Search results

  1. Afisa Mteule Drj 2

    Zifuatazo ni Tabia 11 zitakazokupatia heshima kama utaishi nazo

    Aibu ni kitu ambacho ni cha asili kwa baadhi ya watu huwezi kutumia neno aibu za kishamba.We mwenyewe unayoyafuata hayo uheshimiwi.Acha kukariri maisha
  2. Afisa Mteule Drj 2

    Nipande ndege nikasome PhD au Nikomae na biashara yangu?

    Hiyo PhD Sponsor ni wewe mwenyewe?,ungekuwa chuo kikuu hiyo PhD ndio ingekuwa na maana.Ungetumia huo muda wako kujjtafuta zaidi kuliko kwenye PhD.Kama ujuavyo PhD inaweza kuextend muda zaidi ya hiyo miaka 3 ambayo bila shaka wewe ndio unaipigia hesabu kuwa utasoma PhD.Achana
  3. Afisa Mteule Drj 2

    Natafuta mtu mwenye geto kali Mwanza awe ananiazima

    Unataka tu kuacha tu mikosi kwenye magneto ya watu sio
  4. Afisa Mteule Drj 2

    Hakuna urafiki kati ya Askari Polisi na raia. HAKUNA!

    Kwani wamewaambiq wanataka utafiki na nyie au mnajipendekeza
  5. Afisa Mteule Drj 2

    Wanaume Warefu: Ebu jaribu viatu vyenye "long neck style" kama vitakufaa

    Hivyo vilaba vya kivulana Mzee kama mimi hunivalishi isipokuwa hizo Travolta za mwanzoni tena ni kama zangu kabisa
  6. Afisa Mteule Drj 2

    Lissu apunguze hasira na malipizi, atapendwa na wengi

    Saa nyingine mambo inabidi yaende kibabe u-meekness na wenyewe na hasara zake
  7. Afisa Mteule Drj 2

    Katavi: Mgambo wa Kijiji cha Majalila washtakiwa kwa kuomba Rushwa ya Tsh. 200,000

    Wakifika kule ugambo unaisha wanakuwa mabinti wa nyapala
  8. Afisa Mteule Drj 2

    Waziri Nape Nnauye atembelea Ofisi za JamiiForums, leo Mei 9, 2024

    Nahisi nimemuona mtu anayenisumbia kunilatua ban mara kwa mara ni hako kajamaa ka tatu kutoka kushoto pembeni kwa mkurugenzi
  9. Afisa Mteule Drj 2

    Loving you Mahondaw

    Aisee umenena kwa ujasiri jamaa
  10. Afisa Mteule Drj 2

    Loving you Mahondaw

    Ngoja waje kukupa muongozo
  11. Afisa Mteule Drj 2

    Kwanini Imani/dini zimejengwa katika misingi ya Ahadi na Vitisho..?

    Philosophy iko deep sana kuliko theology ingawa na yenyewe ilikuja kuingiliwa ikawa intermingled mchanganyiko huo ukapoteza ladha tamu ya phylosophy
  12. Afisa Mteule Drj 2

    Kwanini Imani/dini zimejengwa katika misingi ya Ahadi na Vitisho..?

    Imani inaziburuza vibaya hadi intellectual faculties za professor
  13. Afisa Mteule Drj 2

    Kwanini Imani/dini zimejengwa katika misingi ya Ahadi na Vitisho..?

    Tena hao at first glance tu unajua wako misguided
Back
Top Bottom