Search results

  1. Night Watch

    Hivi Mashabiki wa Ligi ya Ujerumani (BUNDESLIGA) wataacha lini kutokuwa wastaarabu

    Hivi ligi ya Ujerumani wataacha lini kutokuwa wastaarabu,mechi ya Borrusia Dortmund dhidi ya Freiburg imesimama kwa muda kisa vurugu za mashabiki kurusha vitu kwenye pitch.
  2. Night Watch

    Uchawa na ustawi wa taifa letu

    Nawasalimu wana jukwaa. Kwa siku za hivi karibuni hapa nchini Tanzania kumeshamiri au kuzuka mtindo maarufu wa watu kujiita machawa. Vijana hawa shughuli yao kubwa imekuwa kuwasifia watu wakubwa kwa lengo la kujipatia kipato na manufaa kadhaa,cha kusikitisha zaidi vyombo vya habari vimekuwa...
  3. Night Watch

    Diwani Athumani Msuya atenguliwa Ikulu

    Diwani Athman atenguliwa ikulu. ========= Rais Samia ametengua uteuzi wa Kamishna Diwani Athumani Msuya kuwa katibu Mkuu Ikulu Aidha, Rais Samia amemteua Bw. Mululi Majula Mahendeka kuwa Katibu Mkuu Ikulu.
  4. Night Watch

    Msaada kuhusu allocation ya Loan Board

    Habari zenu wakuu, Nilikuwa naomba ufafanuzi kidogo kwa jambo fulani linalonikabili.Mimi ni mwanafunz wa chuo nimeingia kwenye allocation yangu lkn hapo kwenye returned amount ndo inanichanganya kwa anaefahamu maana sijawah kukosa kusain boom, wala ada na zote nishasain na nikapewa. Lakini...
  5. Night Watch

    MSAADA

    Kwa sisi ambao hatujachaguliwa udom ila tulituma maombi,je round hii ya pili kutuma maombi tunafanyaje mana ukiingia kwenye profile yako uanakuta wameandika your application is successfully submitted na inaonyesha round ya kwanza Je tunatakiwa kufanya nini ili tuweze kutuma maombi kwa ajili ya...
  6. Night Watch

    Msaada tafadhali kwa anayefahamu hili swala

    Naombeni kujuzwa kwa wale wanaofahamu hili tatizo,kwenye kufanya application za chuo inapofika sehemu ya kuweka namba ya mtihani form four na six inaandika no connection to necta try again later. Shida ni nini mana toka jana na hangaika ila hali ile ile. Msaada tafadhali kwa anayefahamu hili...
  7. Night Watch

    ARTECHTURE

    Habar za humu ndani wakuu.... hiv ukiambiwa kigezo cha kusoma bachelor ya artechture ( UDSM ) wameandka lazima uwe na "two principal pass in chemistry,biology,physics,geography,or fine arts.. ......ss swal langu linakuja hapo kwenye fine arts huwa inamaanisha nn??? .. Ni yapo hayo masomo...
  8. Night Watch

    UHAKIKI RITA

    Ningependa kufahamiswa kuhusu suala la uhakiki,kabla rita system haija collapse kuna wale ambao tulishahakiki na nakala zetu za vyeti tulipata. Je baada ya system yao kuharibika je na sisi tunatakiwa kuhakiki upya japokuwa nakala zetu tunazo. Nimejaribu kuwapigia rita lakini simu haipokelewi...
  9. Night Watch

    Mabwe Tumaini girls high shool

    Eid Mubarak wana jamiiforms wenzangu natumai tunaendelea kusherekea kwa amani sikukuu ya Eid. . . . Kuna binamu yangu amechaguliwa kwenda advance shule ya MABWE TUMAINI GIRLS ipo wilaya ya kinondoni mkoa wa Dar es salaam. Tatizo linakuja hii shule kila tunayemuuliza mahali ilipo haifahamu...
  10. Night Watch

    Msaada: Kufafanuliwa qualification za kusoma Bachelor of project planning and community planning inayotolewa UDOM

    Napenda kuwasalimu wanajukwaa,natumai tunaendelea vizuri katika shughuli za kulijenga taifa letu tukufu la Tanzania. Niende moja kwa moja kwenye swali,ningependa kufafanuliwa qualification za kusoma Bachelor of project planning and community planning inayotolewa UDOM. Qualifications...
  11. Night Watch

    Manchester united vs Young Africans.

    Mimi ni mmoja kati ya mashabiki lia lia wa man u na young africa,kwa yanga kila siku zinavyosonga timu inazidi kuwa mbovu kuliko jana.Sasa kwa wale mashabiki wenzangu wa yanga na man u dawa ni kuamishia ushabiki wote kwa united. Kwa maana hiyo yanga hakuna timu imebaki jina tu,kocha mwenyewe...
  12. Night Watch

    Naangalia mechi ya Maji maji vs Young Africans kinachoonekana sio ishara nzuri kwa wana Yanga

    Hii ni mechi ya mzunguko wa tatu baina ya majimaji vs yanga.Yanga ya msimu huu sijui kama tutoboa,mashabiki wa yanga popote mlipo tujiandae kisaikolojia.Timu inacheza utafikiri inashiriki ndondo cup,labda Ajibu anatufariji na ufundi anao onyesha. Kwa mtizamo wangu inaweza kuwa zamu yetu kuitwa...
  13. Night Watch

    Mapinduzi ya kidemokrasia kenya.

    Wasalaam wanajukwaa nadhani wote tu wazima na sikukuu ya eid imekuwa njema,ngoja niende kwenye mada...
  14. Night Watch

    Ushauri: Nikitaka kutongoza najiona nipo tabaka la chini, nasitisha

    Jamani wanabodi, Mimi nina tatizo moja, unakuta nimempenda msichana lakini nikitaka kumtongoza najikuta mimi mwenyewe kujiona niko tabaka la chini, na hivyo hupelekea kusitisha zoezi la kutaka kutongoza, hali hii imekuwa ikinisumbua mara kadhaa, je naweza kutoa fikra hizi akirini mwangu kwa...
Back
Top Bottom