Search results

  1. Mwene chungu

    RITA NA KULIPIA VYETI MARA MBILI!

    Habari wanajamvi! Nimebahatika kutembelea ofisi za RITA pale posta Mara kadhaa kufuatilia VYETI vya kuzaliwa vya vijana wangu. Mara ya kwanza nilifuatilia Cha kijana wangu mkubwa nikafanya malipo ya 10,000 wakanipangia tarehe ya kukifuata lakini nilipoenda wakadai stakabadhi haisomeki kwenye...
  2. Mwene chungu

    Ningekuwa maarufu pia ningeoa Rwanda

    Nimeona imekuwa kawaida sasa Vijana wengi wasanij wa TZ wanaenda kuoa nje ya Tanzania.Binafsi nikawa najiuliza kwanini hawaoi hapa Tz.Je kuwa hapa hakuna warembo? Siko karbu sana na wasanii yamkini ningepata mambo kadhaa yanayopelekea wasioe hapa. Ameonakana AY kaoa Rwanda,Alikiba leo anaoa...
  3. Mwene chungu

    Huu ndio mgawanyo wa majukumu kibongobongo msimu huu

    Vijana wengi wa kiume wako busy vibandani kufuatilia mpira (VPL); hata hawajui kama kuna bunge!!. Wajane na wanawake walioachwa wako busy wawapelekeje waume zao na waliowazalisha kwa Makonda; Hata hawajui kama kuna bunge!. Wanaoishi mabondeni wako busy namna ya kujinasua na mafuliko hata...
  4. Mwene chungu

    Viongozi wetu wa ngazi zote Jifunzeni kuwajibika mnapokosa msisubiri kutumbuliwa

    Salute. Natumai wnajf mu wazima wa afya! Nimekuwa naona viongozi wengi sana wa ngazi mbalimbali wanakosea,na wanajua kabisa kuwa wamekosea lakini wanasubiri watumbuliwe! Mimi niwashauri wawe na uwezo wa kuwajibika pale wanapoona wameshindwa kutekeleza mambo Fulani Fulani kiutendaji ili kuzipa...
  5. Mwene chungu

    Nyongeza ya mishahara vs watumishi na wafanya biashara

    Salute!.. Kama maneno niliyoyaskia kutoka huko mitandaoni ukiwepo hapa Jf basi hao wanaouhusika hawajalipa uzito unaostahii suala hili. Sitaki kuamini kama limekaa kisiasa,lakini nachelea kusema basi kimya kilikuwa ni bora kuliko hii inayoendelea. Leo nimeona baadhi ya wenye nyumba...
  6. Mwene chungu

    Hivi kwanini Vijana wa CCM hushindwa kujenga HOJA?

    Salute. Natumai nyote mu wazima na mwaendelea vizuri vema na ujenzi wa taifa. Ndugu zangu mim sina misingi ya chama chochote,naweza kujiita silent activist (mwanaharakati wa kimyakimya). Nimekuwa mfuatiliaji wa mijadala ya kisiasa,kijamii,kiuchumi nk mitandaoni na hata kwenye platform zingine...
  7. Mwene chungu

    Naitafuta CCM mpya na Tanzania mpya

    Salute. Bora Tanzania ya Nyerere siyo hii! Natumai mmeamka salaama salimini,na kwa wale wakristo naamini ibada zinaendelea vema. Ndugu zangu mwenzenu naitafta Tanzania mpya na ccm mpya ambayo nimekuwa naskia baadhi ya viongozi wa SERIKALI NA CHAMA wanaizungumzia. Nimewaskia viongozi wa chama...
  8. Mwene chungu

    Sijalipia King'amzi cha Azam lakini Naangalia Chanel zote

    Habari. Nimetokewa na hali isiyokuwa ya kawaida,kwa Mara ya mwisho nililipia king'amzi mwezi uliopita,Na mwezi huu nikiwa kwenye harakati za kulipia upya,ile nawasha TV nakuta channel zote zinaonekana. Nikadhani kuna MTU kanilipia lakini nimebaini hakuna nimekuja hapa kuuliza kama kuna MTU pia...
  9. Mwene chungu

    Yuko Wapi Tanzagiza wa (Fb)?

    Salute. Kuna Mtanzania alikuwa anatumia account ya Tanzagiza (Fb) ni kipindi sasa hajawahi kutupia kitu chochote zaidi ile account vijana wa chama Fulani wanaitumia sana kupost vitu vyao. Hofu yangu ni kuwa kwa sababu mwenye account ile alikuwa hajulikani kwa majina harisi anaweza kuwa...
  10. Mwene chungu

    Silaha iliyotumika kumpigia Lissu inaweza kumilikiwa na raia wa kawaida?

    Salute. Kuna wakati unapofanya kitu, unaweza kuwa unajiwekea mipaka ya kufikiri na ukadhani na wengine wataishia kufikiria inapoishia wewe. Hakuna anaejua aliehusika na shambulizi lililompata Tundu, lakini naweza kutoa Hypothetical ideals kama raia mwenye haki hiyo kikatiba!,swala hili...
  11. Mwene chungu

    Kamatakamata ya wabunge wa Upinzani Nani anafaidika?

