Yaani umeonana tu mtu mlisoma nae na hamjawahi kuonana takribani miaka 15, ghafla tu anakwambia mwaka huu naoa kadi yangu ya harusi hii.
Naomba namba yako nikuunge kwenye group.
Miaka yote hiyo mtu hamjawahi onana wala hamjawahi wasiliana na hakuna mazoea yoyote ila mtu anataka umchangie kisa...
Unakutana na jamaa analalamika yule demu nampa kila anachokitaka lakini kila nikimuomba ulumbuzi ananipiga kiswahili ...
Mahusiano ya hivi nimeyaona mengi sana..
Wengine walienda karibia miaka 2 , kila akiomba ulumbuzi hapewi Ila demu akilia shida kidogo tu tayali amezingatiwa.
Sababu kubwa...
mtaani, ofisini na kwenye mishemishe watu wanakuheshimu kama baba Paroko ..
Ila moyoni unasema laiti wangejua !
Wasingenipa hata hizo heshima (simaanishi wakudharau)
Ila unajikuta watu wanakuchukia serious mno kiasi kwamba wanakuja kuomba na ushauri mbalimbali ..
Kumbe ni kibaka tu na Mzee...
Unakutana na kijana ana mwaka wa 4 anafanya saidia fundi
Unakaa unamshangaa , ina maana anafanya hii kazi pasipo malengo yoyote,
Kuna mawili , uachane na hiyo kazi au uwe tayali umejifunza ufundi..
Kinyume na kuendelea kuwa saidia fundi tu miaka na miaka ni kupoteza malengo..
Hakuna...
Yaani mtu mzima unampa chai na slesi 4 za mkate kweli?
Mchana ni kipimo kile kile cha siku zote huwaangalii kama kuna watu wameongezeka?
Mbaya zaidi mgeni umesaga mahindi umewabebea hukuja mikono mitupu.
Na sio kwamba wengi mnaofanya hivyo mna maisha magumu hapana..mnajiweza kimtindo
Acheni...
Kibaolojia Mwanaume anapoanza kukaribia ngazi ya tatu hata kama hajajipata Sana hapa ndo anaanza kuchanua na mwili unakubali .
Lakini kwa wengine ni tofauti
Sizungumzii wanawake, Mwanamke akifikisha ngazi ya 3, tayali ameshazeeka. wao ni kama mali mbichi.
Tumsifu Yesu Kristo
Sisemi mengi Ila niliyoyaona tangu tumeanza kusali Jumuiya kwa huyu braza ni wazi combination ya mkatoliki na msabato katika ndoa ipingwe kanisani.
Huyu kaka ni Kama ananyanyasika aisee!
Hana nguvu yoyote kwenye ndoa, ana watoto wanne na wote wamefata kusali kwa mama...
Unakuta unatembea na mke wa mtu mwisho kaja kaachika anakuja kwako umuoe wewe unaleta sababu ( hapo hapo uko sngle hujaoa) unalala mbele.
Dada wa watu anabaki analia lia.
Mume kamuacha na wewe umemkataa..
Hii inanikuta sasa ..
Kila nikitoka out "sio kwa nia ya kula mzigo" nazungumzia kufahamiana zaidi na pisi mpya utata kwenye kwenye kupiga stori..
Mara nyingi nabakia tu 'nambie mrembo'...'mambo mengine yanasemaje?'.. 'harakati zinasemaje'....
Yaani sina stori za kumvutia aendee kukaa na mimi...
Unakuta kipindi hicho umefwafwanzika life halisomi na kila mwanamke unaemtongoza anakutolea nje "utasikia nataka bwana wa maana huna hadhi ya kuwa na mimi"
Sasa maisha yamekunyookea umejipata mwili umechanua
Unakuja kukutana nae anaweza hata akakukimbia
Mwanamke heshimu juhudi za mwanaume...
Hii imenikuta mara nyingi sana kiasi kwamba nimepunguza urafiki na watu wengi sana.
Unakuta una rafiki ako , Ila akitokea rafiki ake anakuwa busy sana na rafiki ake na wewe anakukataa kwa muda..
Marafiki kama hawa mnaishi nao vipi?
Tumsifu Yesu Kristu
Hapa sizungumzii wale ambao hawakuwahi kujitambulisha kwenye jumuiya zao ila familia ikataka wazikwe kikristo kanisa likawakatalia.
Nazungumzia ubaguzi ambao unakuta msiba mwingine Padri anasalisha na mwingine atasalisha Katekista
Huu ni ubaguzi ambao wakatoliki wengi...
Tunakutongoza sisi wa uswahilini unatukataa
Eti unataka bwana wa uzunguni ilihali kila siku uko na sisi hapa huo wa uzunguni utampata wapi?
Yaani ni sawa kumtaka mwanaume mwanajeshi ilihali haushindi kambi za jeshi.
Kiherehere cha kushobokea watu
Nimekutana na rafiki yangu ambaye tumesoma darasa moja toka la kwanza hadi form 4 , na tulikuwa tunakesha wote Kusoma huku tukiloweka miguu kwenye maji ili tusisinzie.
Matokeo yalivyotoka yeye akaendelea mbele mimi nikaanza kuingia kitaa
Leo nimekutana nae...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.