. rosemarie

    #COVID19 SA’s first COVID-19 vaccine shipment takes flight

    Nyie endeleeni kupiga ngonjera na Magufuli wenu wakati hata panadol mnasubiri mzungu awaletee,hivi wewe mwafrica utabisha mambo yaliyoamuliwa na wakubwa? Kwanza una nini cha kuonyesha mkononi,hivi duniani hapa wewe mwafrica una faida gani au unafanya nini??kama ulikuwa huamini dawa ya corona...
  10. rosemarie

    Zimbabwe's Transport Minister Joel Biggie Matiza has died from Covid-19

    This was confirmed this Friday by government spokesperson Nick Mangwana. Matiza is said to have been hospitalised this past week. He is also former Mashonaland East governor and was current Zanu PF provincial chairperson. Matiza becomes the fourth serving government minister to die of the...
  11. rosemarie

    South African Government Minister Jackson Mthembu dies of Covid-19

    Minister in the Presidency Jackson Mthembu Minister in the Presidency Jackson Mthembu died of Covid-19-related complications on Thursday, just 10 days after testing positive for the disease. President Cyril Ramaphosa described him as "an exemplary leader, an activist and life-long champion of...
  12. rosemarie

    Mchungaji Kimaro analeta uamsho Lutheran, Kimara. TAG jichunguzeni sana

    Baada ya kumpokea Yesu kama bwana na Mwokozi wa maisha yangu fahamu zangu zilifunguliwa nikaanza kumjua Mungu na Maandiko matakatifu, nilikuwa nasali Kariakoo Lutheran na nilikuwa mwanakwaya. Jambo la kunishangaza nilichukuliwa na watu watatu wasioonekana mpaka mnazi mmoja EAGT. Ni ushuhuda...
  13. rosemarie

    Antony Lusekelo( Mzee wa Upako) alalamika kunyang'anywa kipindi chake Channel Ten

    ======= Mzee wa upako adai kwa miaka kumi na tano aliyokuwa na kipindi cha Tutashinda Channel Ten amedai amepata mafanikio makubwa kama watu kuponywa kiroho, magonjwa na mafanikio mengine mengi. Lakini pia amedai amepata changamoto niyingi ambazo ziliweza kugharimu maisha yake, watoto wake...
  14. rosemarie

    HALIMA MDEE bado anastahili kupewa heshima kwa yote aliyofanya

    Kwa mara ya kwanza tangu kuisha uchaguzi mwezi uliopita nilipatwa na mshtuko mkubwa sana kusikia Halima pamoja na wenzake wametusaliti lakini nimetafakari sana na nikaja na uamuzi wangu binafsi,pamoja na yote hayo lakini bado Halima ni bonge la mwanamke shupavu sana ambaye wengi tumeshindwa...
  15. rosemarie

    Wana CCM wanakwama wapi kwenye kujenga hoja!

    Polisi mali yao,Nchi mali yao,kila kitu mali yao,lakini mbona wamekwama kwenye kujenga hoja??? mbona mambo muhimu yakijadiliwa wanakuwa na jazba??? hawa watu wanakwama wapi? hawa
  16. rosemarie

    Bilioni 550 ndiyo msaada wa EU kwenye bajeti ya Tanzania kwa mwaka!

    Investment kutoka Eoropean Union to Tanzania kwa mwaka ni US1BIL to US2BIL, hiyo inaitwa DFI. Direct Finance Investment ni sawa na SH 5T Canada ni US700M sawa na SH 1.7T US ni US1.5BIL Tanzania GDP NI US58BIL ni sawa na SH 1.3T sasa mnaringa nini hapa lazima mpige magoti!!!sio kila jambo...
  17. rosemarie

    Statement from the U.S. Embassy on Tanzania’s Upcoming Elections

    The conduct of the upcoming elections in Tanzania has important consequences not only for Tanzania, but for the entire East African region. Tanzania’s history of peaceful multi-party elections stretching back 25 years has made it a model on the continent. The United States government reaffirms...
  18. rosemarie

    Kusubiri 2025 ni kujifariji na kupoteza muda

    Nimeangalia media za kimataifa kuona kama wapo aware na kinachoendelea tanzania sijaona hata mmoja akitangaza, Watanzania wote mlioamua kufanya kazi za siasa za upinzani ni wakati wenu kuonyesha njia ili tuweze kuionyesha dunia kuna nchi inaitwa Tanzania kusubiri na kuridhika na mambo...
  19. rosemarie

    Hata kama Lissu atatolewa kwenye kugombea,message delivered!

    naona ccm na washarika wake tume ya uchaguzi na polisi wanahangaika sana kumzima lissu au ikiwezekana kumuengua asiendelee wala asiwe mgombea tena, neno moja tu kwenu ccm na magufuli na washarika wenu wote hata kama mkimtoa asigombee tena message delivered watanzania hawaitaki tena ccm hata kama...
Back
Top Bottom