Search results

  1. Mashaurijr

    Nilioneshwa tukio la Oktoba 7 Hamas kushambulia israel mwezi mmoja kabla

    Lililotokea vipi . Je huamini uwepo wa Mungu?
  2. Mashaurijr

    Sitaki huruma yenu, lakini Wakuu maisha yananigonga vibaya sana!

    Njaa ni balaa aisee . Namshukuru Mungu hela ya kula hainitesi na nalisha watu kadhaa bila mimi watakaa njaa . Ila mapito niliyopita ni noma Mungu akupiganie
  3. Mashaurijr

    Nimefanya maamuzi magumu naomba msaada hapa

    Mama mwenye nyumba typing.........
  4. Mashaurijr

    Hivi kwanini mtu aombe kwa kupitia bikira maria?

    Kwanini wewe ukaombewe . Si uombe mwenyewe. Yesu ni njia ya ukweli na uzima . Tunapoomba kupitia Maria Maria hapeleki kwa Mungu bali anapeleka kwa mwanae kwahiyo hakuna kilichobadilika bado Yesu ni njia tu kwahiyo kama unabisha ni ukorofi tu.
  5. Mashaurijr

    Nilioneshwa tukio la Oktoba 7 Hamas kushambulia israel mwezi mmoja kabla

    Hapana mimi sio familia ya mashekhe mimi ni Mkristo na sio mlokole useme natafuta waumini hapana
  6. Mashaurijr

    Nilioneshwa tukio la Oktoba 7 Hamas kushambulia israel mwezi mmoja kabla

    Mdogo wangu na familia yangu ndio mashahidi wa hili maana niligombana na mdogo wangu na kumfukuza kitu ambacho kiliwashangaza na kumwambia asipotubu ataangamia . Sasa alipoenda na kutokea lililo tokea basi familia ndio ikashtuka hee . Kumbe nilichukua hatua sahihi. Nisinge mwambia na...
  7. Mashaurijr

    Nilioneshwa tukio la Oktoba 7 Hamas kushambulia israel mwezi mmoja kabla

    Sipo huko kabisa mimi ni Roman Catholic kwahiyo hata sipigii chapuo kanisa
  8. Mashaurijr

    Nilioneshwa tukio la Oktoba 7 Hamas kushambulia israel mwezi mmoja kabla

    Watu wamekufa sana kuliko hata hesabu vita vikiisha ndio hesabu itapatikana miili mingi bado ipo kwenye vifusi
  9. Mashaurijr

    Nilioneshwa tukio la Oktoba 7 Hamas kushambulia israel mwezi mmoja kabla

    Hapana mimi sio nabii wala mlokole mimi ni mimi tu . Mdogo wangu ndio shahidi mkubwa na nikweli yupo israel [emoji1134]
  10. Mashaurijr

    Ushuhuda: Mkojo wangu wa asubuhi ulivoniponya

    Ndio maana unanukaga mikojo nakuvumilia tu kumbe ndio ushirikina wako
  11. Mashaurijr

    Serikali yetu

    Tuliza komwe . Mipaka ya kikoloni hiyo Africa ni nchi moja
  12. Mashaurijr

    JWTZ liwe na kitengo cha elimu kwa raia, kuna upotoshaji mkubwa kulihusu

    Uongo mwingi . Nitashauri wakuu wangu
  13. Mashaurijr

    Kwa nini wadau wanajamii forum mnabeza mtandao wa TikTok.

    Sasa wewe jobles utakosaje kupita tiktok
  14. Mashaurijr

    Hakuna utu au ubinadamu bila dini

    Habari ndugu zangu. Wakubwa shkamoo...... Ushawahi kujiuliza maisha yangekuwaje bila Dini? Leo nimewaza nikawazua na kuangalia mifano iliyohai kuhusu uhusiano uliopo kati ya mtu kuwa na roho ya utu au ubinadamu na Dini. Baada ya uchunguzi wa kina nimegundua bila Dini ubinadamu na utu vita...
  15. Mashaurijr

    Meli ya MV. Clarias yazama ikiwa Bandarini

    Alaa . Mungu kaokoa viumbe vyake
  16. Mashaurijr

    Sijapenda Roboti wa Bungeni kutumia jina la mzazi wangu

    Eunice jina zuri sana ndio maana
  17. Mashaurijr

    Ukitaka kuishi bila kuzeeka fanya hivi

    Ukweli sana ila upwiru kuudhibiti ndio balaa
Back
Top Bottom