Search results

  1. M

    CRDB Bank na bank nyingine igeni NMB Bank kwa hili

    Unapobadili sim card kwa ku swap inabidi kwa baadhi ya bank ikiwepo crdb bank kwenda kwenye tawi la bank husika na kujaza fomu ili ku activate huduma ya simbanking ambapo kwa bank ya NMB hali ni tofauti ambapo kazi hiyo unaweza kuifanya mwenyewe kupitia kwenye ATM za Bank ya NMB. Ninashauri bank...
  2. M

    Makanisa yafanye ibada siku ya Jumamosi tarehe 24 Oktoba badala ya 25 Oktoba

    Kutokana na uchaguzi mkuu wa Rais, Ubunge na Madiwani kutarajiwa kufanyika siku ya tarehe 25/10/2015 ambayo ni siku ya jumapili . Ni busara makanisa kama inawezekana wakubaliane kufanya ibada siku ya Jumamosi ya tarehe 24/10/2015 ili kuwapa waumini wao nafasi ya kupiga kura kwa ufasaha siku ya...
  3. M

    Mahujaji 130 wamefariki katika ibada ya Hijja

    Mahujaji 130 inadaiwa wamefariki katika ibada ya Hijja. Source Azam Two Habari imeandikwa katika maandishi yanayopita kwenye screen.
  4. M

    Mwenye ufahamu kuhusu organo gold atueleweshe

    Kuna biashara ambayo inaonekana kuwa ni mpya kwa kampuni moja inauza bidhaa kama vile kahawa, chocolate n.k ambapo ili kujiunga na biashara hiyo inadaiwa kwamba ili uwe member unatakiwa kutoa kiasi cha shilingi 2.8m na wewe unatakiwa kutafuta members wapya ili hatimaye uweze kupata fedha. Mwenye...
  5. M

    Ni kweli kuwa kila anayefariki anaacha pengo?

    Je ni sahihi kusema kuwa mtu anayefariki ameacha pengo? Naona ni kama vile tunamkufuru Mungu maana karibu kila anayefariki kwa mtazamo wangu ni kwamba amekamilisha jukumu/kusudi lake alilokusudiwa duniani.
  6. M

    Kumbikumbi uwa wanaishi wapi wakati wa jua?

    Hivi kumbikumbi uwa wanakuwa wapi wakati wa kipindi kisicho cha mvua? Maana wanaonekana mvua inaponyesha na isipokuwepo hawaonekani. Napenda kufahamu.
  7. M

    Museven : Makosa ya Rushwa yasiwe na dhamana.

    Rais Yoweri Museven wa Uganda anapendekeza watu wanaofikishwa Mahakamani kwa makosa ya rushwa wasipewe dhamana ili kukabiliana na vitendo vya rushwa. Je na sisi tunaweza kuiga hilo?.
  8. M

    Chuo cha ifm kuhamishiwa msata

    Chuo cha IFM kuhamishiwa Msata katika Mkoa wa Pwani baada ya kupatikana eneo la kujengea la hekari 1500. Waliozoea kufuata mabinti wa IFM itabidi kuwafungia safari hadi Msata ujenzi utakapokamilika. Source : habari ya saa 2 usiku TBC1.
  9. M

    Madhara ya mfumo wa dijitali katika ajira.

    Nini madhara ya mfumo wa dijitali katika ajira itakapofika Desemba 31 2012? Katika mikoa mbalimbali kuna TV za mikoa zinazomilikiwa na Halmashauri. Je zitaweza kuingia katika mfumo wa dijitali na kuweza kuonekana kwenye ving'amuzi au ndiyo itakuwa mwisho wao umefika na hivyo kujifia wenyewe?. Je...
  10. M

    Tunajifunza nini kutoka kwa wanasiasa wa vyama tofauti kuungana Kenya?

    Kuelekea uchaguzi mkuu wa Kenya tunaona wanasiasa maarufu wa Kenya na wanaotoka vyama tofauti wakiungana kwa ajili ya kugombea urais na wakikubaliana kabisa nani atakuwa mgombea urais na nani ni mgombea mwenza. Je kama Tanzania katiba mpya ikiruhusu hali hiyo tunaweza kuona CHADEMA na CUF...
  11. M

    Matumizi ya maneno "hayati" na "marehemu"

    Nini tofauti ya matumizi ya maneno hayati na marehemu na yanatakiwa kutumika wakati gani?
  12. M

    Vedasto msungu wa itv na habari za mazingira

    Hivi kuna mwandishi wa habari anayeripoti habari za mazingira zaidi ya VEDASTO MSUNGU? Kutokana na unyeti wa suala la mazingira nafikiri anapaswa kupewa motisha fulani.
  13. M

    Hili ni la kweli kuhusu wanawake wa kitanga?

    Nilikuta wanaume wanazungumza kwamba ukiwa Tanga na ukatongoza wanawake wa huko kama amekupenda au anataka kukulia hela, hata kama ameolewa atakwambia kwamba hajaolewa/hana mwanaume. Je kuna ukweli wowote katika hili?
  14. M

    Ni kweli Kakakuona anatabiri?

    Naona ameonekana DSM na anaoneshwa kwenye taarifa ya habari ya Clouds Tv. Kuna watu uwa wanaamini kwamba ana uwezo wa kutabiri je ni kweli ana uwezo huo?
  15. M

    Kova anajisiaje kuhusu mgomo wa waandishi wa habari.

    Sulemani Kova amezoea sana kuita waandishi wa habari na kutoa taarifa mbalimbali za kuhusu kukamatwa kwa majambazi na kuonesha silaha/bunduki zilizokamatwa. Kutokana na mgomo wa waandishi kuandika habari za Jeshi la Polisi, Kova atakuwa kwenye hali gani?
  16. M

    Spain na Italy live UBC.

    Naona wameamka tena leo mechi ipo hewani sasa hivi kupitia UBC.
  17. M

    www.cheaters.com

    Kuna kipindi kinaitwa cheaters uwa kinaoneshwa kwenye channel ya e.tv kuhusu watu wanaoiba/kusaliti ndoa zao au mahusiano ya kimapenzi. Wachunguzi wanafuatilia mwizi wako akiwa na mke/mme wako na kumrekodi kwenye video na kuja kukuonesha kwenye video na baadaye kukupeleka sehemu ya kukutana na...
  18. M

    Ban kin Moon : Nchi za Afrika zisizuie haki za mashoga

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amezitaka nchi za Afrika kutozuia haki za mashoga kwani ni ubaguzi wa kijinsia. Amesema hayo kwenye mkutano wa AU ulioanza uko Ethiopia. JK ni miongoni mwa viongozi waliohudhuria mkutano huo. Source : TBC1 habari ya saa 2 usiku.
  19. M

    Kwann uznz syo kosa la jna Tanzana?

    Katıka nchı nyıngıne uzınzı (adultery) nı kosa la jınaı na mtu anaweza kushıtakıwa. Kwa Tanzanıa, ukımfumanıa mkeo/mmeo unachoweza kufanya nı kufungua shaurı la madaı na kumdaı mgonı fıdıa...
  20. M

    Kwanini makanisa hayaoekani kutoa misaada kwa waliokumbwa na mafuriko?

    Tangu janga la mafuriko kwa wakazi wa mabondeni litokee watu mbalimbali, taasisi za serikali na kampuni binafsi zimekuwa zikitoa misaada mbalimbali kwa waathirika hao. Katika kutazama kwangu uko sijaona/sijabahatika kuona makanisa yakitoa msaada. Nataka kufahamu kwanini makanisa ni magumu katika...
Back
Top Bottom