Wamchague gwiji atakayenogesha ushindani na CCM.
Mgombea mwenza awe Fatma Karume
Waziri Mkuu - Zitto Kabwe
Waziri wa Sheria na Katiba - Tundu Lissu
Waziri wa Maliasili -- Mch Msigwa
Waziri wa Elimu - James Mbatia
Nk
Kambarage aliona mbali,akasema mabadiliko yatatoka ndani ya chama tawala.Kwasababu aliye ndani anayajua vyema ya ndani hivyo akitoka nje akachanganya na ya wengine ndiyo tunaweza kuona mabadiliko Makubwa
Na pia nyuma yake ana watu wengi ndani na nje ya chama tawala.
Na pia alikuwa ameshajipanga...
cost of capitalThe opportunity cost of an investment; that is, the rate of return that a company would otherwise be able to earn at the same risk level as the investment that has been selected. For example, when an investor purchases stock in a company, he/she expects to see a return on that...
Term of the Day
functional currencyCurrency of the country (called the 'primary environment' ) in which a firm a conducts its business activities and generates most or all of its income and expenses. It may or may not be the currency in which it presents its financial statements, which is called...
Currency of the country (called the 'primary environment' ) in which a firm a conducts its business activities and generates most or all of its income and expenses. It may or may not be the currency in which it presents its financial statements, which is called reporting currency or presentation...
Kwanini ccm inakataa kujadili mambo ya msingi na haki badala yake wanakimbilia mahakamani?kuna masuala mengi sana hayajajibiwa au kupatiwa ufumbuzi,mfano richmond,deep green,watu waliofukiwa bulyahulu,ajali za meli.migomo ya wafunzi na wafanyakazi.lakini wajue upo mwisho wa kilakitu na kila jambo
Mpaka leo tanzania haina kikosi maalumu cha ukozi wa dharura aidha cha nchi kavu ,majini au angani.mfano jana giza lilipo ingia shughuli za uokozi zikasitishwa,je mtu gani atahimili kukaa majini akisubiri kuokolewa mpaka asubuhi,yaani baada ya
masaa 24.udhaifu...
Term of the Day
equityOwnership interest in a corporation in the form of common stock or preferred stock. It also refers to total assets minus total liabilities, in which case it is also referred to as shareholder's equity or net worth or book value. In real estate, it is the difference between...
Kwa masikitiko makubwa naomba kuungana na madaktari waliofukuzwa kulaani baadhi ya viongozi wa serikali /serikali ambao/ambayo kwao migomo na utafutaji wa haki za msingi ni dhambi au kosa la jinai .ninachoweza kuwashauri madakitari wote ni kuungana kwa pamoja kudai haki zao na za watanzania...
What about the bad things that happen to us? Are we calling them forward to? And if so, how? If so, why? Well, the short answer is, we dont mean to. But yes we are doing it, individually as well as collectively.
I know that may sound crazy to so me of you. After all, what kind of idiot would...
Migomo yote huwa ni kutafuta haki inayofichwa,kandamizwa,cheleweshwa,potezwa.ni njia kubwa kuonyesha walio wengi urahisi wa kutafuta na kufichua haki,kwa harakaharaka wengi wanaweza kufikiria mengi ingawa ukweli watanzania wengi wanaumia kwa haya yatokanayo na migomo.lakini ndio mtaji wa kudai...
Wanafunzi wamekuwa wakigoma kuonyesha udhalimu wa serikali na viongozi wake.sasa nimefurahi kuona hata jumuiya ya wafanyakazi waajiriwa wamelianzisha .huu ndo mwanzo wa mwisho wa umasikini wa kimawazo ya woga.asanteni sana mdakitari wengine mnaogopa nini?
Kwa muda mrefu sasa nimeshuhudia wanachama wa ccm walio wazalendo wanaokerwa na ufisadi, uongozi usio bora, maisha duni ,elimu duni, huduma duni za afya, uchezeaji rasilimali za nchi na mengi mengineyo mengi.wapo walithubutu hata kuanzisha chama.
Ninachojiuliza ni kwanini hasa huo uzalendo wa...
Hata hivyo mchukueni mkamsulubu kama nyie mwaona mtakuwa mmetimiza yanayopasa.mie sio mwanachama wa chama chochote na sidhani kama naweza kula rushwa kutoka kwa yeyote. Ila kama baba wa taifa angekuwepo angestaajabu kwa maneno yangu haya.
Nimewatizama viongozi waliopo sasa hapo kwenye ccm...
WAKATI WENZETU WAMEANZA KUTENGENEZA SKYSCRAPPERS AMBAZO ZITAKUWA NA ROBOTS SISI BADO KUTOKA POSTA KWENDA UBUNGO INACHUKUA MASAA 3.HIVI KUNA SIKU ATOKEA MTUME AIKOMBOEE NCHI HII.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.