    Salute!... Nimekuwa nafuatilia sana Tangu awamu ya Tano ilivyoingia madarakani na NAFASI YA WABUNGE KWENYE MAJIMBO YAO. NILICHOGUNDUA NI KUWA MFUMO UNAOTUMIKA NI WAKUU WA WILAYA NA MKOA pekee rais an imani nao. Serkali ya CCM inajichinja yenyewe bia kujielewa. Kwa uzoefu, Wananchi humpgia...
  12. Mwene chungu

    Yuko wapi Vengu-mchekeshaji wa comedy

    Salute. Kuna wakati huwa najiuliza sana juu ya huyu jamaa, aliwahi kuwa marufu sana hadi mwishoni mwa miaka ya 2011 kama sijakosea. Ni muda sasa sijawahi kusikia anaendeleaje. Sijui nani anataarifa zake jamani. Mashabiki tunataka kujua. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Mwene chungu

    Hutoba nyingi za Rais ni sawa na zile za wakati wa kampeni.

    Salute!.. Nitaomba radhi kama kuna watu nitawakwaza, lakini naomba niseme kile ninachokipokea. Lakini niseme lengo la kumchagua kiongozi yeyote yule ni ili akutafutie suluhu ya baadi ya matatizo ya kijamii, kiuchumi, kidiplomasia, kisiasa nk. Rais wangu wakati wa kampeni alilitumia sana...
  14. Mwene chungu

    Demokrasia inauzwa bei gani Africa??

    Salute. Nataka kujua bei ya demockrasia ili tununue. Musiishie tu kujibu hili mseme pia inauzwa wapi ili tununue. Lakini msiishie hapo mseme anaeuza ninani ili tununue. Muende mbali zaidi mseme kama ina-expiring date ili tununue. Kama hamtajari mseme kama ni bidhaa au laa ili tununue...
  15. Mwene chungu

    Ni kweli wanaolalamika ni Wapinzani tu?

    Salute!... Nimemskia mh.Rais wa JMWT Dr JPM akisema kuwa ukiskia adui analalamika ujue umemshika pazuri,lakini ukiona adui anakisfia rudi nyuma uone umekosea wapi. Lakini ninachojua ni kuwa INAONESHA WATU WA KARIBU wa mh Rais hawamfikishii taarifa za kweli,na wanachomuambia basi wanamuambia...
  16. Mwene chungu

    Kwanini watu wengine huogopa sana Sindano?

    Salute!... Niombe kujua kama kuna sababu zozote kisayansi zinapelekea hali hii kutokea.Nimeona kuna watu wazima (wasio watoto) kuangua vilio kabla na wakati wa kuchomwa sindano hata kama maumivu yake siyo ya kudumu. Lakin hili linaenda sambamba na wanafunzi wanapoadhibiwa (chapwa) wapo ambao...
  17. Mwene chungu

    Rais ambaye hajawahi kutokea!

    Salaam. Tumewaskia wabunge wa CCM Mara kadhaa wakisema Magufuli ni rais ambaye hajawahi kutokea. Lakini hata bajeti pia wamesikika wakisema haijawahi kutokea,bajeti ya mwaka!. Kauli hizi binafsi zinasumbua. Marais wote wa nyuma wamekuwa wakichaguliwa na CCM wenyewe na wamekuwa wakiwasifia na...
  18. Mwene chungu

    Neno "ndiyoo" bungeni limepitwa na wakati!

    Salaam. Nimefuatilia kidogo na kugundua kuwa namna ya upitishaji wa sheria na mambo mengine katika Bunge letu LA Tanzania kwa kusema ndiyo au hapana na kisha speaker kusema waliosema ndiyooo wameshindaaaa!!!...huwa inategemea sana na msimamo wa speaker. Neno hili "NDIYOOO" ni dogo na fupi...
  19. Mwene chungu

    Kiti cha Bunge kupwaya ndio chanzo cha fujo bungeni.

    Habari ya asubuhi wanajf. Kwa kifupi sana bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania limekuwa linaenda ndivyo visivyo tangu alipoliachia marehemu Sitta. Kwa sasa linayumba zaidi kwa sababu mh.Ndugai anaonekana kuwa hafuati sheria na kuzidiwa na mhemuko na jaziba binfsi ( mkumbuke Ndugai hana...
  20. Mwene chungu

    Maneno yaliyotamukwa mara nyingi Zaidi Dar.

    Salute.. Katika hali ya kawaida,tumezoea kila wiki,mwezi na hata mwaka kuna maneno yanayoongelewa zaidi kwenye jamii,mitandaoni na sehemu zingine kuliko kawaida. Katikaa pita pita kwenye mitandao,na jamii nyingi kwa upande wa dar maneno haya chini yametajatwa zaidi tangu mwishoni mwa mwaka...
Back
Top Bottom